kilamba lamba
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 427
- 738
ARTETA kashamtumia Partey as RB Inverted kabla hata ya Kai kujaKai anatakiwa atokee sub....ili turudi kwenye Mfumo wetu. Kai siyo m baya ila huu mfumo ndo M baya lwetu
Umenena vyema ila huyu Kai sio wa kumsogeza kwenye CF, huyu atulie kwanza benchi coz kwenye hiyo nafasi kuna watu ambao wako clinical zaidi yake nikimaanisha Jesus na Nketiah.kitu ninachokiona kai harvertz sio mbaya ila hatakiwi kucheza LCM, Kai inabidi acheze CF, hii itaturudisha kwenye 235 shape in possession, haya mambo ya diamond nimeangalia game vs Palace nikaona kuna gap kubwa sana upande wa Martinelli, compactness haipo, Martinelli anakosa mtu wa ku combine na ku rotate kama last season sababu kuna moments Kai anakuwa km second striker close to the box, Martinelli anabaki isolated mno ni rahisi kumzuia, hii inaua fluidity kwa kiasi kikubwa, soln ni kumsogeza kai at CF, mmoja kati ya Ode/ ESR / Trossard acheze LCm afu RCM abaki mnyama mkali Vieira, huyu kwa show ya jana mpira anaujua paka anajua tena afu he is so talented zaidi ya Bruno Fernandes.
Wewe ndugu acha POROJO zako sijui za inverted,sijui mfumo,sijui Kai anasaidia ku-win mipira ya juu kumbe ni UHARO tu, yaani as if Mpira huwa unaangalia mwenyewe na kuja kutupa porojo JF,acha ufalaARTETA kashamtumia Partey as RB Inverted kabla hata ya Kai kuja
Anamtumia hivo kwa kukosekana Zinny
Hii inaonesha mnaongea vitu msivyovijua
Huyo jamaa kama ni ushabiki basi amepitiliza!Wewe ndugu acha POROJO zako sijui za inverted,sijui mfumo,sijui Kai anasaidia ku-win mipira ya juu kumbe ni UHARO tu, yaani as if Mpira huwa unaangalia mwenyewe na kuja kutupa porojo JF,acha ufala
hamis77 ujumbe wako huuWewe ndugu acha POROJO zako sijui za inverted,sijui mfumo,sijui Kai anasaidia ku-win mipira ya juu kumbe ni UHARO tu, yaani as if Mpira huwa unaangalia mwenyewe na kuja kutupa porojo JF,acha ufala
Hili jambo linashangaza sana sijawahi experience ufan wa namna hii anafanya kusudi but moyoni ukweli anaujuaHuyo jamaa kama ni ushabiki basi amepitiliza!
Anataka aonekane muda wote yuko sawa.
Mpira ni mchezo wa wazi. Haiwezekani yeye asifie kila kitu hata kama mchezaji au timu imecheza ovyo.
Anasema eti nina chuki binafsi na Havertz.. kama ndo hivyo basi watu wote wanamchukia.Hili jambo linashangaza sana sijawahi experience ufan wa namna hii anafanya kusudi but moyoni ukweli anaujua
kwa definition ya physicality kwa mujibu wa Mikel Arteta Kai yupo mbele ya Eddy na Jesus sababu kubwa ni mrefu, something which i agree, Kai ana uwezo mkubwa wa kuipa timu tactical variation kuliko hawa wawili. Binafsi kiroho ngumu ningependa kumuona Kai at CF, Ode RCM, Viera Lcm, Rice at 6, Partey inverted fb ili aendelee ku cover gap lililoachwa na Xhaka defensively akisaidiana na Rice.Umenena vyema ila huyu Kai sio wa kumsogeza kwenye CF, huyu atulie kwanza benchi coz kwenye hiyo nafasi kuna watu ambao wako clinical zaidi yake nikimaanisha Jesus na Nketiah.
Kai akicheza kama CF, maudhi yataendelea. Kosa kosa zitakua nyingi.
Tutaendelea ku-create xG kubwa kila game mwisho matokeo yakawa sio upande wetu.
Ukiwa kama CF nowdays unahitaji uingie kwenye battle na mabeki pamoja na viungo wa timu pinzani, and the worst thing hii ni EPL. Mabeki wako more physical. Muangalia mtu kama Van De Ven, Gvadior, Ruben Diaz, Konate, Tyrone Mings, n.k. Ukiwa na mchezaji mwepesi kama Kai, kila siku tutakua tukilaumu tu.
Hhm! Huyu Kai sijui tumfanyaje, mana hata Özil alikua mlenda lakini sio kama huyu.
Game aliyomtumia ivyo pia ni Brighton na tulikufa 3 na, kina tonny adam walihoji why Arteta anamtumia Partey eneo hilo au ndo maandalizi ya msimu ujao (huu), naona ndo plane yake ilikua ila hailipi hata kidogo aiseeARTETA kashamtumia Partey as RB Inverted kabla hata ya Kai kuja
Anamtumia hivo kwa kukosekana Zinny
Hii inaonesha mnaongea vitu msivyovijua
Kumradhi game na NottghmGame aliyomtumia ivyo pia ni Brighton na tulikufa 3 na, kina tonny adam walihoji why Arteta anamtumia Partey eneo hilo au ndo maandalizi ya msimu ujao (huu), naona ndo plane yake ilikua ila hailipi hata kidogo aisee