Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wazee wa "muhimu point 3" kiko wapi


Game mbili za kwanza mmeshinda kwa mbinde sana. Tofauti na msimu uliopita mlianza kwa kasi.

Huyu Arteta majaribio yake yatamponza, kasajili wachezaji kwa bei kubwa anaforce kuwaanzisha wote, mwisho wa siku mambo yanaharibika.
 
Fulham wameshikilia bomba Sana

Kwa XG hii

Arsenal (3.01) 2-2 (0.46) Fulham

Leno kafanya Kaz Sana ,
 
Wewe manjesta umeona timu lako lilivyocheza leo

Au mnadhan mech yenu hatujaangalia

Mna Hali mbaya Sana
 
Tatizo sio sare style ya Arsenal mean uchezaji wake unafahamika na hautabadilika abadani
Arsenal kachezaje vibaya Leo had ulaumu mkuu ,

Arsenal akishinda unalalamika

Tukisare unalalamika

Tukifungwa unalalamika

Xg Leo ilikuwa

Arsenal (3.01) 2-2 (0.46) Fulham

Wasifie Fulham hasa Leno kwa kushikilia bomba

Nafasi nyingi tumetengeneza ,ufanisi wa kipa wao umeonekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…