Arteta hana akili kihivyo,acha kumpa sifa asizostahili
T bag anajua kuliko Bruno ,utofaut ni Bruno amecheza mechi nyingiAstaghafirullah halafu unayaandika haya macho makavuuuuu.
Mashabiki wa Arsenyau banaaa kwa kupenda kujitoa akili, Tbag kabahatisha mechi 2 tu hizo sifa anazopewa sasatunamsubiria mechi na Man Utd tuone huyo teja jinsi atakavyo tukanwa humu. View attachment 2733636
Wewe ndio shabiki uchwara. Kazi yako ni kusifia ovyo. Ni kama bendera fuata upepo.Nimeshikilia maana mmezid unafiki
Kai mechi 3 tu mnaleta chuki
Na ataendelea kucheza ili mkasirike zaidi
Uzuri Arsenal haisikilizagi makelele ya mashabiki uchwara historia ipo hivo
Ww chawa wa masingeli na wenzio mbona mnapelekwa kama makondoo hivi chelsea kwa akili yako wanaweza kumtoa Mudryk plus hela
Out of topicUnataka tufanane mawazo mkuu...nyny mnaopinga mbona siwashukii kama ni chawa wa kitu flani au mamluki....nimeshabikia Arsenal tangu mwaka 2000...kwa Sasa timu ilipo naona kabisa tunarudi zile zama za 2000-2004...Sasa kwnn nisiwe optimistic....sikulalamiki vpindi vigumu nilalamike Sasa kwli??....HAPANA....glory days are ahead...Kai mtu na nusu
Mimi nishazifunga timu kubwa ulaya na nikabeba makombe ambayo tangu Arsenal ianzishwe haijawahi kubeba na story zenu za vijiweniWewe shabiki wa ukengeni kumfunga Luton tayari Umeanza kutembelea jukwaa hili
Kukulela ni ukuta wa berlin ule, tena unapiga LB na LW kwa wakati mmoja.Mnakaribia kumchukua Manywele Cucurella aje kuwasaidia kazi....imagine back line ya Cucurella...wan bissaka...Magwaya...na Martinez...kuna kitu kizito kitawakuta mkuu
Ww acha kutoka nje ya topic lete link yako ya uongo ya kumpeleka Mudryk plus cash kwa huyo Smith RoweHamna akili ,ndio maana huwa nawaambia ukweli
Mfano jukwaa la manjesta wote wanakomaa 7hag Ni kocha wa maana hawataki ukweli
Je hao ni machawa wa nani
Vyanzo vyote hivyo na huwezi kuchuja habari, huoni unatatizo! Eti chelsea ilikua inamtaka Rowe na Arteta akakataa, huoni hizo ni habar za kuuza magazeti?Mimi Nina vyanzo vya habari zaidi ya 100 ,na vipo grouped kuanzia Tier 1 had4
Nimekuuliza swali hujibu, habari ya Kenge kumtaka Smith kwa swap ya mudrky inapatikana vyanzo gan ili nikuhoji Kama hivo vyanzo ni udaku au lah
Kenge mlimtaka balogun nayo unabisha hata kenge wenzako walipost kule kwenu
Na Sasa nakupa mpya baada ya Arteta kugoma kumuuza Smith mehamia kwa Cole Palmer wa city
Hawa makondoo wanaleta story za vijiweni humu halafu wanaambukizana ujinga na machawa waoVyanzo vyote hivyo na huwezi kuchuja habari, huoni unatatizo! Eti chelsea ilikua inamtaka Rowe na Arteta akakataa, huoni hizo ni habar za kuuza magazeti?
Nyie Kondoo kila kitu mnaamini, ndio mana kila msimu mnatoka kapa na mpo tu mnaamin, na msimu huu mnatoka kapa mtakwepo tu kama mazuzu.
Yaani nikishamuona hat mtu tu amevaa jez y Arsenal huwa namuonaga hayupo sawa kichwani.
Bado huna timu ya kustahimili msako pale Emirates
Hata Fulham ni sababu Wana kipa anayefanya Sana save
Huyo jamaa ni kiazi, halafu kuna kondoo kila anachosema wanaamini. kuna baadhi wameshaanza kumshtukia porojo zake.Wewe ndio shabiki uchwara. Kazi yako ni kusifia ovyo. Ni kama bendera fuata upepo.
Naweza sema wewe ndie mtu unaetupa sifa mbaya mashabiki wa Arsenal kwenye jukwaa letu na majukwaa mengine kwa chambuzi zako za ovyo.
Unafanya analysis kishabiki.
Nakuona kwenye majukwaa mengine ulivyo kigeugeu.
Ile siku ya transfer saga la Caicedo, wakati Liverpool wanajaribu kufanya hijack, we ukawa upande wa Liverpool na kuanza kusifia.
One day after Chelsea wanafanya comeback, wewe ukajipeleka upande wa Chelsea. Sijui ukoje home boi. Kama unabisha sema tulete screenshots hapa.
Acha mambo yako wewe!
Ukimwambia leta source, anaruka ruka tu. Hata Kwa akili ndogo tu, yaani umtoe Mudryk uchukue Rowe??! tena eti tuongeze na hela, sio Arsenal ndio waongeze hela.Hawa makondoo wanaleta story za vijiweni humu halafu wanaambukizana ujinga na machawa wao
Hapo deal ifanyike.Yeah ni kweli, Kuna kipindi Smith alikua supersub
Kila akiingia Kama sio goal Basi asist
Vipi Kenge wakiweka £100 plus mudryk mezani?
Wewe ndio shabiki uchwara. Kazi yako ni kusifia ovyo. Ni kama bendera fuata upepo.
Naweza sema wewe ndie mtu unaetupa sifa mbaya mashabiki wa Arsenal kwenye jukwaa letu na majukwaa mengine kwa chambuzi zako za ovyo.
Unafanya analysis kishabiki.
Nakuona kwenye majukwaa mengine ulivyo kigeugeu.
Ile siku ya transfer saga la Caicedo, wakati Liverpool wanajaribu kufanya hijack, we ukawa upande wa Liverpool na kuanza kusifia.
One day after Chelsea wanafanya comeback, wewe ukajipeleka upande wa Chelsea. Sijui ukoje home boi. Kama unabisha sema tulete screenshots hapa.
Acha mambo yako wewe!
kweli kabisa kuna ID huwa anajisuport mwenyewe mana unakuta mtu anamsaport kw kitu cha kipuuzi, kitu hata mtoto mdogo hawez kusuport, unajiuliza anaesuport zimetimia kweli??!yaani kuna chawa humu kabla ya kulog in kwanza hua wanamkabidhi Masingeli akili zao awashikie, sometimes mpaka hua nahisi huenda na hizi A/c nyingine pia ni za Masingeli maana sio kwa kujitoa ufahamu huku Aiseeee.
Flano huu ndio muda pekee wa nyumbu kufurahiHome boi akikujibu naomba unitag.
#Arsenyo Ndoo
#Harvez Kiatu
Wewe ndio shabiki uchwara. Kazi yako ni kusifia ovyo. Ni kama bendera fuata upepo.
Naweza sema wewe ndie mtu unaetupa sifa mbaya mashabiki wa Arsenal kwenye jukwaa letu na majukwaa mengine kwa chambuzi zako za ovyo.
Unafanya analysis kishabiki.
Nakuona kwenye majukwaa mengine ulivyo kigeugeu.
Ile siku ya transfer saga la Caicedo, wakati Liverpool wanajaribu kufanya hijack, we ukawa upande wa Liverpool na kuanza kusifia.
One day after Chelsea wanafanya comeback, wewe ukajipeleka upande wa Chelsea. Sijui ukoje home boi. Kama unabisha sema tulete screenshots hapa.
Acha mambo yako wewe!
Wewe huna timu bhana ,umemfunga Luton ushaanza kuona una timu ya ubingwaMimi nishazifunga timu kubwa ulaya na nikabeba makombe ambayo tangu Arsenal ianzishwe haijawahi kubeba na story zenu za vijiweni
Ulitaka Leno abaki acheze wapi?Huyo ndio hamis77, kwanini mlimuuza?