hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,410
- 26,967
Wenye mpira wao wanasema Arsenal anapewa nafasi ya 4 kubeba , yaani anaweza kufika nusu au fainal kabisaMasingeli acha kuwapa false hope makondoo yako ya humu, hio pot2 Arsenyau pamoja na Nyumbu wanafungasha virago vyao mapema kabisa.
Hapa wa kupewa pole nyingi ni Arsenyo maana ameikosa hii michuano kwa miaka 7 mtawaliwa na baada ya kufungasha virago vyake kwenye hatua ya makundi anaenda kuyakosa tena haya mashindano kwa miaka 7 tena mingine inayofata.
View attachment 2734625
Sasa jiulize manjesta ambao mna Eriki Seven hag mbona wanawaona Kama wasindikizaji
Hujiuliz Why Arsenal hajacheza muda mrefu lakin yupo Pot 2
Ulishajiuliza Hilo swali