arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,359
- 4,408
Kaangalie stats za probability walopewa nafasi ya kufika mbali kwny michuano hii kwa Sasa halafu ndo tuongee vzuri...tumia smartphone yako vzuri mkuu🤠🤠🤠....mmeanza na mechi ngumu sana Ligi kuu sitaki kuwa judge ila kuanzia Sasa kwenda mbele tuone huo mpira wenu wa kukimbiza upepo🤠🤠🤠...nyny bdo watoto wadogo sana....EPL huwezi kubeba na kile kikundi chako cha amapiano🤠🤠🤠....kwmba Almiron na Gordon wakupe kombe sio....ww bhana level zako ni zilezile tu... Brentford huko...kina Sheffield na wenzie Wolves....hao ndo masela wako Sasa....bdo hujafika level za kukaa na kuzungumza na wakubwa....narudia bado sanaWewe uefa upo level za team gani? Nijibu tu team 2 ambazo upo level moja nao UEFA nipe na vigezo 2 tu.
Top 4 tupo pale kwa miaka 20 ijayo with EPL trophies na sio kama nyinyi 0 trophies kwa 20 years.
Halafu umesema nna 0 trophies ligi kuu for 20 yrs🤠🤠....ww una mangapi mkuu toka mpira uanze kuchezwa pale Uingereza....achana na kipindi cha miaka 20 ilopiga🤠🤠🤠....Kaangalie stats za probability walopewa nafasi ya kufika mbali kwny michuano hii kwa Sasa halafu ndo tuongee vzuri...tumia smartphone yako vzuri mkuu🤠🤠🤠....mmeanza na mechi ngumu sana Ligi kuu sitaki kuwa judge ila kuanzia Sasa kwenda mbele tuone huo mpira wenu wa kukimbiza upepo🤠🤠🤠...nyny bdo watoto wadogo sana....EPL huwezi kubeba na kile kikundi chako cha amapiano🤠🤠🤠....kwmba Almiron na Gordon wakupe kombe sio....ww bhana level zako ni zilezile tu... Brentford huko...kina Sheffield na wenzie Wolves....hao ndo masela wako Sasa....bdo hujafika level za kukaa na kuzungumza na wakubwa....narudia bado sana
Mechi ngumu kwa arsenal ni Sevilla tena away🤠🤠🤠....Hawa PSV kipindi kile tumeenda kucheza nao tulikuwa tume relax maana tulikuwa tumesha qualify wao ndo wakawa wanakaza miguu🤠🤠🤠...tusipoongoza hili kundi maswali yte niulizwe mmMtarambwa mbaya.View attachment 2735306
Yeah we back where we belong[emoji110]Thank you Mikel Arteta for bringing us back to where we belong
dirisha la usajili limefungwa?!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Golini kuna pazia
Bisaka ndo wakumzuia Martinelli? Kisha dakika ya 60 anainuliwa Trossard, nyumbu zimeyakanyagaView attachment 2735344
Hakuna mechi ngumu mkuuMechi ngumu kwa arsenal ni Sevilla tena away[emoji1783][emoji1783][emoji1783]....Hawa PSV kipindi kile tumeenda kucheza nao tulikuwa tume relax maana tulikuwa tumesha qualify wao ndo wakawa wanakaza miguu[emoji1783][emoji1783][emoji1783]...tusipoongoza hili kundi maswali yte niulizwe mm
Halafu umesema nna 0 trophies ligi kuu for 20 yrs[emoji1783][emoji1783]....ww una mangapi mkuu toka mpira uanze kuchezwa pale Uingereza....achana na kipindi cha miaka 20 ilopiga[emoji1783][emoji1783][emoji1783]....
Umezionea wapi fixtures za champions [emoji471] league?Hakuna mechi ngumu mkuu
Sevilla kwanza kaondokewa na key players
Sasa hivi anaburuza mkia Laliga
Pili Sevilla hajawahi kuwa ngumu kwa Arsenal
Tusipochukua points 6 niulizwe Mimi
Kwasasa tuwaze round 16
Halafu ratiba yetu nzuri mechi za home UCL zinafata na mechi za home za EPL , so nadhan tutakuwa timu yakwanza kufuzu