Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sijamaimd mkuu mm nawekaga kumbukumbu sawa ,maana most ya fans humu wengi Wana uwezo mdogo,

Huwa Kuna muda nabaki nacheka tu,
 
daaahhhh aiseee sawa Pundit letu la taifa, mimi mwenyewe hua nakukubali kimyakimya, ila Masebene ukipunguza udikteta na Unazi nakuona kabisa una kitu utafika mbali.
 
daaahhhh aiseee sawa Pundit letu la taifa, mimi mwenyewe hua nakukubali kimyakimya, ila Masebene ukipunguza udikteta na Unazi nakuona kabisa una kitu utafika mbali.
Sina udikteta mkuu , most of our fan base haijui soka ,

Ulishawauliza waliokuwa wanasema Øde hafai leo wanasemaje?

Last season hapa hapa Trossard alikataliwa Leo hao hao wanalilia awe anaanza

Jesus usajili wake ulipingwa Sana humu ,Leo hao hao wanataka asikosekane


Mimi sijali kuwa against 100% na fan base inayoemdeshwa kwa mihemko

Kwasasa siwanamuandama Kai , muda Ni hakimu watakuja kumuimba humu.humu


Kuwa Kama JPM , usipende kuendeshwa na makelele ya wengi, simamia unachoamini ,watu Kama sisi mnatuita madikteta
 
Ww hujui kitu mkuu...hujui
...ulikuwa unamsifia sana Mount sasahv povu linakutoka kama lote kumlaumu mwamba bila kukubali tatizo ni 7 hag a.k.a baba ubaya..yule ndo shida pale
Yule double Agent hana baya, kazi yake kubwa aliyopewa na Sheikh Jassim pale Man Utd ni kuhakikisha anawataabisha mashabiki mpaka wamng'oe Glazzer.
 
I’ve not seen a player in world football adapting to the lone #6 role as quickly as Declan Rice.
 
Emile Smith Rowe:

"If Arsenal want me for the rest of my career, Then i am going to stay here Forever"

I WILL NEVER GIVE UP ON HIM
 
Hatuna injury jaman ukimtoa Timber

Manjesta ajiandae tuView attachment 2733767
Safi kabisa maana sisi mashabiki wa United hatutaki mue na sababu yoyote ya kujitetea baada ya kupewa kipigo cha mbwa koko kutoka kwa vijana machachari wa 10 Hag.
Ila Arsenyau hua hamkosagi sababu za kujitetea, hio Jumapili mkifungwa lawama zote atabebeshwa refa pamoja na VAR ila mashabiki wachache wa Arsenal wenye kujielewa wanajua kabisa tatizo hapo ni Arteta na huyo Kai wake.
 
Mkuu usije tu kubadili maneno

Sisi tunataka tuoneshane makali

Kwa LCM tuna wachezaj wengi sio lazima aanze Kai ,

My lineup ninayoitaka Jumapili halafu nione mnatokaje hii hapa

4-3-3 ya double 8

................Rams .............
White Saliba Magalhaes Zinny

Ødegaard Partey Rice

Saka Jesus Martinelli


Mkuu half time Kama sijakupiga goli tatu Basi uchawi upo ,

Kikos chako kitakuwa nyuma na

Onana

Bisaka Lindelufu Shotii dalot


Sasa jiulize Dalot vs Saka,
 
From @SamiMokbel81_DM:

Nicolas Pepe’s career at Arsenal is effectively over.

It has been for some time now. Arteta is open to letting him leave and the club are actively trying to find him a club.


His chances of game time this season are virtually zero, if he stays.
 
Mkuu
Yule double Agent hana baya, kazi yake kubwa aliyopewa na Sheikh Jassim pale Man Utd ni kuhakikisha anawataabisha mashabiki mpaka wamng'oe Glazzer.
Hata mbadili wamiliki mara 10 as long as baba ubaya ni kocha bdo mtakuwa mnarukaruka tu uwanjani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…