Yule mwamba anapinga sajili za kitapeli kama Hojlund kufeli vipimo na kufichwalazima umuone sahihi.
Kama vipi ngoja nikamshawishi ahamie huku kwa Masterclass Mikel Arteta the tactician, aje afurahie Teta ball burudani kwa wote, aache kuteseka huko unyumbuni.
Yule jamaa hawez kufurahia mpira wa kijinga wa Erik 7 hag a Dutch David Moyes
Kama wewe unavyowaona wapo sahihi mamluki humu na yule jamaa tunamuona yupo sahihi
Leo nitakuja kumpa sapoti Kama wewe unavyowapa sapoti UKAWA
Karibu Sana hakika Teta ball ni balaa ,wewe tumepiga pass 800+ possession 85+lile ni jukwaa huru kabisa Mkuu, hivyo jisikie uko huru muda wowote kuchangia chochote tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu kabisa.
Sema sasa hivi jukwaa letu limepoa sana, siku nzima comments zinaweza zisifike hata 10 ndio maana akina Flano tumeamua kuweka kambi humu tukifurahia pressing & overloading toka kwa Teta ball burudani kwa wote.
Karibu Sana hakika Teta ball ni balaa ,wewe tumepiga pass 800+ possession 85+
Magoli ya kideo
Assist za kideo
Kwanini usishinde humu ,hata ningekuwa Mimi ndio wewe ningeshinda humu
Emirates haijawahi kuwa shida kwetu...ni kuwashika mkono na kuwavutia chumbani mje mchezee ndevu😅😅😅....halafu kwa dharau huwa tunawatanguliza kabisa na goli tunawapa....ila mwsho wa gemu ubao huwa unasoma vngne kabisa😅😅😅...Sasa ni kutafuta namna ya kuja kuwabaka hukohuko kwenu kwny matofali ya kuchoma😅😅😅....na dawa itapatikana karibuni....kuhusu hao Newcastle bdo ni vijana wadogo sana....wanajifunza namna ya kucheza...tukikutana ni kuficha mpira tu....wahangaike kama kuku mwny kideri😅😅😅...halafu mwshoooni tunachinja....unabisha....subiri uone tukikutana nao😅😅😅Kwa Arsenyau Man Utd hata tukiamshwa usiku wa manane tukaambiwa tuingie uwanjani kucheza na nyie wala hatuna wasiwasi.
Ila mzee baba msimu huu mtateseka sana aiseeee ile ngekewa ya msimu uliyoisha haiwezi kujirudia tena msimu huu, mkijitajidi sana ni Ueropa ila mna dalili zote za kwenda conference.
Mpka sasa kubwa jinga la Epl hajapatikana hii inanipa mashaka.Wenger orphans mna karibishwa kwa wingi pale Old Trafford kupata burudani kabambe uwezi kuipata kwokwote kule.
Unajua ni kwanini tunacheza peke yetu leo sababu The biggest team in world is playing today lazima mkae vibonde wote mkituangalia.View attachment 2717150
Matokeo ya baadae yameanza kuvujaWenger orphans mna karibishwa kwa wingi pale Old Trafford kupata burudani kabambe uwezi kuipata kwokwote kule.
Unajua ni kwanini tunacheza peke yetu leo sababu The biggest team in world is playing today lazima mkae vibonde wote mkituangalia.View attachment 2717150
Injury yake huwa inamuweka mtu nje kwa muda ganiTimber inaonekana aliumia Calf ,huenda akakosa mechi kadhaa ,
Soon itatoka taarifa
Ni wakati wa Zinny na Kiwior wasukume Gurudumu
Calf injury ni wiki 4-6Injury yake huwa inamuweka mtu nje kwa muda gani
Huyu tapeli ukiuliza pesa aliyosajiliwa unaweza kipiga yowee..Wenger orphans mna karibishwa kwa wingi pale Old Trafford kupata burudani kabambe uwezi kuipata kwokwote kule.
Unajua ni kwanini tunacheza peke yetu leo sababu The biggest team in world is playing today lazima mkae vibonde wote mkituangalia.View attachment 2717150