OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Pochettinho anakuja kumpindua huyu takataka Pep ..amini kwamba.Lucas Paqueta yuko njiani kutua Etihad, Huyu Pep kuendelea kuwepo kwenye Epl basi shida itabaki palepale tu, wala hata tusijifariji kuumia kwa KDB na kuondoka kwa Mahrez na Gundo.
Pep ndio mwenye sifa stahili ya kuitwa The tactician & Masterclass sio huyo Michelle LaVaughn Robinson Arteta.
six months duuuuuuhIt is understood Timber is now expected to undergo surgery to repair the injury and is likely to miss a minimum six months of the season, although Arsenal are reluctant to put a specific timescale on his recovery.
(@SamiMokbel81_DM )
Boehly ni muhuni sana, hapo kwa haraka haraka hawazi hao wachezaji watamnufaisha vipi uwanjani, anachowaza ni namna gani atafaidika msimu ujao akiwauza Saudia.Unamnunua Madueke pesa kubwa mshahara mkubwa
Una Sterling, mshahara mkubwa.
Unamnunua Olise mshahara mkubwa na mkataba mrefu
Kisha una Omari.
Hii inamaanisha hapo kuna mmoja atakua uwekezaji mbovu itabidi uachane naye.
Olise siyo mbaya nilitamani Arsenal tuwe naye, ni kama Mudryk ila tatizo ni kwamba wakija investment uliyonayo sasa inabidi uiditch kwaajili yao.
Chelsea watachezaje hapa
Tupo mkuu. Mambo vipi?mayatima wa UEFA
Safi aise,, ondoeni hii AibuTupo mkuu. Mambo vipi?
Usijali mzee, ndo tupo katika phase hiyo. Soon hapo, hapo everything kitakuja. New era, new Arsenal.Safi aise,, ondoeni hii Aibu
Wazee wa new fezi🫡 nakubali mkuu.Usijali mzee, ndo tupo katika phase hiyo. Soon hapo, hapo everything kitakuja. New era, new Arsenal.
ACL hiyo ni noma sana.six months duuuuuuh