Mabundi tumehamia hapa leo, tupo na fulham bega kwa bega.Nakuona mmeshinda jana umekuja humu kutusumbua View attachment 2729195
Msimu huu tunatoa dozi kulingana na Hali ya mgonjwaMabundi tumehamia hapa leo, tupo na fulham bega kwa bega.
433 havertz mid, trossard/martinelli ndo mtu kati hapo mbele labda false nine[emoji599]Full Arsenal XI
Aaron Ramsdale (GK), William Saliba, Ben White, Jakub Kiwior, Thomas Partey, Bukayo Saka, Martin Odegaard (C), Declan Rice, Gabriel Martinelli, Leandro Trossard, Kai Havertz.
3-Diamond -3
Kai as CF?
FORMATION ya Leo sijaielewa
What is Havertz doing in that line up? Kwanini asicheze Rice hapo LCM then White arudi RB?The bench is looking very strong if we need a goal. Has to be said. Come on @ArsenalView attachment 2729466
It's 3-4-3What is Havertz doing in that line up? Kwanini asicheze Rice hapo LCM then White arudi RB?
Msimu huu Arteta anataka kufanya kitu kitakua memorable for yearsMwaka huu kazi ipo
Nakubali masterMsimu huu Arteta anataka kufanya kitu kitakua memorable for years
Itunze hii[emoji115]
GM6 ni moja wa wachezaji waliocheza game nyingi sana mwaka jana na mwaka juzi Arteta anapata kiburi cha kumuweka nje kwa sababu anawigo wa machaguo mengi pale nyuma, kama ilivyo kwa saka akipatikana mchezaji mwenye angalau aslimia 70 ya anachokitoa Saka na yeye atapata muda wa kupumzika kidogo. Sina shaka kabisa na uwezo wa GM6Gabriel Magalhaes hana uhakika wa kuanza
Mikel alisema
“Anapopata dakika anionyeshe jinsi nilivyokuwa kipofu”.
Natumai hii itasaidia kuongeza kupigania namba