Acha kusifia ujinga mkuu.
Ujinga wa Arteta kulazimisha kumchezesha Havertz ndio umesababisha mechi hizi 3 kucheze kwa tabu, kwanini?
- Kumchezesha Havertz ndo kunasababisha tucheze mfumo tunaocheza sasa ambao unamfosi Partey atokee LB, kitu ambacho kuwezi vuna the best out of him (Partey)
- Uwepo wa Havertz hauna faida kwa timu, he is too lazy to be an offensive midfielder. Na anafanya makosa mengi kuliko mazuri na yeye ndie anaeleta imbalance kwenye timu. Ukitaka kujua hilo angalia alivyoingia Fabio Vieira.
Arteta aache sasa kumlinda Havetz, akubali tu £60 mil ni nyingi sana na kaipoteza, pesa ambayo tungeweza kupata mbadala mzuri wa Saka, hapo namzungumzia Diaby/Kudus.
Arsepimbi hongereni sana kwa kututoa tongotongo The Blues, ikumbukwe derby ya West Harm tulifungwa wakiwa pungufu, hatimaye ninyi mmekalia sare ya 2-2 Full Harm wakiwa pungufu.Post-match interview ya Arteta ukimsikiliza utaona jamaa hana mpango wa kubadilika kwa sasa.
Anaendelea kuwalaumu wachezaji kwa kutojituma wakati ujinga wake ndo unai-cost timu.
Jamaa ana-overthink, anatuumiza sisi huku.
Msimu uliopita wote tulikua tunaelewa timu yetu inavyoenda, unajua akitoka huyu anaingia huyu. Sub zinafanywa zinaonekana.
Leo hii kwenye mechi tunayotaka kushambulia unamtoa Trossard unamuacha passenger Kai ndani, unamtoa Partey wakati unajua akiwemo Partey na Zinchenko tutaweza ku-break all lines.
Poor Mikel!
Huyu jamaa nilishawahi kuhisi labda kwnye mkataba wake, kuna kipenge kinasema ni lazima acheze.Na uzuri Kai makocha wote wana upofu naye nyie mtalia ila panga pangua mwamba atakua anaanza kwa hio mjiandae kuona kiungo la boli kila wiki likipress na ku-overload.
View attachment 2729692
Ajabu sana Arteta hana ubavu wa kumuweka benchi hiki ni kilio endelevuHuyu jamaa nilishawahi kuhisi labda kwnye mkataba wake, kuna kipenge kinasema ni lazima acheze.
Arteta anajaribu kutuonyesha kuwa hatujapigwa, cha ajabu anavyozidi kumchezesha ndio anazidi kudhihirisha kuwa tumepigwa.Huyu jamaa nilishawahi kuhisi labda kwnye mkataba wake, kuna kipenge kinasema ni lazima acheze.
Arteta toka mtaa wa Matombo nimekusikia, nakala 1 ya ushauri wako iache kwa Shabiki liandamizi la Arsepimbi Hamis77.Kucheza na Fulham Nottingham Forest and Crystal Palace na kupata results za kustruggle namna hii then bado hujawaface strong teams naona kuna dalili ya hatari sana na huyo Partey anayepewa nafasi ya beki 2 ili aingie Mid huku una Kai Mzigo wa team naapa Arteta kuna siku atadhalilika akikutana na strong opponents abadilike HARAKA SANA NAFASI YA KUBADILIKA IPO
Hawa west ham ni balaa..msimu huu hawatazamwi sana ila wanajambo lao. Chelsea kuchezea tatu pale haikuwa bahati mbaya...[emoji23][emoji23][emoji23] Ndugu zenu Brighton huko wanapigiwa counter tu, mpaka sasa hivi wamesharowekwa goli 3 bila nyumbani kwao.
Hizo ni nguvu za soda mzee ...Hawa west ham ni balaa..msimu huu hawatazamwi sana ila wanajambo lao. Chelsea kuchezea tatu pale haikuwa bahati mbaya...
Mkuu west ham musimu ulopita alifika sijui ni final ya Europa ama conference Ile na akabeba ivyo usimchukulie poa anaeza kuja hapo Etihad akakutowa nishaiHizo ni nguvu za soda mzee ...
Mlianza kwa Newcastle, Brighton,Sasa westham ...ila tambua kuwa league inahitaji utulivu , consistency,na ukomavu wa wachezaji,ukibwa wa kocha na mentality ya team ..
Acha kulia lia wewe ..timu ipo pungufu muko nyumbani munalazimishwa draw. Huu ni udhaifu mkubwa sana ..kama siyo penalty ile Saka mtoa boko kasababisha mkapachikwa bao la mapema basi game ingelala ile.. manjesta watawaaibisha zaidiMpaka sasa hivi hakuna aliyekuja kutetea drama za Kai kwakua timu imesuluhu. Ingeshinda ingekua zinaletes takwimu za kimama na kung'ang'ania "Arteta kasema tuwe unpredictable"
Ila mashabiki wa cheltako ni viazi pia. Mtu anafurahi na kufananisha kwamba wao walifungwa na timu ipo pungufu "Si mmeona nyinyi mmesuluhu"
Angalia tulivyopata goli la 2 tukarudi nyuma tukawa tunajiandaa kumaliza mechi na wao wakawa wanakuja, walivyosawazisha ghafla tukawa tunacheza mno nje ya box lao. Huu uchezaji wa baada ya timu kusawazisha kwanini hatukua tunaucheza tangu mwanzo?
Na simaanishi mwanzo wa mechi ya jana namaanisha tangu mechi ya kwanza tuliyoshinda 2 watu tukasema "Hakuna namna unajua idadi ya magoli unayohitaji ila unaridhika na 2" wakatokea watu wakadai tulikuja na matokeo mfukoni.
Of coz we did. Why? Timu on paper inatakiwa ishinde zaidi ya goli hizo kwanini uwanjani inashindwa? Tukasema Kai ni shit wao wakasema "Arteta kasema sisi ni unpredictable" second game huoni timu ikishambulia inashinda kwa penati.
Third game, mpuuzi anakosa big chances 2 na bado uwepo wake haumaanishi chochote, anatoka, timu inaanza kufanya inachotakiwa kufanya.
Ollashoga mama la darajaniAcha kulia lia wewe ..timu ipo pungufu muko nyumbani munalazimishwa draw. Huu ni udhaifu mkubwa sana ..kama siyo penalty ile Saka mtoa boko kasababisha mkapachikwa bao la mapema basi game ingelala ile.. manjesta watawaaibisha zaidi
Arse Anal jina linajielezaChelkenge walimununua Timo kwa pesa nyingi wakaja kujua walikosea wakamrudisha walipomtoa na sababu Timo mfumo haukumfaa ni kwa vile alipokua RB alikua na SS mbele ila huku walikua wanamuacha mbele peke yake.
Kisha kocha akajaribu kumfanya LM haikusaidis.
Huyu Kai ndiyo kila kitu hakiwezekani? No, cheza naye kama SS and see assists atakazotoa.
Martinelli alikua ameanza mazoezi ya kushuti na kuscore baada ya Auba kua anaondoka kipindi kile wote tulijua Martinelli anakua CF. Alichojifunza kabaki nacho, kua best shooter na goal scorer siyo bahati mbaya ni alijifunza.
Well then kwanini asiwe CF kisha LW ukamuweka Trossard na Emile akakaa anapokaa Kai? Kati acha Partey na Rice.
Simple set up but ina watu wanataka kushinda.
Lembua hua unanichekesha na logic zako za kipimbi.Hii timu sio ya top 4 hata
UCL mnatolewa kwenye group stage au R16
Wewe ndie pimbi kabisa unayetoka kwenye mada kipimbi pimbi vileLembua hua unanichekesha na logic zako za kipimbi.
Umesuluhu, umefungwa, umeshinda dhidi ya timu imepanda daraja unajiona una timu ya top four.
Arsenal kacheza na timu zote tatu zilikua hapa lwenye ligi na hajafungwa hana timu ya top 4.
Wewe unaandika huku unatumia masaburi kufikiri?