Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Pass ya goli la offside yenyewe aliikosea
 
Watu wanakuja na Logic na google findings za ajabu kulinda maamuzi ya Arteta kumuanzisha Kai Havertz lakini hakuna la maana linaloonekana huyu mtu anaweza kuisaidia Arsenal kwa sasa hapo mbele.. Zaidi tumekuwa wazito kuliko. Hata kumfananisha na Ozil naona aibu kwasababu ozil alikuwa mvivu lakini ni Technically gifted pale mbele. Lakini kwa huyu mtu sioni mimi.
 
Kai sio mbaya kivileee ni vile anacheza under pressure na kocha ana force kumchezesha ili hali akijua huyu akiwa under pressure atakuwa uozo na mzigo ndani ya timu ila ana fanya hivo ku prove watu wrong... Kwamba kai is better which he is ila sio kivilee ni kama mount na 10hag kule uzur kaumia na huku amiumia arsenal fans wataona progress
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…