Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mikel Arteta kuhusu Nketiah kufunga goli na wachezaji wengine kupata nafasi

"Nimefurahishwa naye. Alisikitishwa sana na kutokuwepo kwa Gabby Jesus na yeye kutocheza fainali [Ngao ya Jamii]. Jinsi alivyofanya mazoezi wiki hii, alikuwa akiniambia, ‘Gaffer, ikiwa sitacheza, wewe ni kipofu’.”
 
Nafasi tatu you can say...mbili alizipata Kai ila hakuwa clinical...na moja deflection iloleta goli...na hao ni City ambao hutegemei utawa dominate kipndi chote tofauti na timu zingine kwny ligi
In short ni kwamba unpredictability yetu ilikua ni kuwakaba wasiscore kuliko sisi kupata magoli au sivyo?
 
Wilson, murphy,barnes et vyuma?
hao wanamtoa nani kwenye best 11 pale Epl zaid ya kwenda tott ambayo ndo kwasababu keane hayupo tu,

Hao ni subs player wa Newcastle hapo sijaongelea first 11 . Kama kuna mchezaji yeyote yule wa arsenal amemzidi wilson kwa magoli last season mods wanipe ban mapema sana maana nitakuwa napotosha umma

Nitajie mchezaji wenu aliyemzidi wilson magoli?

Hivi nyinyi arsenal mnapendana kujidanganya ndo ile akiumia mchezaji 1 uwongo wote unaonekana mnashikana mashati na ngongoti wenu kai


Arsenal ila mnajua kupenda vya kwenu yaani mapenzi mlionayo kwa kai
utafikiri sio huyu mliyekua mnaponda akiwa chelsea au tulete ushahidi humu.
 
In short ni kwamba unpredictability yetu ilikua ni kuwakaba wasiscore kuliko sisi kupata magoli au sivyo?
Hueleweki Sasa mkuu😅😅😅...Man City mechi nzima utawashambulia mwanzo mwsho....bdo hzo pumzi hazipo mkuu tusijidwnganye...sio trebek winners kwa ajali wale ...walistahiki...ukikutana nao hutapata chance nyng...utakazopata zitumie kwa ufasaha....lakini vilevile hakikisha hawakuketei madhara sana...that's the logic...ila kusema uwashambulie mwanzo mwsho sahau😅😅😅...Wana wachezaji manunda kwlikwli....waulize Bayern mechi alokula 3 pale ettihad si alijifanya anataka kiwashambulia tu nn kiliwakuta😅😅😅...
 
Karibu sana na huku pia mkuu


Kitu ambacho wengi wanajisahaulisha ni kuwa EPL sio NBC premier league
Epl haijawai kuisha suprise, na pia hauwezi kudominate game kuanzia dakika 1 Hadi dakika 90

Kuhusu Kai scenario yake naifananisha na odegard
Odegard nilimkubali alipokuja kwa mkopo, lakini nikaona epl Kama imekua kubwa Sana kwake
Aliporudi Madrid, alidai anaenda kupambania namba kana kwamba matumaini kurudi arsenal hayapo
Lakin Arteta ndio akawa anamtaka huyo huyo odegard. Kumbuka hapo kuna Madison na buendina
Watu tukawa tunajiuliza huyu Arteta no chizi Nnini, yani odegard over Madison
Arteta aliweza kumrudisha odegard kwa €45m kwa price ambayo angeongeza 5 tungempata Madison
Kuhusu odegard the rest ni history
Yuko wapi huyo Madison?

Kuhusu Kai, sitii neno Mimi. Namuangalia tu arteta
 
Unalazimisha vtu ambavyo havipo mkuu😅😅😅....hyo kijana wenu Jesus asingeumia angesubiri sana....halafu sisi Kila sehemu inakupa magoli...ww ntajie wachezaji wako watano ambao wanaweza kukupa goli kuanzia 6 kwenda mbele...unategemea forward pekee...mtasubiri sana kwa style hyo😅😅😅....narudia tena hapa....huna kikosi cha kwanza cha ku compete na Arsenal...huna....tukikutana mtapaki basi...unabisha ngoja siku ifike😅😅😅
 
Em nipe front 3 yenu na idadi ya magoli na assist na mimi nikupe yetu? Kufunga goal nyingi yeye kwa nini hupimi na muda aliocheza na pima na muda waliochezaji wachezaji wetu nafasi ile. Maana nafasi ile wachezaji wachezaji zaid ya wawili

Jesus

Nketia

Troussard hata game time zao huwez ziweka sawa na willison.
 
Mbona sasa wewe ndiyo haueleweki bro.

We are unapredictable hawajapata shot mpaka 60s minutes huko

At the same time sisi tukatengeneza chances 3.

Unpredictability yetu ilikua kuzuia wao wasipate goli ila sisi tusiscore?

Swali jepesi umeamua kuzunguka
 

Msimu uliopita stats ni hizi
Odergard Apps 37 Goals 15
Martineli Apps 36 Goals 15
Saka Apps 38 Goals 14
Jesus Apps 26 Goals 11
Trossard Apps 36 Goals 8
Nkentiah Apps 30 Goals 4

Newcastle stats zao ni hizi
Wilson Apps 31 Goals 18
Almron Apps 34 Goals 11
Barnes Apps 34 Goals 13
Isak. Apps 22 Goals 10
Joelinton Apps 32 Goals 6

Hapo barnes alikua yupo relegated team Leicester na bado he was
. Hizo ndo takwimu official sasa wewe sijui unaongea nini hapo kwenye game time.

NB: ikumbukwe hapo arsenal mlikua ni overachiever mmeruka mpaka phase mnajiona mpo phase 3 mbele
 
Jamaa we ni noma, unapgaga kwenye mshono ukiambatanisha na evidence😂😂
 
Nimekujibu vzuri sana ila inaonekana hutaki kuelewa....narudia tena....mechi za City kupata nafasi nyng huwezi kwa sababu ni ma specialist kwny kukaa na mpira na pia ni pressure resistant kwlikwli...na nimekutolea mifano ya waliojaribu kufunguka kucheza nao nn kiliwakuta...unataka walau kwnda nao toe to toe...tumia nafasi utakazopata vzuri halafu wanyime wao nafasi ya kutengeneza nafasi nyingi maana wanakuwasha even with a single mistake na siku ile ukiona lile goli walilotupiga...Sasa unataka nikueleweshe vp mkuu....nyuma tulijaribu kucheza mpira wetu tukikutana nao nn kilitukuta😅😅😅
Za
 
Kwni Arsenal na Newcastle ni lini...maana naona unajitahidi sana kuwakuza hao jamaa zako....tukikutana tuone huo mpira wenu mnaocheza mtuchezee😅😅😅...nyny wakimbiaji dawa yenu ni kuficha mpira....mbaki mnazurura tu uwanjani....siku ifike tukate mzizi wa fitna....maana hata hyo mwaka jana hzo point nne tulizochukua hazikutosha😅😅😅....inatakiwa safari hii tuwaburuze kwlikwli heshima irudi
....
 

Tulia wewe si tunamalizana na visiki vya epl then tunakuja kwenu ma false hopers
, mpaka sasa tupo pale juu with massive winning 5-1 wewe unafikiri kwanini jana mlitaka kushikana mashati humu sababu ni moja tu magoli machache na chance chache mlizopata kwa forest ni tofauti na ile Arsenal ya humu ndani tunayoambiwa timu zinaweza zisilete wachezaji uwanjani
. Jana villa ilikua ale chuma si chini ya 8 kuna tonali, wilson , isak walipata chances lakini ni vile tu huruma za howe kwa emery
. Embu nitajie nafasi 3 tu mlizokosa kwa forest uone kama zipo .

Next game vs bingwa city then liverpool nyinyi bado sana mtalia ndo mtuweke kina partey kama full back anakutana na vijana watasha kina almron na gordon mashati lazima mshikane mwaka huu. Nikukumbushe tu our signings tonali 1 goals , barnes 1 goals and 1 assist wapi ngongoti kai
 
Sawa tunawasubiri mkuu😅😅😅...tunawasubiri kwa hamu sana na kina Almiron mje mtupelekeshe
 
Kiukweli mi naona unazunguka kwakua swali langu ni jepesi wewe unafosi kulitolea stori
 
Ujuaji ukiwa unamaanisha nini?

Mpira mchezo wa wazi, tunaongea kitu ambacho kila mtu kakiona kwa macho yake, kwangu ndio nilichokiona

Waliposhituka notts kutumia upande ule, tulikuwa mashakani, na tukaanza kuomba mpira uishe.
 
N
Ni dhambi kubwa mnoo kumfananisha fundi ozil na huyu kai, ana safari ndefu kufika kwa mesut, jana namuona hata kuuficha mpira kwake ni kazi.
 
Sawa tunawasubiri mkuu
...tunawasubiri kwa hamu sana na kina Almiron mje mtupelekeshe

Newcastle tupo pale juu ya mti kama nyani tu kudondoka sahau au miti imetereza tofauti na nyinyi tembo juu ya mti.

Tuseme ukweli tu hivi kwa yote yaliyotokea last season hata ukashika nafasi ya kwanza kwa muda tu una uwezo wa kujigamba au kuwa na guts za kusema utakuwa bingwa si watu watakuona chizi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…