Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kabla ya kuhangaika na RCB mi nataka tumlete KUDUS Kwanza.
Kuna Imani inaniambia soon zitaanza kutoka taarifa za kudus ,

Maana mwanzo wa dirisha ,Arsenal walifanya nae mazungumzo, juzi hapa wakafanya nae mazungumzo

Kuna sauti inaniambia siku chache zijazo au tutasikia taarifa ,
 
Kabla ya kuhangaika na RCB mi nataka tumlete KUDUS Kwanza.
Pale Ajax Sasa hivi tuna chawa wetu bwana Sven mislitant

Mwaka Jana alikuwepo Van der sar akatufanyia hujuma ili wampeleke Lisandro manjesta,maana ile ofa yetu waliichelewesha Sana kuikubali au kuikataa ,

Mwaka huu yupo Sven pale ,hata dili la Timber katufanyia wepes

Naiman Kama kweli Kudus yupo kwenye mipango Basi soon tutasikia habari ,ngoja wamalize kuwaondoa Pepe na wenzie ,
 
Arsenal still in the market for one more signing as it stands, likely to be a versatile forward

Outgoings remain the priority currently, more movement is expected soon in that respect

May be something else, but that will be if a market opportunity presents itself
 
Kwhyo dogo Van De Sar alitufanyia fitina😅😅😅...
 
Funny fact.
 
Mikel Arteta’s influence in negotiations is notable. In his pitch to David Raya, Arteta offered a simple, precise assessment of the goalkeeper’s qualities before explaining how his addition would take the team up another level.

[@jamesbenge] #afc
 
Atuchukulie Mason greenwood pale unyumbuni halafu mwakani atuuzie
 
Arsenal imekataa ofa yenye thamani ya karibu €40m kutoka kwa AS Monaco kwa ajili ya Folarin Balogun.

Klabu hiyo ya Ufaransa itatejea tena kumtaka Mmarekani huyo.

Monaco tayari wana makubaliano na mchezaji huyo.

Ripoti, @FabriceHawkins.
 
Uzuri wa Balogun ni katoka academy na hakuwahi kuwa na mshahara mkubwa. Hivyo hapa ni faida zaidi ya hasara katika kumuachia aende. Tukiweka clauses za kutunufaisha zaidi baadae ni poa pia
 
Kama Mkorea anavyowaambiaga, wataita maji mma.
Huku Ramsdale, huku Raya. Teta ball itaua watu. Na hivi Kuna 5 subs...umeshawahi kuona kipa anaingia sub?

Sasa tutakuwa tunamuanzisha Ramsdale wakati mpinzani ana nguvu tunapiga pass zetu fupi to play out from the back na kubuild up taratibu na kufunga magoli machache.

Baadae tunamleta Raya Mzee wa long distance distribution wakati timu zinajitahidi kutushambulia Ili angalau wapate kigoli Cha kufutia machozi. Hapo ndo wanajichanganya, Raya anapokea pasi au anadaka Kona anapiga quality long ball yake yenye ideal projectile na mpira haukawii angani. Projectile moja Kwa Martinelli au Saka wakiwa wametanua uwanja na kutoka nduki kuelekea golini na mabeki washachoka....

Wapinzani tunawahurumia sana
 
🤣🤣🤣🤣....hii Sasa mikwara
 
TETESI

NEW: Arsenal and Tottenham will battle it out to sign Aston Villa midfielder Douglas Luiz before the window shuts. The player wants Arsenal. The Villains value him at £50m.

[@MailOnline & @footyinsider247]
 
Why another midfielder....we need a RW au tyri washapitisha msaidizi wa Saka ni Nelson....dogo ni mzuri ila pancha nyingi pale
 
Why another midfielder....we need a RW au tyri washapitisha msaidizi wa Saka ni Nelson....dogo ni mzuri ila pancha nyingi pale
Broo huyu luiz mpira anaujua aisee ata add. Kitu kikubwa arsenal kwangu mm bora yeye kuliko kudus..ana faida nying haswa tayar yupo England lkn anaujua sana mpira tukimuadd app huyu aisee arsenal itazdi kuwa na depth kubwa.
 
Na pia luiz can play as a RW ila sajili za arteta mostly haangalii position yeye anasajili mchezaji anaeyona ata fit na mfumo wake usishangaa pia akawa kaja chukua nafasi ya martineli ambaye kwakwel mm naona sio perfect sana kama watu wanamvyomuona.
 
Mkuu hyu sio typical winger....hyu ni DM au sometimes can play box to box...tuna watu wengi kwny hlo eneo...wengiii...Sasa huwezi chukua watu bila kuangalia mahitaji yko...unless rumors za Georginho kuondoka ziwe kweli ila kwa Sasa tunahitaji typical RW ambaye wkti mwingine anaweza kucheza hata pale katikati...ndo maana profile ya Kudus Ina fit.... Douglas Luiz ni mchezaji mzuri ila kwa Sasa nafasi ni finyu kwa kikosi tulichonacho na ukiangalia vilevile price tag yke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…