[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eti maino acha ujingaUmewahi kuona Rashford kafunga 30 goals kwa msimu??
Arteta hatokuja kudevelop mtu kufika level hii.
Mna bahati Maino kaumia, huyu alikua anakuja kuonyesha nini maana ya Rodri- pro max. Tusibishane hadi arudi
Hii wiki Hawa nyumbu na kenge niachie Mimi , nawamudu vizuri ,Mkuu hizi nyumbu Pina snapa kotekote, humu waone kituo Cha polisi
2019/20Misimu mitano ipi , Arteta kaja 2019 December
7hag kazoea makombe gani , hivi unajua 7hag Ni umri wa kina pep Guardiola lakin mafanikio yake ni Ajax ambayo hata mgunda ukimpa Ajax anabeba Makombe
7hag Hana tofauti na David Moyes
Yaan unamsifia kufika nusu fainal UCL [emoji1787][emoji1787]
Kuna Dimateo huyo alilibeba kabisa
Kuna Avram Grant anawafundisha kina Chama na Musonda hapo Zambia , yeye alifika Fainal kabisa
7hag msimu wa 2 katumia £400m lakin anaelekea kutimuliwa soon
Spana ulizopiga jukwaa la nyumbu, nikawa nasoma huku nachekaHii wiki Hawa nyumbu na kenge niachie Mimi , nawamudu vizuri ,
Kashindwa kumdevelop Sancho ambaye alikuwa ana fanya vzr BVB, kashindwa kumdevelop Elanga , Mactominay,Fred ,Umewahi kuona Rashford kafunga 30 goals kwa msimu??
Arteta hatokuja kudevelop mtu kufika level hii.
Mna bahati Maino kaumia, huyu alikua anakuja kuonyesha nini maana ya Rodri- pro max. Tusibishane hadi arudi
Umerudi na picha ya troll football,, inaonekana we ni mtu wa mizaha.Laana hii [emoji1787][emoji16]
View attachment 2734022
Ndio mnadanganyanya na wenzenu Arteta ana misimu mitano ili kuficha 7hag aonekane ana Mwaka mmoja EPL2019/20
2020/21
2021/22
2022/23
2023/24
Arteta ni mkongwe Epl mafanikio yake ni Bottle [emoji898] na long waited Champions League spot after 7 years[emoji23]
Yani First eleven ya Arsenal wamezidiwa appearance za Champions League na Mbwana Samatta.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wenger orphans bwanaMaandalizi ya kuwapa kipigo nyumbu View attachment 2733765
Manjesta bado hauna timu hata yakuvuka makund UCL[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wenger orphans bwana
Huyo saka kashika tuzo za watu, Waingereza wanabebana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eti maino acha ujinga
Rashford ameanza kufanya vizuri na kurudi default settings toka kwa Mourinho
Mwaka Jana Rashford alikuwa kwenye Form ya maisha ,kwasasa amerud kwenye default settings,tegemea Sasa kuona sura halisi ya tapeli 7hag
7hag kashamkuta Rashford ana cheza hivo hivo
7hag hawez develop talent Kama hizi
Hawez tengeneza a world class RW and LW wingers in the world
Ndio Maana tunaona anatumia €100m anasajili tapeli yule mpanda mpiraView attachment 2734024
Waombe Sana Jumapili tusishinde ,nitawapiga spana mpaka jukwaa lao lifungiweSpana ulizopiga jukwaa la nyumbu, nikawa nasoma huku nacheka
Mkuu ongeza ulinzi, nyumbu wanakuwinda Sana Nina uhakika huo
Eti wanabebana [emoji1787][emoji1787]Huyo saka kashika tuzo za watu, Waingereza wanabebana.
Young player of the season iko wazi ni Halaand
Best RW ni Mo Salah
Ramsdale anamuogopa huyu,, Huyu ameanza kucheza brazil Martinelli akiwa trial Man u.Ndio mnadanganyanya na wenzenu Arteta ana misimu mitano ili kuficha 7hag aonekane ana Mwaka mmoja EPL
Hii haiondoi ukweli pale kocha wenu ni tapeli
Anaenda kununua hii mutu kwa €100m halafu lawama anapewa grazaView attachment 2734026
Draw kwao ni UshindiWaombe Sana Jumapili tusishinde ,nitawapiga spana mpaka jukwaa lao lifungiwe
Saka ni winger kitambo tokea Academy na kwa Unai,, Genius wa mchongo arteta ndo alimpeleka left back, Bila kufokewa na mabosi angepoteza kipaji cha dogo.Eti wanabebana [emoji1787][emoji1787]
Sikia 7hag a Dutch David Moyes Erik 7 Egg Hana uwezo wa kutengeneza talent Kama hii
Mikel anamuangalia saka kutoka beki anamuona anaenda kuwa RW Bora duniani
7hag angempoteza
Tuliona anamuondoa CR7 anamleta mpwa wake Weghost anaondoka manjesta na goli 0
Uliza ufundishweSaka ni winger kitambo tokea Academy na kwa Unai,, Genius wa mchongo arteta ndo alimpeleka left back, Bila kufokewa na mabosi angepoteza kipaji cha dogo.
Hawa Wala wasikusumbue akili ,tukiwapiga goli 1 watasema wameahinda waoDraw kwao ni Ushindi
Tukiwapiga chini ya 3 kwao ni Ushindi
Inabidi tuwabamize kuanzia 3
Possession 70 kwa 30
Pass 900+
Shoots on target 20+
Msako wa pusha alieficha bangi
Yani kwa kifupi wateseke
Pepe aliwatungua ,Cha ajabu msivyo na akili mnasemaga Pepe ni flopRamsdale anamuogopa huyu,, Huyu ameanza kucheza brazil Martinelli akiwa trial Man u.