Kila timu mashabiki huwa wanatafuta mbuz wa kafaraHuko mitandaoni kuna pass mbili huyo UHARO Kai alipewa akapoteza mpaka mtu unashangaa,ndio kimekuwa kibwagizo jinsi alivyo mpuuzi,halafu ukija JF unamkuta Hamis anakwambia ndio anasaidia ku-win eti mipira ya juu,ipi hiyo??yule Kai ni UHARO kama miharo mingine tu
Kama ni UEFA CL huku Arsenal ka team kadogo kuliko Valencia na Bayer Liver ,hakuna Kila kitu .Tunaweka akiba ya maneno
Kushinda vs Luton tayari mshajiona mna timu ?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Fatilia Kwanini makocha kama Emery walifukuzwaNi kweli.
Lakini unajua nani hua anasikilizia kelele za mashabiki? Mmiliki wa timu.
Arsenal hua haina utaratibu wa kufukuza makocha Emery hakusikiliza kelele za mashabiki na akaenda.
Kwa timu za top 4 ambazo siyo Arsenal nyingi makocha waliondoka baada ya hizo kelele za mashabiki.
UCL hakuna timu za maana ukimtoa cityKama ni UEFA CL huku Arsenal ka team kadogo kuliko Valencia na Bayer Liver ,hakuna Kila kitu .
SAKA huwa anakuchakata vilivyo hadi uwanjani anatowa maboko 😂😂😂😂Ollashoga mama la mamama wote wa Darajani
Kai ni fundi wa boli Arteta shikilia hapo hapo...😂😂😂Kai havertz ametugawa mashabiki
Hata Fabio Vieira walisema atolewe mkopo au auzwe ,now Kama hawapo vileKai havertz ametugawa mashabiki
Hivi Jana Kuna magoli Kai alikosa?Kai havertz ametugawa mashabiki
Na ataendelea kucheza SanaKai ni fundi wa boli Arteta shikilia hapo hapo...[emoji23][emoji23][emoji23]
Hamis utakuja kuelewa baadaye sana.Fatilia Kwanini makocha kama Emery walifukuzwa
Emery alikuwa hana tofaut na anavyocheza Ten hag ,hakuwahi kuwa na playing style, mashabiki wakaandamana
Shida ya mashabiki wasasa wanataka Arteta arudi kwenye 4-3-3 kitu ambacho sio kibaya , coz Zinny amerejea na Ndiye huwa ni cheat code kwa 4-3-3
Kinachonichekesha mashabiki kutafuta mbuz wa kafara
Ollashoga mama la mamaSAKA huwa anakuchakata vilivyo hadi uwanjani anatowa maboko 😂😂😂😂
JF nzima peke yako unaona Havertz ni bonge la player JITAFAKARIHivi Jana Kuna magoli Kai alikosa?
Tatizo ni chuki tu Wala hakuna kingine
Hii tabia walikuwa nayo manjesta kwa pogba ,wanayo mpaka leo ,wameambukiza had huku
Kwann mtu asiwasifie Fulham kwakushikilia bomba
Kama DP 🌎 ilivyogawa watanzania 🤣Kai havertz ametugawa mashabiki
Huko mitandaoni kuna pass mbili huyo UHARO Kai alipewa akapoteza mpaka mtu unashangaa,ndio kimekuwa kibwagizo jinsi alivyo mpuuzi,halafu ukija JF unamkuta Hamis anakwambia ndio anasaidia ku-win eti mipira ya juu,ipi hiyo??yule Kai ni UHARO kama miharo mingine tu
Sasa wewe aliyekuambia mm nafata mkumbo NaniJF nzima peke yako unaona Havertz ni bonge la player JITAFAKARI
Uzuri wote team yetu tunaijua hali halisi ipoje let's wait hyo game ya Sunday Vs Manchester United Partey awe beki number 2 and Kai awe mzururaji utapotea humu JF Fernandez na Marcus Rashford watakavyofurahi kwa counter zao!Sasa wewe aliyekuambia mm nafata mkumbo Nani
Mbona jf nzima ukiwepo wewe ulisema last season hatutaingia top 6 ,
Yaani unataka nifate mkumbo wa wengi ?[emoji1787][emoji1787]
Kai anatumia Kiungo au false 9Hamis utakuja kuelewa baadaye sana.
Unamjua Douglas Costa? James Rodriguez?
Hiyo ni mifano miwili tu ya players ambao kocha alihisi kocha mwenzake hajui kumtumia mchezaji husika. Wapinzani wanatroll wanakuambia sasa hivi wapo 003
Hata Fabio Vieira walisema atolewe mkopo au auzwe ,now Kama hawapo vile
Wanatokea pale anapokosea