Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii position ya partey inaleta matatizo kwenye kuzia, hasa wapinzani wakipora mpira kisha wakija kwa speed,partey anakuwa hayupo eneo la kukaba.

Game ya kwanza ilikuwa hivi hivi, wapinzani walipoamua kutumia upande wetu wa kulia , kina elanga walitishia uhai wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…