Charles_watts kutoka Goal.com kuhusu Ethan Nwaneri:
[emoji837] “Ethan Nwaneri, Arsenal walipambana sana abaki msimu huu wa joto, Walifanikiwa kumbakisha.
[emoji837]Arsenal imeweza kumfanya akubali mkataba mpya na mkataba wa kikazi(professional contract) mara tu atakapofikisha miaka 17 na atasaini hilo."
[emoji837] "Hizo zitakuwa habari njema kwa Arsenal kwa sababu alionyesha kwa Vijana wa U21 haswa kwa nini alifunga hat-trick akiwa na umri wa miaka 16, sio mafanikio mabaya kama vile Arsenal walivyoifunga Leicester. Nadhani maendeleo ya Nwaneri msimu huu yatakuwa ya kuvutia sana.
[emoji837] Arsenal wana mipango mikubwa kwa ajili yake.” wanamuona akifika mbali .
[emoji837]Mikel Arteta anamuona akienda mbali sana, alimpa nafasi kama kijana wa miaka 15 msimu uliopita vs Brentford, na hiyo inaonyesha jinsi anavyomkubali.
[emoji837] Kama nilivyosema, Arsenal walipigana sana kumbakisha kwa sababu kwa muda mrefu, ilizingatiwa kuwa alikuwa anaondoka.
[emoji837] "Maajenti wengi ambao nilizungumza nao walikuwa na hakika kabisa kwamba hayupo na alikuwa anaenda kusaini Manchester City au Chelsea.
[emoji837] Lakini Arsenal waliweza kubadili fikra zake, wakarudisha nyuma mawazo yake kwa Arsenal na kukamilisha dili hili.”
(YT kupitia HITC).