Tujikite na EPL ,tusubirie round 16Wana gunners UEFA tukutane final
Asante
Kikosi Cha pili kitumwe kwenda kufanya kazi ya kuongoza kundiTujikite na EPL ,tusubirie round 16
Liverpool alibeba champions league trophyKumbuka pia hatukuwa na Depth kubwa ,still bado tuliongoza kundi ,
Sevilla is currently last in La Liga, while Lens is 15th in Ligue 1.
Unazungumzia 2005 duh, halafu Liverpool alikuwa vzr kipind kile alikuwa katoka kukimbizana na Arsenal kwenye EPL 2001/2002Liverpool alibeba champions league trophyakiwa nje ya top 4 2005 !kila team katikaleague haijafika kwa bahati mbaya kikubwa Arsenal ibebe 9 points Emirates that's it
Wana gunners UEFA tukutane final
Asante
Usidharau timu nyingine hakuna timu inaingia uwanjani kudhurura. Mpira ungekuwa rahisi kama unavyodhani basi tungechukua Europa last season.Unazungumzia 2005 duh, halafu Liverpool alikuwa vzr kipind kile alikuwa katoka kukimbizana na Arsenal kwenye EPL 2001/2002
Hatupepes macho , Hapo tunakusanya points 15-18
Hakuna wakumzuia Arsenal hapo ,
Ndio Maana huwa nasema UCL mpinzani Ni city ,sijui huwa mnaziba masikio
Sawa kiongoziAu siokufikia robo fainali ilikua 2009 huko , nyie mnaishia round 16 kama kawaida . Mko pale kusikiliza wimbo wa uefa then mrudiii epl kuitafuta top 4.
Endeleeni kujifariji naona mnajipa matumaini timu ya kuwasumbua ni city kisa tu kina Madrid na bayern walichezea vichapo vikubwa basi mnajiona mpo level moja na city , Arteta kutokea city kusiwadanganye nyie false hopers. Sporting iliwashinda mkaishia quarter now mnawaza final
Ww utaongoza group na hiko kikundi chako cha mdundiko🤠🤠🤠...mkipita kwny hlo group itakuwa ni ajabu la nane la Dunia🤠🤠🤠Au siokufikia robo fainali ilikua 2009 huko , nyie mnaishia round 16 kama kawaida . Mko pale kusikiliza wimbo wa uefa then mrudiii epl kuitafuta top 4.
Endeleeni kujifariji naona mnajipa matumaini timu ya kuwasumbua ni city kisa tu kina Madrid na bayern walichezea vichapo vikubwa basi mnajiona mpo level moja na city , Arteta kutokea city kusiwadanganye nyie false hopers. Sporting iliwashinda mkaishia quarter now mnawaza final
Arsenal ya mwaka Jana sio hiiUsidharau timu nyingine hakuna timu inaingia uwanjani kudhurura. Mpira ungekuwa rahisi kama unavyodhani basi tungechukua Europa last season.
Umesahahu Sporting lisbon walivyotufanyia.
Ww utaongoza group na hiko kikundi chako cha mdundiko...mkipita kwny hlo group itakuwa ni ajabu la nane la Dunia
Wacha tukuambie ukweli mkuu...hutapata point yyte ugenini kwny hzo timu...kamwe hutapata point yyte... Kiufupi tu biashara yako ishaishia hapa kama nilivyokuambia kwmba ww bdo ni level za Brentford basi ni hvihvi hata huku UEFA ww ni level za kina RC Lens....bdo watoto wadogo sana nyny...na mwaka huu ndo mwanzo na mwsho kumaliza top 4....In short biashara yenu ishaishia hapa...mkacheze mdundiko na kina Sheffield United huko...
Liverpool -6 UCL trophies
Man united -3 UCl trophies
Chelsea -2 UCL trophies
Nottingham forest -2 UCL trophies
Aston villa - 1 UCL trophy
London poultry farmers (Asenoo ) wekeni UCL yenu kwa meza ndio tuanze kuongea
Poor Wenger orphansView attachment 2735063
Newcastle ataburuza mkia
Group F of the #UCL
PSG
Dortmund
Milan
Newcastle
Arsenal tumepewa timu za Uropa huko Champions league ,Lakini waliozoea kulalamika hawakosekani ,
Kizaz Cha malalamiko kilimsumbua Sana Nabii Musa kule jangwani ...
itoshe kusema tumetinga ndani ya Round of 16.