Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arteta ana mataji matatu

Ten hag ni tapeli ,najua unaongea kama.utani ila ukweli unaujua ,nitakukumbusha utakapozidiwa
 
angalizo ;kwa sasa arteta asithubutu kuwaanzisha kai na ode kama namba 8 wawili mana mmja atamuingilia mwenzie kwenye role yake na atakuwa mzururaji tu.
Subiri matusi kutoka kwa chawa wa Arteta, wenye leseni ya ukocha aliefundisha timu ya mpira.. atakuambia wewe hujawahi hata kufundisha timu ya chekechea.
 
kweli kabisa kuna ID huwa anajisuport mwenyewe mana unakuta mtu anamsaport kw kitu cha kipuuzi, kitu hata mtoto mdogo hawez kusuport, unajiuliza anaesuport zimetimia kweli??!
Kama wewe jamaa kujibiwa Ni matumizi ya MB

Sijawahi ona mtu asiyeshughulisha ubongo kufikiri au kuchanganua mambo humu Jf Kama wewe

Upo tayari kunipinga Mimi hata kwenye ukweli ilimradi tu utetee ujinga


Yaani unaona aibu Chelsea kutaka swap deal na Smith

Maana utaumbuka ,sababu wiki zilizopita tukikwambia mudrky Ni flop wakutupwa ,ulipokuwa unamfananisha na Martinelli


Sasa hata kwa Smith Rowe ambaye Hana namba Arsenal hamfikii , means Mudrky hata sub Arsenal hawezi kukaa


Ila Sasa kuficha aibu unaona Bora unishambulie Mimi Mara kuwaita watu chawa ,ilimradi tu


 
Hivi wewe huoni kama una tatizo? Kila wakati unajizungumzia 'wewe' 'wewe' wtf.

Wewe ni nani?
 
Mkuu wazo lako Ni zuri Sana ,lakin kuweka kumbukumbu sawa

Kai amecheza mechi 3 ,majukumu yake hajawa hasa Kama no.8 LCM kamili ,anayefanya hiyo Kaz ni Rice

Mfano vs Fulham Kai alianza Kama false 9

Mimi kwa muono wangu na ninavyoona Arteta ataendelea kukifanya Ni kumtumia Kai as false 9 ili Rice na Partey waendelee kuchafua LCM NA DM

Nketiah ameshaimprove na alimwambia Arteta hana sababu yakutompanga

Na kwa performance ya Vieira toka mech vs city ,soon anaingia First eleven au atakuwa anaingia kumpokea Øde
 
Hivi wewe huoni kama una tatizo? Kila wakati unajizungumzia 'wewe' 'wewe' wtf.

Wewe ni nani?
Like wewe na wengine kunizungumzia Mimi

Ukiona nakukera usihangaike na Mimi , Tena Kama sikosei wewe Ni mmoja wapo kule jukwaa la manjesta ulidai Anthony masebene Ni mchezaji mzuri

Yaan unakereka kujizungumzia Mimi, ila kuzungumziwa hukereki


So ukiona nakukera usihangaike na Mimi ,
 
|| Arsenal are reportedly interested in signing Benfica’s 25yo RB, Alexander Bah. Bah can also play on both wings and CF [Via - @TipsBladet].
 
Tutajie timu yako uliyofundisha mchambuzi nguli.

Mimi sina, naomba nione ya kwako.
Mimi Sina ndio maana huwez kuona na questions tactics za Mikel

Kwenye training session yupo nao yeye, wewe upo huku Mtakuja village kwenye Banda la kubeti unatoka povu , asimpange Kai havertz


Ndio Maana tunaishia kuwashangaa ,Cha ajabu mnanichukia Mimi,

Thus why huwez nikuta namuandama Arsenal fan kisa hatukubaliani mitazamo ,kila mtu aamin muda utaongea ,muda umeshaongea kwenye matukio mengi kwa aibu huwa mnakaa kimya

 
Subiri matusi kutoka kwa chawa wa Arteta, wenye leseni ya ukocha aliefundisha timu ya mpira.. atakuambia wewe hujawahi hata kufundisha timu ya chekechea.
Masingeli mwenyewe anajikubali kinoma, anajiweka level moja na mapundits kama Paul Merson, Danny Murphy, Martin Keown, Garry Neville, Dion Dublin, Chriss Wadie, Mark Lawrenson na Peter Drury.
Huku bongo anasema kidogo George Ambagile ndio wanaweza wakakaa pamoja wakajadiliana kuhusu mpira, ila watu wengine wote hapa bongo hakuna anaejua mpira, halafu ukimpinga kwa hoja anakuambia una wivu unamfatafata sana anakupiga na marufuku kabisa usimquote, akikuhurumia sana atakwambia "wewe jamaa kujibiwa Ni matumizi mabaya ya MB"




#Arsenyo Ndoo
#Harvez Kiatu
 
Timu zinazopewa nafasi kuchukua UCL

Ukiwa makini Sana na mfatiliaji mzuri wa soka

Bayern na Madrid kwasasa hawana makali Kama miaka miwili mitatu nyuma

Binafsi huku UCL nauona mpinzani halisi Ni mancity


Time Will tell
 
Jumapili inatakiwa upigwe msako wa maana , mashabiki wa nyumbu waone hili jukwaa kituo Cha polisi
United is the only club that have beaten Arsenal the most in history.

United is the club that inflicted Arsenal their biggest defeat in history

United is the club with most wins against Arsenal in their home ground.

Loyal wives since 16BC
 
Ww hujui kitu mkuu...hujui🤠🤠🤠...ulikuwa unamsifia sana Mount sasahv povu linakutoka kama lote kumlaumu mwamba bila kukubali tatizo ni 7 hag a.k.a baba ubaya..yule ndo shida pale
 
Sijampiga marufuku mtu asee usinipakazie

Nilimpiga marufuku jamaa mmoja mamluki anasema yeye Ni Newcastle kahama Arsenal, halafu hana hoja


Mimi kwa hapa bongo nakaa na Ambangile , wewe mwenyewe unalijua Hilo


Tatizo humu Jf fata upepo wengi

Wewe mwenyewe shahidi mangapi niliwaambia kule jukwaan kwenu Leo mnaona aibu mmebaki mnamsifia 7hag kwa unafiki

Juz mashabiki wa manjesta wamemuandama Sana Ambangile wakamchukia sababu amesema 7hag Hana Talent ID,Hana playing style, hajui kusajili ,hizi hoja nilijadiliana nae mwaka Jana ,akasema ni kweli ngoja ampe muda 7hag, Sasa hivi mashabiki wa manjesta wanamchukia


Hapa bongo makanjanja wengi , wachambuzi nguli wachache

Usione humu naenda kinyume na 90% Ni sababu wengi uwezo wa kufikiri na kuchanganua mdogo

Nakupa


Mtu anakwambia mudrky Ni zaidi ya Martinelli,Tena anabisha ukimpa fact anasema analazimishwa kukubali

Haya Arsenal wamekataa swap na Mudrky kwa mchezaji ambaye ni sub ,means huyo mudrky hafai hata kukaa sub Arsenal

Huo Ni mfano tu ipo mingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…