Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ooh Rashford Ni Bora,Mara Bruno Mafizi,Mara Salah Bora Kuliko Saka,DM Bora Casemiro Mbona Hawatuwaon Hapa Kweny Kikos Bora Cha PFA.
Kama Humuoni Mchezaji Wa Timu Yako Ujue Timu Yako N Kikundi Cha Mdundiko
 
Mashabiki wa Chelsea wanakuja humu wanadai mudrky anajua na bla blaa kibao


Klabu yao inataka kumtoa Mudrky plus pesa wampate Smith Rowe


Arteta kasema huyo dogo auzwi, Kama wanamtaka walete €100m
 
Arteta yupo sana🤠🤠🤠...na ninachokiona Emile Smith Rowe atabaki na Gabriel naye atabaki....tumecheza mechi tatu tu za msimu....si Kila mtu atacheza...tuna michuano mingi safari hii...mingi mno...Kila mtu atapata dakika za kutosha....mbona David Raya watu hawalalamiki hachezi mechi ya pili hii...Kai will deliver with time....j2 tunaanza kushinda mfululizo huku watu wakitoka na possession ya 80% kwa 20%🤠🤠🤠....kuna mtu mwingine mmoja atasajiliwa kabla ya dirisha kufungwa.....nahisi on deadline day
 
Folarin Balogun will officially sign in as new AS Monaco player today. Medical completed on Tuesday


Arsenal will receive €40m package add-ons included plus sell-on clause.
 
Mkuu hawa wapiga kelele wapotezee kama huwajui watakuumiza kichwa

Mtu anakwambia Arteta anamtumia Partey as RB ili Kai apate nafasi

Mtu Kama huyo atakupotezea muda

Arteta ameshamtumia Partey as RB toka last season,Kai hakuwepo

Agenda ni Kai havertz tu hasa chuki wanazopandikizwa Wala hakuna kingine

Kuna ushahidi humu hao hao walishamkataa Ødegaard, Rice, Trossard, Rams, Vieira ,Usajili wa Jesus ulipondwa vzr tu humu, Zinny, list ni ndefu

Hao hao walisema Arteta hawez kucheza na Double 8/10

Leo wanakwambia kwanini ananabadili mfumo


Unamuuliza mtu umewahi fundisha hata timu ya kanisa au jumuiya ?

Unataka acheze 4-3-3 unajua huo mfumo bila Zinny, Magalhaes Hana imapct ?

Tumempoteza Timber ,Zinny ndio anarejea

Unataka acheze 4-3-3 ya kuinvert LB na KT ambaye hawez hiyo role

Solution ni kutumia Inverted RB ambaye ni Partey maana Timber Ni injury

Mtu anakwambia sababu ni Kai acheze

Kai atacheza na atakaa bench vilevile ,
 
Romano:

"Havertz is a player they 100 % trust at Arsenal."


Ndio uzuri wa Arsenal ,hata kipindi Cha Ozil,Auba Saga , Ramsdale aliposajiliwa Hadi kufunga social media

Klabu haikutaka kusikiliza hawa wapiga kelele ambao mwisho wa siku huwa wanatokomea
 
Mudrky plus


For Emile Smith Rowe

Arsenal say NO
Acha kujitekenya mwenyewe, tupe source? Ifike mahali mumove on kw Mudryk, tunajua aliwaumiza nafsi zenu ila mwacheni kijana wa watu yeye katulia ila nyie ndio manateseka.

Halafu naona unaforce kuwa chelsea inataka wachezaji kutoka Arse88, ulianza kwa Balogun now umehamia kwa Rowe? Wapumzishe kondoo wako kw habar zako za kutunga.
 
Bakini na Mudi wenu🤠🤠🤠...hatumtaki
 
Mudrky plus


For Emile Smith Rowe

Arsenal say NO
Mbona tunafanya huu ujinga wa kukataa?
Chukua huyo flop Muddy na mshiko. Anakuja huku kwetu, anaimprove anakuwa balaa zito. Peleka ESR kule, anaflop haraka sana anapigwa bench. Next season tunaemchukua tena Kwa 5m. Tunajikuta tuna ESR, Muddy na mshiko. Arteta na Edu wataanza kuwa na akili lini hamis77 ?
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wapi umeona tunataka tumuuze Mudryk kama sio story za vijiweni Mc masingeli anawaletea humu, halafu wewe pekee ndio umegoma kushtuka na story za Masingeli.
Mumuuze wapi🤣🤣🤣....mnataka kufanya barter trade na sisi....hatutaki🤠🤠🤠....bakini na Mudi wenu....
 
Ata me navoona kila mtu abak na ya kwake matatizo tu asee…
Kabisa...Chelkenge Wana matatizo mengi sana pale....Mudi, Reece James, stelingiiii, galaghaaaaa, full beki minywele yule namba tatu.....yaani hayo yote ni matakataka...sisi wenyewe tumeyaondoka matatizo mawili. Bdo matatu...holding, Cedric, Pepe ....halafu watulaghai tena kutupa Mudi....tumegoma🤠🤠🤠🤠
 

Na yule muddi fala sana …iv sijui alituonaje onaje yan kpnd kile tulivomhitaj!!! maanina zake na badooo…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…