Arsenal (The Gunners) | Special Thread

 
Hamu ya kumharakisha Rice kukaa pale kati inafanya Partey awe beki wakati Tomiyasu yupo
 
Nachoona Partey mara nyingi atakua katikati kwenye kuanzisha mashambulizi lazima atausika kwa aslimia kubwa sana

Sent from my CPH2239 using JamiiForums mobile app
Mimi naona hii game itakuwa na fluidity ambayo ni more diffensive uwepo wa saliba,white na timber ambao ni CB na partey ambaye ni DM kwangu hii inaniambia ingawa tunatafuta ushindi lakini tunaangalia usalama kwanza.
Kwa benchmark aliyoiweka jana city ya goli 3 ni kama amewapa presha counterparts wengine na atakayeingia kwa kujilipua asishangae akaacha points kwenye game 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…