Katika jambo nimewashangaa Man Utd na kisha jamii ya football ya waingereza ni issue ya Greenwood.
Kwanza huyu ni kijana mdogo ambaye bado anahitaji malezi hajafikia full maturity.
Pili issue yake sio professional bali ni issue ya discipline zaidi na pamoja na kuwa charges zote zilikuwa dropped lkn kuna sehemu mtandaoni niliona kuwa wamereconsile na yule dada na wanaendelea na mahusiano (sina hakika sana na hili)
Tatu ni kuwa ukisikiliza ile audio clip ina viashiria kuwa wote wawili walikuwa under influence of alcohol.
Nne, yaani unaruin career ya kijana mdogo vile sababu ya jambo ambalo binafsi naliona halina mazingira timilifu maana inaonekana km vile ile audio imeanzia katikati na ni km pia ilikuwa planned vile. Unajiuliza kwa ile level ya quarrels mtu anapata wapi utulivu wa kurecord tukio?
Kwa maoni yangu naona km kulikuwa na intentional provokation ili kumu-upset dogo maana tumeona athletes wengi wamekuwa victims wa matukio ya kutengeneza ili wapigwe pesa.
Finally naunga mkono hoja ya
Henry 14, kwani hata me niliwaza hivyo in the first place. Huyu dogo ana pontentials za kutosha na ni proper back up ya ‘Star Boy’