Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,211
Hahaha! ishu popa mkuu...niko vacation kjjn kwetu huku Sitimbi, so i had to drove 50Km to taoo kuja iwai game game yenu, nkafika late....
Ila aiseee awa ndugu zangu wanajua mpira kuliko AW, kuna kina Thomas Mulambo apa wanachambua mpira mm sina mbavu....hahaha! et AW anatumia Masab@&ri kusajili.
[B said:Piss - ant[/B];2386010]Huko unakoangalia wewe Rosicky anacheza?!!!!
<br />Kwahio ulikuwa unalazimisha nikusalimie hili utoe maneno ya kejeli <br />
Ndio maana nilikula bati lol.
Huko unakoangalia wewe Rosicky anacheza?!!!!
Wenger kamwita Chamberlain super quality sasa si amuingize hapa. Angemtoa Arshavin dogo mzuri tu au Ryo.
Arshavin?...mhh?, AW naomba unisaidie apo...kijana anacheza akili yake ikiwa Urusi au London?
inaonekana Liverpool wanatafuta draw tu, hopeless tactics!
What else could they Look 4?????????