arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,359
- 4,408
Mkipata hata point moja kwetu msimu huu niulizwe Mimi😅😅😅...na watu wetu ndo wanarudi Sasa....jana Georginho masta...Kiwior na Zinchenko kuna kipindi zilipigwa pasi pale kati hdi Palace wakawa wanajiuliza wanakosea wpi 😅😅😅...Kiboko yenu Zinchenko karudi....maji mtaita mma na ile midfield yenu siku hyo....tukicheza na nyny hatuweki kipa....ni mabeki na viungo tu....hakuna forward pia....tuoneshane makali😅😅😅😅Tarehe 3 sio mbali mkuu tuombe uzima tu, pona yenu ni mbeleko toka kwa marefa kama walivyo wabeba jana dhidi ya Palace.
Arsenyani hata akiwa mzuri kiasi gani ila akikutana na Man Utd anatetemeka, sijui ni ule uwoga wa kucheza na timu kubwa zaidi duniani.
Kikubwa hio 3Sept tutawapelekea moto mpaka mpate watoto. View attachment 2725010
Daaahhh Masingeli nitake radhi Aiseeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]@Mkohoti na Flano hawawez kuja humu kwa fujo, flano anakuja humu sababu ni Arsenal fan aliyejikuta anashabikia nyumbu sababu alikuwa anaishi kwa shemeji yake shabiki wa manjesta,ili asimuudhi akawa anashabikia nyumbu
Ila Flano ni Arsenal mwenzetu
Hapa chin ni Flano na mkohotimView attachment 2724956
Namuona na mkohoti hapoDaaahhh Masingeli nitake radhi Aiseeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii picha inafurahisha na kuhuzunisha kwa wakati mmoja. View attachment 2725016
Karibuni sana Emirates nyie nyumbu. Sisi tukiwasamehe saaanaaa 2-0. Ila mkituletea ujuaji mtakula kichapo Livakuku mtawakumbukaTarehe 3 sio mbali mkuu tuombe uzima tu, pona yenu ni mbeleko toka kwa marefa kama walivyo wabeba jana dhidi ya Palace.
Arsenyani hata akiwa mzuri kiasi gani ila akikutana na Man Utd anatetemeka, sijui ni ule uwoga wa kucheza na timu kubwa zaidi duniani.
Kikubwa hio 3Sept tutawapelekea moto mpaka mpate watoto. View attachment 2725010
Hawa wahuni itakua kuna sehemu wamepiga tukio halafu wakadakwa na raia wenye hasira kali, hapo adhabu ya kwanza naona wapewa ya kupigana makonzi wenyewe kwa wenyewe, kwa height ya huyo jamaa wa Chelsea ni advantage kubwa sana kwake ndio maana anachekelea kabisa pasi na kujua adhabu itakayofata ni ipi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Namuona na mkohoti hapo
Yule wa Nyukesto achana naye mnafiki mkubwa yule. Mimi nampotezeaga tu tangu day one alipotangaza kuacha kushabikia Arsenal mwisho wa msimu baada ya kukosa ubingwa. Mtu umamsoma unajua kabisa maneno ya shabiki wa Arsenal aliyeumia moyo tu, hakuna lingine. Anaponda huku lakini Tukishinda anafurahi ila anakausha. Kwa sasa Yuko zake kajibanza mahali anasherekea ushindi wetuMkuu kauli mbiu ni ileile....Kila mtu abaki kwny matatizo yake...yle jamaa wa Nyukesto naona yupo kimya sana🤣🤣🤣....jana itakuwa alikuwa anaangalia mpira akiomba litutokee baya lolote aje kututolea mbovu humu....In short msimu huu maadui wameongezeka zaidi🤣🤣🤣...Wa Man u...wa Chesiiiiii....wa Liverkuku...wa Man shitty...wa Nyukesto yaani wanaomba tembo asipande juu ya mti tena
Jipeni moyo tu lakini mashabiki wote wa Arsenyo nafsi zao zinajua kabisa hio 3Sept lazima watarowekwa, halafu mbaya zaidi mnyama Rasmus Højlund ndio itakua mechi yake ya kwanza, unaambiwa tokea ametua Utd yeye anapiga mazoezi yake maalumu ya hatrick kwa ajili ya Arsenyo.Karibuni sana Emirates nyie nyumbu. Sisi tukiwasamehe saaanaaa 2-0. Ila mkituletea ujuaji mtakula kichapo Livakuku mtawakumbuka
Ili watu wamuelewe kai,waache kumtazama wanavyotaka awe wamtazame anachofanya sasa hiviKwa Takwimu hizi , Kai kukaa nje mtasubiri sana, EPL Kuna mechi Kama huwezi kuwin Aerial duels, Ground duels hutoboi
[emoji837][emoji836]️ | Kai Havertz won more duels than any other player during Arsenal’s opening two League fixtures. [emoji3538]
[emoji269] Nottingham Forest (8)
[emoji1659] Crystal Palace (8)
That added element of physicality is just what Arteta wanted in midfield. [emoji93] #AFC
Subiri Masingeli aje kukupinga na takwimu zake uchwara, wewe sasa ndio umemuelezea Kai kiusahihi pasi na kumpunja wala kumpaka poda.Ila asenali suala la kurusha mpira linaanza kuwa tatizo tena. Ni kama Wanaotakiwa kurushiwa wanakuwa wanajikabisha kwa maadui kimtindo[emoji38]
Kai sio mchezaji anayeonakana vizuri uwanjani labda anaonekana vizuri kwenye takwimu tu.
Na arteta kajiwekea kitanzi mwenyewe kwenye kumsajili kai kwa pesa ndefu,ni ngumu kwake kumuweka benchi,bodi itamhoji.
Ila kuna baadhi ya mechi itakuja kumgharimu sana,kwa sababu kai kwa sasa anakupa vitu vingi ambavyo ni nusu nusu kulingana na mfumo na kuna mechi unahitaji kitu kamili kutoka kwake au wachezaji wawili waliokaribu nae.
Arteta anajitahidi kuunda timu yake mdogo mdogo ila kwakuwa timu inauhitaji wa magoli na wafungaji wengi ni kuanzia eneo la kiungo kai atapata lawama nyingi za kuchelewesha pasi/kukosa goli (ufanisi wake ni wakawaida kwenye maeneo hayo).
Kai anakasumba ya kuchelewa kuamua nini cha kufanya akiwa na mpira na kwa mfumo wa arteta ukiwa ni mchezaji wa hivyo utakuwa unapishana na mashabiki.
Odegaard/Rice/Partey akikosa goli sio lawama sana ila kai akikosa sasa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] itabidi avumilie kejeli[emoji38][emoji38][emoji38]
Arteta alisema timu yetu kwenye kiungo inakosa Physicality na AthletismIli watu wamuelewe kai,waache kumtazama wanavyotaka awe wamtazame anachofanya sasa hivi
Huwez kuona ubora wa Kai ikiwa manjesta mnabutuabutua ,utajuje roles za wachezajiSubiri Masingeli aje kukupinga na takwimu zake uchwara, wewe sasa ndio umemuelezea Kai kiusahihi pasi na kumpunja wala kumpaka poda.
Tatizo la Masingile ana ushawishi wa kuwaaminisha watu nyeusi kua ni nyekundu na watu wakamuamini.
Kai ni mchezaji wa kukufurahisha game moja na kukukera game 6.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] sawa lakini kwa Kai ni sawa na kuupaka rangi upepo.Huwez kuona ubora wa Kai ikiwa manjesta mnabutuabutua ,utajuje roles za wachezaji
Pale manjesta mmezoea pass moja kwa Bruno ,amtafute Rashford
Safari hii Rashford karudi default settings
Mlianza kusema Rice tumepigwa ,mkaona hailipi mmehamia kwa Kai[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] sawa lakini kwa Kai ni sawa na kuupaka rangi upepo.
Mlianza kusema Rice tumepigwa ,mkaona hailipi mmehamia kwa Kai[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] sawa lakini kwa Kai ni sawa na kuupaka rangi upepo.
Huyu jamaa Rasmus si anaruhusiwa kucheza dk 15 tu Kwa mechi sita? Ataweza pressing na overload zetu huyu? Acha masiharaJipeni moyo tu lakini mashabiki wote wa Arsenyo nafsi zao zinajua kabisa hio 3Sept lazima watarowekwa, halafu mbaya zaidi mnyama Rasmus Højlund ndio itakua mechi yake ya kwanza, unaambiwa tokea ametua Utd yeye anapiga mazoezi yake maalumu ya hatrick kwa ajili ya Arsenyo.
Siwatishi ila ni muhumu kuambiana ukweli ili baadae tusije tukalaumiana. View attachment 2725045