makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,995
- 104,509
Hivi tulitengeneza clear chances ngapi?Hao hao ndio wakwanza kusema kocha Hana plan B
Timu zinazokaa nyuma kina manjesta,forest ,n.k walishatujulia kwenye 4-3-3
Forest walikuwa wanapaki Basi na watu 5 tukicheza 4-3-3 tunashindwa kuwafungua
Jana Kocha katumia 3-diamond-3 yenye attackers 6
MTU anakwambia huo mfumo mbaya sababu tulipigwa kaunta moja
Ni mfumo gani ambao haujawahi kupigwa kaunta
tumNewcastle tupo pale juu ya mti kama nyani tu kudondoka sahau au miti imetereza tofauti na nyinyi tembo juu ya mti.
Tuseme ukweli tu hivi kwa yote yaliyotokea last season hata ukashika nafasi ya kwanza kwa muda tu una uwezo wa kujigamba au kuwa na guts za kusema utakuwa bingwa si watu watakuona chizi .
Hawa nawamudu vizuriiitu , wanadhani tukiwaambia ukweli tunawachukia kumbe chuki zitoke wapi 20 years 0 epl si kuwachukia itakuwa uchawi.
Kuzunguka kvpπ π π ....unataka nikujibu vp labdaπ π π ...nimekujibu na mifano nimekutolea....au unataka tuchezaje mkuu...sema ww basi π π πKiukweli mi naona unazunguka kwakua swali langu ni jepesi wewe unafosi kulitolea stori
Huyu anaumwa Nketia kaanza game 9 na goal 4. Uyu nkentia akipewa game time ya kutosha hakuna striker wa kumfikia goal pale kwenu msimu ulioisha alikua na wastan wa kucheza dakika 37 tu.Msimu uliopita stats ni hizi
Odergard Apps 37 Goals 15
Martineli Apps 36 Goals 15
Saka Apps 38 Goals 14
Jesus Apps 26 Goals 11
Trossard Apps 36 Goals 8
Nkentiah Apps 30 Goals 4
Newcastle stats zao ni hizi
Wilson Apps 31 Goals 18
Almron Apps 34 Goals 11
Barnes Apps 34 Goals 13
Isak. Apps 22 Goals 10
Joelinton Apps 32 Goals 6
Hapo barnes alikua yupo relegated team Leicester na bado he was. Hizo ndo takwimu official sasa wewe sijui unaongea nini hapo kwenye game time.
NB: ikumbukwe hapo arsenal mlikua ni overachiever mmeruka mpaka phase mnajiona mpo phase 3 mbele
Sawa tunawasubiri mkuu...tunawasubiri kwa hamu sana na kina Almiron mje mtupelekeshe
Basi ngoja nirahisishe.Kuzunguka kvpπ π π ....unataka nikujibu vp labdaπ π π ...nimekujibu na mifano nimekutolea....au unataka tuchezaje mkuu...sema ww basi π π π
Daaahhhh wewe jamaa kiboko ndio maana humu kuna watu wanakumind mpaka wamekipiga marufuku kuwaqouteMsimu uliopita stats ni hizi
Odergard Apps 37 Goals 15
Martineli Apps 36 Goals 15
Saka Apps 38 Goals 14
Jesus Apps 26 Goals 11
Trossard Apps 36 Goals 8
Nkentiah Apps 30 Goals 4
Newcastle stats zao ni hizi
Wilson Apps 31 Goals 18
Almron Apps 34 Goals 11
Barnes Apps 34 Goals 13
Isak. Apps 22 Goals 10
Joelinton Apps 32 Goals 6
Hapo barnes alikua yupo relegated team Leicester na bado he was. Hizo ndo takwimu official sasa wewe sijui unaongea nini hapo kwenye game time.
NB: ikumbukwe hapo arsenal mlikua ni overachiever mmeruka mpaka phase mnajiona mpo phase 3 mbele
Huyu anaumwa Nketia kaanza game 9 na goal 4. Uyu nkentia akipewa game time ya kutosha hakuna striker wa kumfikia goal pale kwenu msimu ulioisha alikua na wastan wa kucheza dakika 37 tu.
Unachokitaka hasa ni nn....ebu tuanzie hapo kwanzaπ π π ....maana naona nakuelezea with vivid examples ila unajifanya kama huelewi....ndo maana nimekupa nafasi ww useme unataka tucheze vipi labda especially tukikutana na Cityπ π π ....eleza ww mkuuBasi ngoja nirahisishe.
Game plan ilikua kuzuia siyo kuscore?
Nyie wakimbiza upepo na wale wakimbiza upepo mkikutana ndo mtaona mechi ngumu...sio sisi mkuu...hao ndo watoto wadogo sanaπ π π ....jana wamekutana na Villa nyuma wanafunguka kijingajinga nao wanajiona wakubwa...ndo maana nikasema tukutane nao halafu tuone hzo vurugu za kina Almiron na wenzie watazifanyia wapiπ π π π ...niache kuwaza Manyumbu tulogawana mbao mwaka jana niwawaze Hawa midebwedo tuliookota point 4 mwaka jana kwli??π π πMkuu usiseme mtupelekeshe, sema mtupelekee moto.
Sema moto (in Prophet IPM voice)
Daaahhhh wewe jamaa kiboko ndio maana humu kuna watu wanakumind mpaka wamekipiga marufuku kuwaqoute
Aiseee hata mimi ningekua Arsenyau ningekupiga marufuku usiniqoute maana sio kwa maevidence haya ya naked truth.
Atembelee tena sources zake aangalie upya...nketiah kacheza mechi ngapi kama starter na kaingia kama Sub mechi ngapi....mnatunga uongouongo Ili m justify uzushi wenu....narudia tena...Newcastle level zao ni kina Luton town...sio ssπ π πDaaahhhh wewe jamaa kiboko ndio maana humu kuna watu wanakumind mpaka wamekipiga marufuku kuwaqoute
Aiseee hata mimi ningekua Arsenyau ningekupiga marufuku usiniqoute maana sio kwa maevidence haya ya naked truth.
Atembelee tena sources zake aangalie upya...nketiah kacheza mechi ngapi kama starter na kaingia kama Sub mechi ngapi....mnatunga uongouongo Ili m justify uzushi wenu....narudia tena...Newcastle level zao ni kina Luton town...sio ss
So hujui game plan ilikua inataka nini?Unachokitaka hasa ni nn....ebu tuanzie hapo kwanzaπ π π ....maana naona nakuelezea with vivid examples ila unajifanya kama huelewi....ndo maana nimekupa nafasi ww useme unataka tucheze vipi labda especially tukikutana na Cityπ π π ....eleza ww mkuu
Unamaanisha nini Arsenal alikua overachiever?Msimu uliopita stats ni hizi
Odergard Apps 37 Goals 15
Martineli Apps 36 Goals 15
Saka Apps 38 Goals 14
Jesus Apps 26 Goals 11
Trossard Apps 36 Goals 8
Nkentiah Apps 30 Goals 4
Newcastle stats zao ni hizi
Wilson Apps 31 Goals 18
Almron Apps 34 Goals 11
Barnes Apps 34 Goals 13
Isak. Apps 22 Goals 10
Joelinton Apps 32 Goals 6
Hapo barnes alikua yupo relegated team Leicester na bado he was. Hizo ndo takwimu official sasa wewe sijui unaongea nini hapo kwenye game time.
NB: ikumbukwe hapo arsenal mlikua ni overachiever mmeruka mpaka phase mnajiona mpo phase 3 mbele
Ameanza mechi 9...sub mechi 18....goals 4...the main starter pale mbele alikuwa Jesusπ π π ....sub ni mda wwte hata dk ya 90...tunaweka probability ya kuwa na nafasi ya kufunga zaidi ukianza....nasikitika sana tutakapokutana na nyny ndugu zetu dogo hataanza mechi maana Jesus atakuwa amerudi....nyny bdo ni watoto wadogo sanaπ π πView attachment 2716672
Uongo ukwapi hapo mzee? Hao ndo wenye ligi wameonyesha then unataka niangalie upya wapiunabishana na hawa wenye ligi ama?
Sijui mkuuπ π π ...nijuze ww unayejua...maana naona unaniuliza tu wkti nimekupa nafasi ya kunielezea na ww...unakwama wapiπ π πSo hujui game plan ilikua inataka nini?
Hata Newcastle alipata bahati tu pale alipomaliza.....maana Liver walivyoamka it was too lateπ π π ...ila Hawa msimu huu nafasi Yao ya 6 kushuka chini huko kwa kina BrentfordUnamaanisha nini Arsenal alikua overachiever?