Hawa Wala wasikusumbue akili ,tukiwapiga goli 1 watasema wameahinda wao
Ally pipi anasema goli 3 bado wao watakuwa bora
Yule Nketia kwa mpira unaopigwa na Nafasi zinazotengenezwa na Arsenal hakuna wakumuweka Benchi hata Mmja, Nasema hakuna Finisher kama yule pale Arsenal.
#NketiaMyPlayer
Wewe Nyumbu , Kama mlifanikiwa ,mbona hata mchezaji hata mmoja hunaArsenal tumechoka maneno sasa tunataka kombe either EPL au UCL.... winners celebrate, losers explain, nyie no losers yaani hamis77 Unaongea kama losers na msimu ukiisha huna kombe, nyie ni timu ya maneno mko top kwa mdomo.... last season ETH ndio kaingia united na match 2 za kwanza alifungwa lkn alipambana timu ikashika nafasi ya tatu nyuma yako wewe mdomo mdomo fc, bora utulie ETH ana profile kubwa kuliko huyo baba yenu arteta na atafanikiwa kabla ya hyo arteta wenu....uzuri ETH alipofika alisema wapinzani wake wakubwa ni liverpool na man city, yeye hawafikirii timu za vipind km arsenal.
Liverpool tayari tumemzidi mafanikio season ya kwanza, saiv mdg mdg tunamfata man city huko huko juu, hizo style of playing au talent ID mtabaki nazo nyie mdomo mdomo fc sisi ni possession na makombe km Atletico Madrid au madrid yenyew.
Nioneshe mchezaji wa manjesta hapaLast season timu zilizofanikiwa
1. Man city makombe 3
2. West ham kombe moja 1
3. Man united kombe 1
Wengine mmefanikiwa style of playing, talent ID, overload, offload, tackle won na high pressing hata Brighton wako vzr kwenye hizo sifa lkn bado ni timu ndogo kam arsenal coz haina kombe.
Msimu huu uchukue EPL au UCL, nje ya hapo hakuna kombe la tactics, sijui overload au style of playing. Arteta ajikaze bila kombe ni tapeli tu
HeheheCarabao Cup round 3 draw
Brentford v Arsenal
Raya ataanza hii mechiHehehe
Last season timu zilizofanikiwa
1. Man city makombe 3
2. West ham kombe moja 1
3. Man united kombe 1
Wengine mmefanikiwa style of playing, talent ID, overload, offload, tackle won na high pressing hata Brighton wako vzr kwenye hizo sifa lkn bado ni timu ndogo kam arsenal coz haina kombe.
Msimu huu uchukue EPL au UCL, nje ya hapo hakuna kombe la tactics, sijui overload au style of playing. Arteta ajikaze bila kombe ni tapeli tu
Ansu Fati ni failureAnsu Fati to Brighton. Hizi dili za kimya kimya na chap chap huwa nazipenda sana
Usikimbilie budget na hela za wati, hazikuhusu na hizo tuzo sio za timu ni personal prizes....kama timu nyie ni losers na season hii mjipange coz bila EPL au UCL arteta ni unai Emery tuNioneshe mchezaji wa manjesta hapa
7hag kashatumia £400m timu hata kupiga pass 10 haiwez ,tengenezen timu
Hizi porojo na kujigeuza madalali wa Sheikh Jasim hazitawasaidia
Niliwaambia Timu haiuzwi maana kocha wenu ni tapeli tu ,Graza wanatoa pesa anasajili average players
Narudia tengenezen timu,
Alipewa £250m akaleta Carabao energy drink cup
View attachment 2734214
Usikimbilie budget na hela za wati, hazikuhusu na hizo tuzo sio za timu ni personal prizes....kama timu nyie ni losers na season hii mjipange coz bila EPL au UCL arteta ni unai Emery tu
Havertz hata akipewa miaka 4 ule ndio uwezo wake ulipoishia,ni TAKATAKA kama TAKATAKA nyingine tuDah Rio ametutukana ila kasema ukweli ,
Rio Ferdinand kuhusu #Arsenal:
“Ninaangalia mashabiki wao, Wana mambo mengi. Wanaenda hovyo.
"Havertz nje, meneja hajui anachofanya, anahangaika na timu sana, Partey anacheza beki wa kulia, Trossard akiingia haji na kufanya kazi yake.
“Eddie Nketiah tunamtaka atoke...
Nyinyi(mashabiki wa Arsenal) mko kila mahali. Sielewi, mara Havertz. Ninaelewa hajapiga hatua bado, kama Mason Mount pale Manchester United.
"Jinsi nyinyi mlivyo 'mtoe nje. Hapaswi kuwa hapa’. Nazungumzia fanbase hii siielewi. Ikiwa ni mechi 10-15, ningeweza kuona wanachosema kina mantiki.
Ni michezo mitatu tu ,
Watu wanahitaji muda .”