Kuingia kwa Zinchenko kumefanya pasi zipite kati kati ya viungo wa Fulham, kitu ambacho wakina Rice walikua wakizunguka tu wakiogopa kutake risk.Zinny alivyoingia mmeelewa kwa nn 4 3 3 inatu fanya tuwe Bora sana
Wewe Leo unaweza kumfundisha Arteta mbinu za mpira ?Acha kusifia ujinga mkuu.
Ujinga wa Arteta kulazimisha kumchezesha Havertz ndio umesababisha mechi hizi 3 kucheze kwa tabu, kwanini?
- Kumchezesha Havertz ndo kunasababisha tucheze mfumo tunaocheza sasa ambao unamfosi Partey atokee LB, kitu ambacho kuwezi vuna the best out of him (Partey)
- Uwepo wa Havertz hauna faida kwa timu, he is too lazy to be an offensive midfielder. Na anafanya makosa mengi kuliko mazuri na yeye ndie anaeleta imbalance kwenye timu. Ukitaka kujua hilo angalia alivyoingia Fabio Vieira.
Arteta aache sasa kumlinda Havetz, akubali tu £60 mil ni nyingi sana na kaipoteza, pesa ambayo tungeweza kupata mbadala mzuri wa Saka, hapo namzungumzia Diaby/Kudus.
Wiki ijayo nakuja hapo emirate kupiga..kuua. kama unamshindwa Fulham akiwa pungufu ndio utegemee utapata kwangu? Punda ni punda.Wewe kenge umerudi , Leta na msimamo
Halafu manjesta wakila vipigo huonekanagi kabisa
Wiki ijayo mnakuja Emirates
Bado hamjamaliza kulaumiana? Tunataka kuongea vitu vya maana. Punda nyie.Wewe Leo unaweza kumfundisha Arteta mbinu za mpira ?
Umewahi fundisha hata timu ya kanisa?
Mfumo wa leo umeinyimaje Arsenal matokeo ?
Nafasi hazijatengenezwa?
Comment yako inaonesha una chuki binafsi na Kai Wala hakuna kingine
Mfumo tunaocheza sio sababu ya Kai
Ni sababu kuumia kwa Timber na Zinny
Still ulishangilia City tulivyompiga
Tukishinda hamuonekani
Tukifungwa au draw lawama 1000
City ulimpiga au ulishinda dhidi yake?Wewe Leo unaweza kumfundisha Arteta mbinu za mpira ?
Umewahi fundisha hata timu ya kanisa?
Mfumo wa leo umeinyimaje Arsenal matokeo ?
Nafasi hazijatengenezwa?
Comment yako inaonesha una chuki binafsi na Kai Wala hakuna kingine
Mfumo tunaocheza sio sababu ya Kai
Ni sababu kuumia kwa Timber na Zinny
Still ulishangilia City tulivyompiga
Tukishinda hamuonekani
Tukifungwa au draw lawama 1000
Wewe unaechambua kila siku umewahi kufundisha timu yoyote?Wewe Leo unaweza kumfundisha Arteta mbinu za mpira ?
Umewahi fundisha hata timu ya kanisa?
Mfumo wa leo umeinyimaje Arsenal matokeo ?
Nafasi hazijatengenezwa?
Comment yako inaonesha una chuki binafsi na Kai Wala hakuna kingine
Mfumo tunaocheza sio sababu ya Kai
Ni sababu kuumia kwa Timber na Zinny
Still ulishangilia City tulivyompiga
Tukishinda hamuonekani
Tukifungwa au draw lawama 1000
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Masingeli ameshawaambia nyumbu ni wabovu kwelikweli hivyo msiwe na wasiwasi, ule mpira wa patupatu wa nyumbu hauna madhara yoyote kwa hii Arsenyo ya Masterclass.Next game akianza na huu ujunga lazima nyumbu wapate cha kutusimangia through out the season. Maana tutakandwa kikamilifu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Wewe Leo unaweza kumfundisha Arteta mbinu za mpira ?
Umewahi fundisha hata timu ya kanisa?
Mfumo wa leo umeinyimaje Arsenal matokeo ?
Nafasi hazijatengenezwa?
Comment yako inaonesha una chuki binafsi na Kai Wala hakuna kingine
Mfumo tunaocheza sio sababu ya Kai
Ni sababu kuumia kwa Timber na Zinny
Still ulishangilia City tulivyompiga
Tukishinda hamuonekani
Tukifungwa au draw lawama 1000
Teta boy anajiona Pep.Hii formation haitofanya jipya. Naelewa Arteta anajaribu kuwa unpredictable lakini kwa mfumo huu atatu-cost points nyingi msimu huu.. aache kabisa, turudi kwenye mfumo wetu.
Pia aache kujaribisha wachezaji, iwe kama alivyosema- alieko tayari ndie acheze!
Kwa Havertz ashafeli, akubali akae benchi nae ajifunze.
Tuna kipa mzuri kwenye benchi, Raya, na yeye anajua lakini bado kamng'ang'ania Ramsdale.
Mbona simple tu:
Kipa aanze Raya, Zinchenko awepo na back 4 inayomjumuisha Gabriel Magalhaes
Kati Partey, Ødegaard na Rice. Pembeni Saka na Martinelli. Japo Martinelli anatakiwa a-improve game yake. Vile vile yuko predictable sana.
Mbele Jesus au Nketiah.
Kai mkeka ili ajifunze.
Turudi kwenye mfumo wetu wa 4-3-3.
Kuna kipindi Pep alikuwa anafeli kwa sababu ya overthinking....Wewe Leo unaweza kumfundisha Arteta mbinu za mpira ?
Umewahi fundisha hata timu ya kanisa?
Mfumo wa leo umeinyimaje Arsenal matokeo ?
Nafasi hazijatengenezwa?
Comment yako inaonesha una chuki binafsi na Kai Wala hakuna kingine
Mfumo tunaocheza sio sababu ya Kai
Ni sababu kuumia kwa Timber na Zinny
Still ulishangilia City tulivyompiga
Tukishinda hamuonekani
Tukifungwa au draw lawama 1000
Kai aanze badala ya Rice au Trossard? Hapana kwa kweli, ni mzigo kabisa huyo. Hili kosa la kumsajili Havertz ndio yatatucost msimu huu. Mbaya zaidi tutashindwa kumuuza atatusumbua kama Pepe au Ozil!!Raya/Rambo
Ubavu wa kulia white, kushoto zinny
Kati tuwekee partey chini
Ode na Kai wacheze juu yake
Kushoto tuwekee saka, kulia martinelli.
Kati jesus akiwa fit.
Haya maswala ya partey kucheze inverted nini sijui, tumwachie Guardiola!!!!!