Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii kadi ya kwanza ya Tommy ni ujanja, maybe angepesa Kai sawa.
 
Enhe endelea kutuelimisha.
 
Kama kuna mtu anasubiri Kai afunge huyo ndiyo atajikuta anakesha.

Kwani mbona Jesus hua hafungi na tunakubaliana kacheza vizuri. Au Partey? Na hata Rice leo kacheza vizuri in fact mi sikutegemea kuona hii activeness na kuhusika na game kama alivyofanya leo.

Ila ukipoint Kai ni hovyo unaulizwa kama kwa vile hajascore. Mnauliza maswali ya kitoto, mpira siyo magoli pekee.
 
Mashabiki kasuku ni united na chelsea hua wanasubiri wachambuzi hata wajinga wajinga waseme tatizo la timu kisha wataliimba mpaka watakapogundua kumbe siyo.

Waliambiwa shida yao ni Sancho tu. Wakahubiri hilo msimu mzima wakaambiwa Ole ndiye mtu sahihi wakafuata na hawajiulizi. Hawa wengine wakaambiwa mnahitaji Lukaku ili muwe hatari na wote wakafuata.

Arsenal hatujawahi kua hivi. Ni bahati mbaya tuna mashabiki watoto hawawezi kutumia akili zao bado wanasubiri wachambuzi waseme kisha waje kukomalia hiko kilichosemwa.

Ni upuuzi lakini ndiyo tupo hapo tayari
 
Kwa kucompare na game iliyopita, Kai Leo kacheza vizuri, binafsi ameanza kunipa matumaini ya kuzidi kuimprove
 
Kwa kucompare na game iliyopita, Kai Leo kacheza vizuri, binafsi ameanza kunipa matumaini ya kuzidi kuimprove
Mi nashangaa watu wanalalama jamaa hajacheza vzuri....Kila nikijaribu ku review sioni wapi amezingua msela😅😅😅....ila nafasi ya Trossard ipo...Nketiah ataanza kukaa benchi sasahv maana bdo ana utoto mwingi
 
huyo arsenal2004 ni chawa kindakindaki wa Mc Masingeli, nahisi Masingeli akipiga pesa za betting hua anampozaga jamaa kwa kumnunulia bando la Gb1.5
Mkuu unanituhumu kwa mambo ambayo hayapo kabisa😅😅😅...mm huwa naangalia mambo kwa mtazamo wangu.... coincidentally huwa inatokea kwa asilimia kubwa tunakubaliana na Brother Hamis....Sasa unataka nimponde Kai wakati anacheza fresh....nimkubali Antony Masebene wakati unaona kabisa kile ni kituko....nimkubali Mudryk wakati unaona ule ni utapeli wa waziwazi😅😅😅
 
Sawa chawa pro max, Masingeli mikeka yake ya jana yote imechanika, muhindi kampangusa hivyo wiki hii hamna bando ya burebure, yeye mwenyewe asubuhi alikua analalamika amekopa bando la Songesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…