Kaumia Timber na Zinny ndo anarudi ,ulitaka Inverted LB acheze Nan mkuu au Kaz ni kulaumu tuUzuri wote team yetu tunaijua hali halisi ipoje let's wait hyo game ya Sunday Vs Manchester United Partey awe beki number 2 and Kai awe mzururaji utapotea humu JF Fernandez na Marcus Rashford watakavyofurahi kwa counter zao!
Mlishaponda wachezaji wangapi walipofanya vzr mbona hatuoni mkikiriUpo off point, tunachosema, Havertz is not fit to start, ajifue, akiwa fit tutam-support. Vieira is different from Havertz, kipindi hayupo fit , kuna vitu ulikuwa unaviona kwake sio hii takataka ya arteta - Havertz. Acha kuabudu, nadhani hata nafasi yako inakusuta.
I guess arteta atakuwa ameishapokea phone call kutoka kwa Edu na investor kuhusu hiyo takataka yake
Kaka Kai naturally siyo mshambuliaji hata kidogo kumuweka false 9 ni kuipa timu uzito.Kai anatumia Kiungo au false 9
Mm ni muumini wa 4-3-3 ya Double 8 ndan awepo Zinny
But kwasasa hatungeweza kucheza hivo Coz Zinny na Timber hawakuwepo
Wanaolaumu mfumo mfumo , hawaoneshi ubaya wa huo mfumo
Mm nafahamu Leno ,fabiansk,Martinez tukikutana nao wanakaza Sana ,
Hivi tungecheza kama manjesta je?
Ndio Maana nashangaa mashabiki wa manjesta wanaokuja humu , Arsenal kasare lakin huwez kusema tuna Hali mbaya
Mm napenda LCM wapokezane Rice ,Kai, Vieira ,Smith Rowe , Trossard kulingana na mechi
Hivi ni kweli Kai ndiye sababu ya kutoa sare Jana ?
Mbona Trossard hakuwa vzr , hata Martinelli bado hajaanza ku click ,why mbuz wakafara Kai ?
Hiki kitu ndio sikipend maana ni tabia za mashabiki wa manjesta na Chelsea,
Mlishaponda wachezaji wangapi walipofanya vzr mbona hatuoni mkikiri
Kai ataendelea kucheza daily
Hata Øde mlimuandama Sana humu
Leo mnamuimba
Mimi sijazungumzia Chelsea mbona unakimbilia huko wakati mada sio ChelseaTunaweka akiba ya maneno
Kushinda vs Luton tayari mshajiona mna timu ?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Safari hii yuko sawa kwa HavertzHuyo Morgan alishawahi kuomba msamaha kwa Arteta ,
Uzuri my manager hasikilizagi wabwatukaji
Since Ozil, auba saga ,
Since wapiga kelele waliposema asitumie 4-3-3
Hata kama wewe ni hsabiki huna hati miliki ya kuisemea timu. Kila mtu anayo haki ya kuisemea kila timuHujui kitu bruv.
Mashabiki wa Arsenal kwa % kubwa tuliamini na tulijua timu yetu ya msimu uliopita inakamata top four. A trophy would have been a bonus ila sisi tulijua top four ni rahisi.
Hatukuhitaji mtu wa nje aje atuambie. Kama ulisema, bas ulifanya hivyo kujifurahisha coz sisi tulijua kabla yako. Sisi tulijua tangu msimu wa pili haujaisha, tangu tupo pre season tunawafunga nyinyi nne.
Na msimu huu tangu pre season tunasema Kai anaharibu timu, mechi ya kwanza inachezwa watu tukagawanyika.
Hatukuhitaji wewe uje kutuambia tutakua wapi.
Hujui kitu
Ilikuwa ni UJINGA kuruhusu MPAMBANAJI Xhaka kuondoka kisha kuleta LEGELEGE na UHARO kama Kai Harvert,Xhaka ilikuwa hata ikitokea vurugu anasimama imara kutetea Timu
Mimi sijasema usiisemee timu nimesema haina haja kutuambia kwakua tunaona. Mfano mi ninavyosema Pochettino siyo kocha ni hamuwezi kunikataza lakini haina haja mi kuja kuwaambia kwakua nyinyi wenyewe mnaonaHata kama wewe ni hsabiki huna hati miliki ya kuisemea timu. Kila mtu anayo haki ya kuisemea kila timu
Arsepimbi ya msimu huu imeghoshiwa sana. Bado kidogo tu mtaanza kupoteana humu
Ile price tag na mshahara anaokula inakuforce umpe nafasi ingawa unaona hastahili.Sioni tatizo kuondoka Xhaka, tatizo lipo kwenye replacement it is like arteta alipewa mgao. Even his price tag was far unrealistic
Tusubiri tuone Mimi tungekuwa hatu creaate chances ,sawaXhaka kuondoka siyo tatizo.
Mimi nawaambia hapa namba ya Xhaka Emile anacheza bila shida namba ya Xhaka Rice anacheza bila shida.
Given Partey awe kati.
Shida ni Kai haonyeshi msaada kwenye kudefend wala kwenye kuattack.
Changamoto inaanzia hapo
Kai akiwepo upande wake haucreate chances.Tusubiri tuone Mimi tungekuwa hatu creaate chances ,sawa
Ila ni Hali ya mchezo tu, uzuri Zinny amerudi ,tunarud kwenye 4-3-3
Tusifike kulumbana Kama mashabiki wa manjesta au chelkenge ambao kumfunga Luton tayari wanasema Arsenal Wana timu mbovu Yao nzuri
khai ilikuwa ni biashara haramu bado hamuamini kama tuliwapiga?? khai mlipigwoooo..[emoji81]Xhaka kuondoka siyo tatizo.
Mimi nawaambia hapa namba ya Xhaka Emile anacheza bila shida namba ya Xhaka Rice anacheza bila shida.
Given Partey awe kati.
Shida ni Kai haonyeshi msaada kwenye kudefend wala kwenye kuattack.
Changamoto inaanzia hapo
Leta ushahidi hapaWewe Ni muongo
Last season ulisema hata top 6 hatuingii
Hata Fabio Vieira walisema atolewe mkopo au auzwe ,now Kama hawapo vile
Wanatokea pale anapokosea
Hivi Jana Kuna magoli Kai alikosa?
Tatizo ni chuki tu Wala hakuna kingine
Hii tabia walikuwa nayo manjesta kwa pogba ,wanayo mpaka leo ,wameambukiza had huku
Kwann mtu asiwasifie Fulham kwakushikilia bomba
Complaint ya mashabiki wa Chelsea kwa Havertz kwa miaka mitatu inaonekana haina maanaUpo off point, tunachosema, Havertz is not fit to start, ajifue, akiwa fit tutam-support. Vieira is different from Havertz, kipindi hayupo fit , kuna vitu ulikuwa unaviona kwake sio hii takataka ya arteta - Havertz. Acha kuabudu, nadhani hata nafsi yako inakusuta.
I guess arteta atakuwa ameishapokea phone call kutoka kwa Edu na investor kuhusu hiyo takataka yake
Kai ni mzuri kidogo kwenye wide winger, no 10 au atatcking midfield ila msimpe majukumu ya kukaba kwa ukonokono wake ule. Ila hata kwenye hiyo best position bado Kai anafaa kuwa kwenye timu ambazo hazigombei makombe makubwaKaka Kai naturally siyo mshambuliaji hata kidogo kumuweka false 9 ni kuipa timu uzito.
Kai akiwa false 9 hapo Arsenal, na Jesus au Balogun unaprefer nani awe false 9.
Naturally Kai ni AM jamaa anasikia raha kuassist na anaweza kuassist kuliko kuscore. If thats the case kwanini Arteta asicheze kwa kuangalia strength ya mchezaji? Ni kwanini Xhaka alionekana mzuri na Martinelli akashine ila siyo Kai?
Unafikiri ni bahati mbaya?
Kama uliangalia mechi itakua uliiona timu alivyokuepo Kai na alivyotoka. Tap in aliyomiss, low cross ya Saka ambayo ilimpita huku kasimama hapo hapo.