Like your manager you are in denial..... Read the quote again na uilewe sio unakurupuka kujibu ili ufurahishe baraza.
Arsenal is crumbling just like Gadaffi regime....worrying time!
Arsenal ilikuwapo kabla ya Fabregas na Nasri!
Bythen hawakuwa na contibution kubwa kivileeee cuz with their presence hatujawahi kuchukua kombe lolote!
Aaaaaaaaaaaah Belinda......Unaharibu bana....Fabregas tushamsahau sie.....Na Nasri tunaelekea kumsahau
Vipi bibie mambo mswano? Mtoto amekwisha kua mara hii? Au bado ndio .... .... .... ... ooops naona nimemwaga maji hapa na karanga wasije kuku tu khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
...it's transitional period...pamoja na mapungufu ya hapa na pale, safari inaendelea. Hiki ni kipimo cha nani shabiki wa kweli, nani mpiga domo.
Ni kipindi cha kujitambua. We are still fighting, we are the gunners, together we stand. Halafu nyie Manure who are you to tell us Arsene anafaa au la? Chelsea fans, shame on you! Nanyi mnaringia 'baba' aka manager wa ngapi sasa tangu Ranieri apewe talaka na Abramovich?
One cannot dance well unless one is completely in time with the music, not leaning back to the last step or pressing forward to the next one, but poised directly on the present step as it comes. Perfect poise on the beat is what gives good dancing its sense of ease, of timelessness, of the eternal.
- Anne Morrow Lindbergh, in Gift from the Sea
Unapoona adui yako anaongea sana kuhusu wewe ni moja ya dalili ya kukuogopa, doom-mongers wanakesha kuchonga wakati safari ndio kwanza imeanza, kweli tunahitaji wachezaji wenye uzoefu kama watatu na zaidi tunahitaji KIONGOZI hapa kati, TV5 na RVP ni viongozi lakini bado tunahitaji a-Patrick Vieira hapa kati.
Tuna vijana wazuri sana Charmbelain, Frimpong, Jenkinson, Lansbury na Eastmond ni vijana wazuri na watakuja kuwalisha matapishi yao walio wengi.
Sasa zile drama na distraction za Cesc na Nasri zimeisha wacha turudi ku-focus na kabumbu.
Kila la heri tonight - we stand united because we are the GUNNERS, soldiers marching on and we don't need mercenaries.
Halafu kwanini inapotokea gunners tunapoyumba everybody wants to smell the rat?au anguko letu ndo pain relief kwenu?
Vouyers tu hao, hawapati mdadi mpaka wachungulie Arsenal amekuja na style gani. Stay tuned...huu ni muziki mkubwa! tumeyumba lakini bado kuanguka.
Pamoja na philosophy za Gaffer wetu ambazo hata mkongwe SAF, Rednapp, na wengineo wengi duniani kumvulia kofia, ...mimi mbu na Gunners wenzangu kuna mapungufu tuyaonayo kwa mtazamo wa kishabiki. Mwenyewe manager hana wasi, he knows best. And in him [Le professeur] i trust!
Unapoona adui yako anaongea sana kuhusu wewe ni moja ya dalili ya kukuogopa, doom-mongers wanakesha kuchonga wakati safari ndio kwanza imeanza, kweli tunahitaji wachezaji wenye uzoefu kama watatu na zaidi tunahitaji KIONGOZI hapa kati, TV5 na RVP ni viongozi lakini bado tunahitaji a-Patrick Vieira hapa kati.
Tuna vijana wazuri sana Charmbelain, Frimpong, Jenkinson, Lansbury na Eastmond ni vijana wazuri na watakuja kuwalisha matapishi yao walio wengi.
Sasa zile drama na distraction za Cesc na Nasri zimeisha wacha turudi ku-focus na kabumbu.
Kila la heri tonight - we stand united because we are the GUNNERS, soldiers marching on and we don't need mercenaries.
<br />Halafu kwanini inapotokea gunners tunapoyumba everybody wants to smell the rat?au anguko letu ndo pain relief kwenu?
<br />
<br />
liverpool wamekuwa na misimu mibaya almost miwili..hawakusakamwa kama sisi..but i'm sure we will bounce back..first lets tufuzu champions league..then new signings watafuata.
Utaliza maswali mengi mpaka udate..!!The choice is yours and so anafaa as always kwani hamlitambui hilo??!!!! Arsenal timu ya burudani uwanjani siyo vikombe!!..ha ha
Wakuu kama kawaida yetu kuungana pamoja wakati wa mechi na leo ndio tunakata ticket rasmi ya Champions league.
Kikosi chetu kitachoanza leo ni:
Team in full: Szczesny, Jenkinson, Vermaelen, Djourou, Sagna, Song, Frimpong, Ramsey, Walcott, Gervinho, Van Persie.
Subs: Fabianski, Traore, Miquel, Rosicky, Oxlade-Chamberlain, Arshavin, Chamakh.
Naona tuko defensive pale kati na ningependa sana kuona partnership ya Frimpong na Song hili Wilshere akirudi aweze kujaribiwa kucheza nyuma ya striker.
Kila la kheri gunners wenzangu.