Ila manjesta hii butua butua ndio itachukua ubingwaMsimu huu msahau kabisa kumuona tembo pale juu, akijitahidi sana atakaa mechi mechi moja halafu ya pili watu wanampopoa na kumkuta chini.
One season wonder hua ni mwaka mmoja tu muulizeni Leicester analijua hilo, msitegemee msimu huu yatatokea yaleyale ya msimu ulioisha.
Tusubiri ligi ichanganye tujionee mitusi humu. View attachment 2723627
Una simu Kali mkuu🤣🤣🤣....maji yameanza kujitenga na mafuta mapema sana....tafuta msimamo wa ligi uangalie nafasi zenu mtakazozurura msimu huu...hzo mlizopo sasahv ndo nafasi zenu Sasa🤣🤣🤣Msimu huu msahau kabisa kumuona tembo pale juu, akijitahidi sana atakaa mechi mechi moja halafu ya pili watu wanampopoa na kumkuta chini.
One season wonder hua ni mwaka mmoja tu muulizeni Leicester analijua hilo, msitegemee msimu huu yatatokea yaleyale ya msimu ulioisha.
Tusubiri ligi ichanganye tujionee mitusi humu. View attachment 2723627
Subiri uone leo usiku show mtakayopewa na Crystal Palace, 11st yao waswahili watupu kasoro kipa na mabeki wawili Joel ward na Joachim Andersen, kwenye bench nako wamejaa kina Mandingo.Ila manjesta hii butua butua ndio itachukua ubingwa
Sisi sio manjesta asee, kwasasa Arsenal ku loose point labda GW10+ huko ,Subiri uone leo usiku show mtakayopewa na Crystal Palace, 11st yao waswahili watupu kasoro kipa na mabeki wawili Joel ward na Joachim Andersen, kwenye bench nako wamejaa kina Mandingo.
Naimani leo Odsonne Edouard hatatuangusha friends of palace.
View attachment 2723695
Sisi sio manjesta asee, kwasasa Arsenal ku loose point labda GW10+ huko ,
Hawa jamaa si watu wema. Sisi tumewapa majembe mangapi tena wakawapa makombe. Tutaendelea tu kupambana️ |Man City have no interest in doing business with Arsenal again following the successes of Gabriel Jesus and Oleksandr Zinchenko, per @RyanTaylorSport.
The Gunners were interested in both Joao Cancelo and Aymeric Laporte, but the moves were always in doubt with City’s reluctance to sell to Arsenal again.
Utaeatibu ni ule ule, zirushwe jezi atakaewaiAanze Nani Leo pale langoniView attachment 2723466
baada ya game nitakukumbusha hii comment yako halafu 03Sept tukishawagonga goli za kutosha nitakuonyesha tena hii comment yako tayari nimeshaiscreenshot.
Rekebisheni matatizo yenu Sept 3 hatutaki malalamiko 🤣🤣🤣....baada ya game nitakukumbusha hii comment yako halafu 03Sept tukishawagonga goli za kutosha nitakuonyesha tena hii comment yako tayari nimeshaiscreenshot.
Raha ya kuwa na kikosi kikali. Yaani huchagui, unajua tu yeyote atakiwasha. 😁😁😁Utaeatibu ni ule ule, zirushwe jezi atakaewai
Vieira kaenda Qatar?👉Wahuni sio watu😂😃🤒
From a prisoner at Fox River, to a sports Analyst in Qatari Channels
The real Glow up.
Hii ndio ile Grow ya pesa.
View attachment 2723816