Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mechi 38
atcheza vizuri mechi 5
Atacheza kimlenda mlenda mechi 33
Amueni kusuka au kunyoa
 
Odegard ni bonge la player

Martineli ana mechi na mech

Saka asicheze dkk 90 atafutiwe challenge

Patey kukaa beki ni ufalaa

Kai havet apewe mda

Trosad aingie sub ndo anakuwa mtam

Nketiah ana kitu apewe nafasi

Ramsdale apewe likizo kidogo

Arsenal iache utoto, iache kucheza na refa.
 
Mlishaponda wachezaji wangapi walipofanya vzr mbona hatuoni mkikiri

Kai ataendelea kucheza daily


Hata Øde mlimuandama Sana humu

Leo mnamuimba
We jamaa huelewi au? Ni kwamba akifanya vibaya anakosolewa akija kufanya vizuri anasifiwa. We ni fuata upepo kila anachofanya Arteta kwako wewe ni sahihi hata kama anakosea.
 
Mchezaji mzuri utamjua asubuhi au mechi za mwanzoni. Fabio Vieira is far better than Havertz
Zile minutes anazopewa Havertz angepewa Vieira angewafikisha mbali Arsenal
 
Hata Fabio Vieira walisema atolewe mkopo au auzwe ,now Kama hawapo vile

Wanatokea pale anapokosea
Nisikie nikusaidie
Watu (fans) wa arsenal wanaolaumu wachezaji wao they dont do it out of nowhere
mchezaji anapopata nafasi anapaswa kuonesha ubora wake au nn anaweza kufanya kuisaidia timu so far Kai amecheza mechi zote 3 lakini hata kama hujui mpira unashindwa kuona mchango wake ktk timu
cheki alivyoingia jogihno au zinny angalia walivyokuwa wanapiga forward pass hicho ndicho tunachokitaka ss mashabiki tuone impact ya kila player wetu.

Angalia timber amecheza mechi 2 tu lakini anakupa matumaini as a fan

Nijibu hapa unawezaje kumtoa trossard ambaye yuko form unamwacha Kai ambaye bado haja fit in ??am sure kama trossard angeendelea kuwepo tungewin

Kai anahitaji muda kocha anabidi aelewe hicho kitu au ambadilishie position au tumepigwa yote yanawezekana
 
We jamaa huelewi au? Ni kwamba akifanya vibaya anakosolewa akija kufanya vizuri anasifiwa. We ni fuata upepo kila anachofanya Arteta kwako wewe ni sahihi hata kama anakosea.
Hatukatai ,tunataka response hiyo hiyo na wanapofanya vzr ,unaweza kuniambia Kai Jana kakosea kitu gani

Shabiki wa kenge lakin umegoma ku move on kwa Kai


Mbona nyie mna wachezaji wa ovyo kina mudrky ,unahangaika na Arsenal ,wakati kenge mna mizigo yakutosha
 
We jamaa huelewi au? Ni kwamba akifanya vibaya anakosolewa akija kufanya vizuri anasifiwa. We ni fuata upepo kila anachofanya Arteta kwako wewe ni sahihi hata kama anakosea.
Na shabiki mzuri ni huyo anayesifia kocha au mchezaji akifanya vizuri na kumkosoa akifanya vibaya.
Shabiki anachohitaji ni burudani, kama hiyo burudani haipo, urafiki na kocha au mchezaji unakomea hapo hapo
 
Kai ni mzuri kidogo kwenye wide winger, no 10 au atatcking midfield ila msimpe majukumu ya kukaba kwa ukonokono wake ule. Ila hata kwenye hiyo best position bado Kai anafaa kuwa kwenye timu ambazo hazigombei makombe makubwa
Hata sikupingi

It is very alarming mashabiki wa timu mbili wanapoungana kuhukumu mtu mmoja
 
Bado Trossard Jana hakuwa vzr ,thus why mm napenda kumuona akitokea bench

Mchezaji aliyekuwa anapondwa Vieira ameiva Sana, why wale wale waliokuwa wanamtukana na kumponda na kudai atolewe mkopo hatuoni Tena wakitoa credit,unafiki Kama huu ndio tunaupinga ,

Kai unasema mechi zote hakuna alichofanya ,ulitaka afanye nn, since vs city kacheza vzr , ukiambiwa mech ya Jana Kai kasababisha wapi tukose matokeo unaweza elezea ?

Kuna mwingine anamlaumu Zinny Jana
 
Natabiri Arteta atafukuzwa msimu huu
Na atakayefanya afukuzwe ni Kai Havertz
Anamfanya Partey kuwa RB ili tu Kai Havertz apate nafasi ya kucheza!
Kwa mtindo huu, wenye timu wanamkodolea macho tu na walimpa pesa nyingi halafu anaenda kumleta Kai Havertz badala ya kuwaleta kwa bei rahisi mchezaji kama Mohamed Kudus
 
Kitu gani huyu Fabio Vieira amemkosea Arteta?
Fábio Vieira hatambuliki. Anacheza aggresively na anatafuta mipira kwa juhudi kubwa. Anatoa krosi za ajabu, na jana alikuwa na assists moja japo msimu uliopita alipingwa sana na kidogo auzwe au atolewe mkopo. Mtumieni huyu badala ya Havertz
 


Upande wa Saka, huenda genius anataka kumchezesha Kai.
 
Kumove on kwa Kai?! Kwa kua alikua bora sana au? Ungejua tulivyoshangilia kuondoka kwake, mana alikua anamakwazo mengi kuliko furaha.

Mudryk tunampa muda, bado hajepewa nafasi. Akipewa nafas na akazingua nae tunamsagia kunguni.

Huoni upo peke yako unaetetea huo upuuzi, Mc masingeli makondoo wamekushtukia kuwadanganya nyeusi ni nyeupe.
 
Huyu ni aingie sub mpaka atakapokua physical au technical zaidi
 
Hii ya Partey kucheza RB sijamuelewa Kocha naomba wajuzi mnifahamishe tafadhali
 
Maybe Arteta anapokosea ni kumuingiza moja kwa moja kwenye mfumo huyu Kai
Kwa Kai tunahitaji kuwa na subira, tutapata kilicho Bora

Kutokana na majerui, inverted MD ilibidi partey achukue hiyo position
Sasa Zin karudi
Kuhusu false namba 9 au namba 9. Sasa Nketiah na Jesus wapo

Mbadala wa xhaka acheze Kai / Rice
Partey acheze pivoted MD 6

After all tuheshimu taaluma za watu. Kuna kitu Arteta kakiona kwa Kai ambacho wengi hatujakiona
Kama ilivyokua kwa odegard na huyu Fabio ambae Jana naweza kusema ndio man of the match
 
“This could be another Ozil.
Havertz is another luxury player we don’t need.”
“He’s trying to be a baby Pep! He needs to stop now or the title challenge is off.
”This Arsenal fan is concerned about Arteta’s new tactical set up
-TalkSports
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…