Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ni Liver kama kawa ni hatuna makelele meeeeeeeeeeengi vitendo zaidi akija man.kipigo tu na wengineo wajifunze pia
 
Waungwana hii picha ilinivutia sana kutoka kwa mpiga picha wa Arsenal Stuart McFarlane, ilipigwa juzi kabla ya mechi ya Arsenal na Udinese.

 

Pumba, lini wewe ulikuwa kocha Wacha ngebe we shabikia tu na uone vinaelea. absolutely rubbish.
 
Waungwana hii picha ilinivutia sana kutoka kwa mpiga picha wa Arsenal Stuart McFarlane, ilipigwa juzi kabla ya mechi ya Arsenal na Udinese.



Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ndio wivu unaowasumbua wanoko maana kila tunachofanya wanakionea wivu hadi mwisho wa siku wanakubali wenyewe. Karibu sana kaka khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. vipi mmeisha-float shares Singapura, na nyinyi mjenge kifaa? Loserfools michoro yote ile na ukelele wameweka kwenye makabrasha, Chelsick mafioso mkuu kakataa kutoa mpunga council wameamua kujenga nyumba pale.
 
phew

at last kware karudi ila sioni ile kwekwekwekwekwekwekwekwekweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Kweli ushikwapo shikamana

ati wachezaji nane sio regular uwanjani, kwani wanafanyia mazoezi shambani? si uwanjani? you signed them coz you thought they were good enough for arses

You guy just lost it and it is unfortunate hujui footballing fanaticism, nor sportsmanship, all you know is too much vuvulezing
 
Reactions: Nzi
this is too low

mtu anasifia shuka za gesti wakati demu mbunye ina fangas

LOL
 
Mbu, Wacha Arsene, GT, na Wenge Muica family yote... kama kule kwetu Mwanjelwa tunavyosemaGA..Mwipoleni jamani..

great one mkuu, sometimes we need to put famaticism aside and be realistic

Boys will be boys....
 
Wapi MBU?
he is mature enough to know whena and what to say anything

wacha kware aendelee na kwekwekwekwekwekwekwekwekwekwekwekwekwekeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Nafikiri matokeo tumeyaona mkuu.Dah....
 
For a starter hatuhitaji uwanja kwa sababu our stadium is ranked 23rd in the world na wa kwenu ni 61st FACT! And its good as it is.

2nd Huyo mpiga picha aliyepiga hiyo picha ni mmoja wa photographers ninao waheshimu duniani sasa kila wanapoproduce master pieces uwa ninashare na jamii.

3rd Go back to Finance 101 (Singapore-Asia is a booming market-)
 
Haya sasa msimu mwingine ndo umeanza hivyo wajameni, ni mechi mbili mfurulizo tunaambulia Red cad badala ya magoli, je mwaka huu tutasalimika?
 
Sasa tuko serious,Arsene Wenger has lodged bids for Lille's Eden Hazard,Rennes'Yann M'villa and Everton's Phil Jagielka as he attempts to bring in significant reinforcements before the close of the transfer window.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…