Wanasema wanajenga timu😅😅😅...tajiri aingie sokoni tena....aje tumpe Balogun akawasaidie na nyongeza tutawapa ya bwana mkubwa Pepe akawasaidieNikiwa nawaambia kitu msibishe kwanza. Nieleweni kisha pangua ninachosema
Nilisema Pochettino hamna kocha mkawa mnanibishia.
Second game na tayari timu haieleweki inafanya nini
Angekuja kwetu angekuwa moto wa kuotea mbali...ila kwakuwa wao wanajifanya mabingwa wa kutapanya pesa wacha wabaki naye...hayo ni matatizo Yao wahangaike nayo😅😅Naandika haya kwa masikitiko makubwa Sana
Mudryk ni mchezaji wa kawaida sana
Alienda sehemu sahihiHivi Mudryk atuwezi kumchukua kwa mkopo?
Pochetino mapema Sana asee, wachezaji wengi wapya ndio kawapata wiki iliyopita,hatagombea ubingwa ninachoamini ila atapush top 4 vzr tu kuliko manjesta ya Ten hagNikiwa nawaambia kitu msibishe kwanza. Nieleweni kisha pangua ninachosema
Nilisema Pochettino hamna kocha mkawa mnanibishia.
Second game na tayari timu haieleweki inafanya nini
SahihiAngekuja kwetu angekuwa moto wa kuotea mbali...ila kwakuwa wao wanajifanya mabingwa wa kutapanya pesa wacha wabaki naye...hayo ni matatizo Yao wahangaike nayo
Hyu mhuni kesho atawavuruga sana😅😅😅...
Nipo mkuu hii habari nimeipata
Tajiri miluzi yy alikuwa Kila akiona mchezaji ana dreads anaruka naye😅😅😅...Sasa ndo wanampeleka huko korongoni
Tajiri miluzi yy alikuwa Kila akiona mchezaji ana dreads anaruka naye...Sasa ndo wanampeleka huko korongoni
Hamiss 77 mkuuu hata kuja kunipa pole hakuna hatariNipo mkuu hii habari nimeipata
Am so happy huyu Fundi kurudi
Mpira mwingi burudani yakutosha
Atakuwa yupo Ibiza anakula pensheni yake...Wana Gunners hivi dirisha si linafungwa ter 1 Mwezi wa 9?
Pia naomba kujua De Gea Amefia wapi?
Magenge ya wahuni hili jukwaa wataona Kama kituo Cha polisi