Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Chelsea loaning Cucurella a year after signing him for £62m

But the media and some toxic fans wants to talk about Havertz after 3 PL games, which he won 2 and drew 1
 
First eleven ipi


Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 

last time kushinda EPL /UCL ni lini ? Hizi false hope ila arsenal fans mna imani nzito sana na timu yenu. Declan kucheza namba 6 hilo tutalikumbuka lakini arsenal kuchukua EPL/UEFA hilo haliwezi kutokea kamwe!
 
Wenzio wengi washapita na unjuka kama huu afu wameishia kusikojulikana, toka kina milango mitatu paka wale wa Newcastle, kwa mazingira yako mi nakuona form one tu badili mfumo babu haulipi huo.
Wamebaki kutafuta mbuz wa kafara

Huwa nacheka Sana mtu anazungumzia eti Arteta atafukuzwa , habari ni hii huyu jamaa huenda akakaa zaidi ya Arsene Wenger
 
Last five meetings at the Emirates:

Arsenal 3-2 United
Arsenal 3-1 United
Arsenal 0-0 United
Arsenal 2-0 United
Arsenal 2-0 United
Kwa miaka 5o ijayo Ushindi wa nyumbu pale Emirates itakua kupata sare tu
Tofauti na hapo ni FIMBO mwanzo mwisho
 
Chelsea loaning Cucurella a year after signing him for £62m

But the media and some toxic fans wants to talk about Havertz after 3 PL games, which he won 2 and drew 1
Ila Kenge Wana biashara kichaa kinoma
Ata inshu ya lukaku walimnunua kwa £90m msimu mmoja mbele wakamtoa kwa mkopo kwa yule yule aliyewauzia kwa bei ya kitapeli


Mudryk Kama tutamtaka tutambeba kwa chini ya £40m
Hapo installation Kama 4 hivi
 
You better shut ya mouth bruv! kabla ya Mikel ulikuwa huna hata ndoto za kuwaza big trophies. Sasa hiyo jeuri unaitoa wapi mzee au kuna kitu kichwani hakijakaa sawa?
Kwamba tunapangiana cha kuongea??


Amepewa muda + hela. We are supporting him this season, lakini ni lazima at end of season tuone makombe yapi.
 
Mkuu, wadau wameanza kuzishabikia Arsenal, Manchester United, Chelsea na Liverpool before JF haijaanzishwa.

Mapenzi ya timu hayapimwi kwa kuwa active JF.

Arteta amepewa muda + hela. Its time to deliver. Hata Chelsea walimpa full support GP, lakini walivyoona hamna muelekeo, wakamla kichwa.

Ampange Kai kama centre back, Saka as DM, but end of season, tunataka tuone trophies.
 
Basi muwe mnakaa kimya msiwapangie watu kwakuibuka Sasa na kuleta makasirikio

Tunaweka kumbukumbu sawa yaliyotokea nyuma , Kama hukuwepo jifunze kwanza au usilazimishe mawazo yako

Humu humu walikuwepo watu walioponda sajili za kina Øde, Rams, Jesus,Zinny, n.k na kumbukumbu zipo

Humu humu usajili wa Trossard ulikataliwa kuwa umri wake mkubwa humu humu


Na hao hao ndio wanarudi kuponda sajili nyingine Kama Kai ,Vieira kwa kufata mikumbo

Na Mchezaji anayeandamwa baadae akiwaumbua hatuoni wakikiri hadharani

Bali wanageukia mchezaji mwingine

So hizo tabia wanazichukua hasa manjesta au chelkenge ambao ndio kazi zao

Zimekuja had tabia za kimamluki mtu anasema amehama timu ,lakin kutwa kuponda tu
 
Wewe dadamlamayao umekuja juzi tu, lakin hata lugha zako sio nzuri

Unataka Arteta apange timu kwa kusikiliza mashabiki?

Yaan asikilize kelele za mashabiki ambao hata NT yenu kucheza CHAN haiwezi?

Kipind hampangi Auba ,ozil mlipiga kelele ,mwisho nani alishinda Vita?

Hakuna anayemuona Arteta malaika , sisi tupo humu toka enz za Wenger ,Emery , Ljumberg had Arteta ,tunaongea vitu tunavyovijua

Tulimpinga emery humu mwanzon tu alipoleta mpira wakijinga na kuwa na poor talent ID , ndio maana hata pale Emirates alibebewa mabango


Niliwahi mwambia mtu humu anayejifanya anampangia Arteta tactics ,akadai atafukuzwa ,nilimwambia ulishawahi ona Arteta kabebewa bango hata la mchongo pale Emirates even hata kipind kigumu alichopitia , alienda Google akaja na la ku editiwa

Hata kipind anapitia wakat mgumu tulioona mwanga tulisimama nae imara

Wabwatukaji akiwepo rafiki yangu Edo kumwembe kwasasa ndio wanamkubali na wamejipa urais wa Arsenal Tanzania


Wewe ndugu yangu sidhan hata kama umewahi fundisha timu ya kanisani au msikiti
 
Arteta hawez kufukuzwa ,kwanza pale Emirates Kuna banner na anaimbwa daily

Ni mashabiki wenye mihemko tu wanaoongea mitandaon ambao hawana effect yoyote

Siku Arteta akielekea kufukuzwa nitakwambia pale utakapoona tunacheza Kama Erik 7 hag,ukiona Arsenal tunacheza Kama hivo mapema tu safari inamuhusu

KSE wamemuamini ,unajua katika bodi ya Arsenal ,alikuwa anaingia Arsene Wenger ,na Sasa anaingia Arteta ? Unajua ana maamuzi kwenye bodi ya Arsenal Tena makubwa pamoja na kwenye timu

Akitaka mchezaji fulan awepo anabaki, e.g Elneny

Unajua bodi karibu yote ilitaka Auba asamehewe akiwepo Edu, Arteta akagoma na akasikilizwa

Sasa wewe endelela kulalamika mitandaoni apange unavyotaka wewe ,Mara oho atafukuzwa

Hata Wenger hakufukuzwa ila mashabiki tulimchoka tukitaka sura mpya

Siku Arteta ukiona anacheza Kama manjesta Basi atajiuzulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…