Arsene wenger amefungiwa mechi 2 nyingine za uefa..dah! It means mechi na udinese hatakuwepo..its arsenal against the world.
Wasiwasi wangu ni wakati ambao Arsene Wenger ameamua kuiongia sokoni,muda uliobaki ni mchache sidhani kama itakuwa rahisi kwa Timu husika kuachia key players waondoke bila ya kuwa na hakika na replacement...na kuna mambo tukijiuliza ni vigumu kupa majibu.Sasa tuko serious,Arsene Wenger has lodged bids for Lille's Eden Hazard,Rennes'Yann M'villa and Everton's Phil Jagielka as he attempts to bring in significant reinforcements before the close of the transfer window.
For a starter hatuhitaji uwanja kwa sababu our stadium is ranked 23rd in the world na wa kwenu ni 61st FACT! And its good as it is.
2nd Huyo mpiga picha aliyepiga hiyo picha ni mmoja wa photographers ninao waheshimu duniani sasa kila wanapoproduce master pieces uwa ninashare na jamii.
3rd Go back to Finance 101 (Singapore-Asia is a booming market-)
<br /><font color="#800000"><font size="4"><b>Pumba, lini wewe ulikuwa kocha Wacha ngebe we shabikia tu na uone vinaelea. absolutely rubbish.</b></font></font>
Ulikuwa na miadi naye?
Khekheeeee! asante KATIBU wa ITIKADI na UENEZI bila kusahau PROPAGANDA wa Arsenol fans apa JF.....
Asa ukimwona MBU mwambie anitafutie na MICHELLE....na BBK......nina MIADI nao.
Arsenal ilikuwapo kabla ya Fabregas na Nasri!Mmmh! mmeanza na gundu!!..maumivu ya Fabregas hayo,lol!!
Aaaaaaaaaaaah Belinda......Unaharibu bana....Fabregas tushamsahau sie.....Na Nasri tunaelekea kumsahauMmmh! mmeanza na gundu!!..maumivu ya Fabregas hayo,lol!!
Arsenal ilikuwapo kabla ya Fabregas na Nasri!
Bythen hawakuwa na contibution kubwa kivileeee cuz with their presence hatujawahi kuchukua kombe lolote!