Jamaa kumbe anaona uozo wake halafu anajisahaulisha.Arteta on Havertz:
"I saw an action when he played backwards and he could have turned"
"That's more I think the demands of everybody to play forward and to impact the game in the final third because we had the urgency to win."
Anasaidia kuovalodi, na kukrieti pozisheni plei intachenji,kuwini aelo dyueliii😆😆😆😆.....Kai Hana Cha kusaidia Arsenal tusidanganyane jamani.
Moja Kati ya wachezaji ambao mashabiki wanaimani nae kubwa huyu akiwemoTRANSFER -
Sources claim that an offer way above market value may tempt the Gunners into selling Emile Smith Rowe before Friday’s deadline.
(@SamiMokbel81_DM Tier 1 )
mailplus.co.uk/edition/sport/…
Yaani nyie Kondoo kwa kudanganyana. Chelsea wawape Mudryk wachukue hiyo takataka, injury prone.Ebu na Mimi nitie neno kwa Emil Smith Rowe
Arteta bila kupepesa macho anasema Rowe yupo kwenye plan zake, hii haizuii kusikiliza offer
Tena Bora offer itokea kwenye timu ambayo haipo Epl wanaweza wakalegezewa
Sasa offer itoke kwenye timu ya Epl, alafu wa jiji la London daaah sio chini ya £80m
Ipo hivi Rowe akibaki ni fresh zaidi ila ikija offer tamu anapigwa bei
Binafsi naombea deal li-collapse
Chelsea anataka swap deal, yani mudryk plus pesa ili amchukue Rowe
Sasa Kenge nadhani watakua wamekubali kuwa either Mudryk walipigwa au ha-fit kwenye mifumo yao
Hapo hapo, utajiuliza Sterling anafit vipi alafu mudryk anashindwa vipi?
Kama mudryk akija itakua mbadala sahihi zaidi kwa saka
Ana drive force nzuri, ana speed
Biashara ikifeli itakua Bora zaidi, tubaki na Rowe wetu
Kuna michuano mingi baada ya international break
Ligi, Uefa, FA, Carabao
Nelson, Fabio, Rowe,.. wote watapata muda wa kutosha
View attachment 2732727
Rowe ni wa kubaki arsenal na endapo akiuzwaEbu na Mimi nitie neno kwa Emil Smith Rowe