arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,328
- 4,315
Injury yake huwa inamuweka mtu nje kwa muda gani
Inaonesha atakaa kuanzia miezi 2+ Kama ni knee ligamentNimejaribu kusoma nimeona wamezi grade kuna grade 1..2..na 3...ya kwanza na ya pili ni simple...kupona kwake ni masiku mpk mawiki kadhaa the highest wiki 6...ila grade 3 ndo mbaya...inakuweka nje mpk miezi 3...tuombe isiwe grade 3
Sisi kufungwa Old Trafford ilikuwa zamani kijana utajiri nje nje ukimbetia man u kipato chako choteMatokeo ya baadae yameanza kuvujaView attachment 2717239
Kumbetia manjesta ashinde ni sawa na kuchezea shilingi chooniSisi kufungwa Old Trafford ilikuwa zamani kijana utajiri nje nje ukimbetia man u kipato chako chote
Kwa Manchester United Iyo ni hela ndogo tu tupeni Bei ya saka tufike bei kama mnauza.Huyu tapeli ukiuliza pesa aliyosajiliwa unaweza kipiga yowee..
Mungu kweli sio mwanadam mlitucheka Sana kwa striker letu yamewakuta aise mli furahi sana yatima nyinyi.Jurrien Timber has been undergoing various tests & scans as Arsenal medics look to assess the extent of the damage suffered against Nottingham Forest.
There were initial concerns that Timber has damaged his anterior ligament, but those fears are unconfirmed.
[@SamiMokbel81_DM]
Erik 7 hag a Dutch David Moyes,ni tapeli haiwezekani asajili tapeli Anthony kwa pesa ile ,Kama mlitoa €100m kwa Anthony,zidisha Mara 10 ndio unapata Bei ya Temidayo Anyonyika SakaKwa Manchester United Iyo ni hela ndogo tu tupeni Bei ya saka tufike bei kama mnauza.
Tunaweza kununua mchezaji yoyote yule duniani labda akatae yeye tu.
Nyie mlisajili CF tapeli ana goli 9 mech 32 , halafu kafeli vipimoMungu kweli sio mwanadam mlitucheka Sana kwa striker letu yamewakuta aise mli furahi sana yatima nyinyi.
Wazuie dili la KT tuongeze another LCB,Kama Timber kaumia,
KT anaondoka
Ni muda wa Arsenal kwenda Man city kumchukua Lapote
Japo tutakua tumerud hatua kadhaa nyuma maana uwepo wa Timber ulifanya kidogo tupunguze makali asipokuepo Zinny .
Huyu nae tumepgwa, hii nayo ni kati ya sajili ya kitapeli. Mtumishi hewa.Calf injury ni wiki 4-6
But wameshamfanyia diagnosis tusubiri majibu leo yanaweza kutoka
Nashukuru wanasema sio knee(Goti)
So kama ni Calf hawez kukaa muda mrefu Sana ,
Injury na sajili za kitapeli ni vitu viwili tofautiHuyu nae tumepgwa, hii nayo ni kati ya sajili ya kitapeli. Mtumishi hewa.