Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ivi kudus anamzidi star boy?
Work rate zao zinafanana na hazijapishana sana, hivyo anakuja mtu sahihi wa kumpa a real taste ya kugombania namba even though Starboy Saka ataanza.

Pia kuna zile game ambazo Saka anatakiwa apumzike kwaajili ya game fulani na wakati huohuo tunatakiwa kuwa na mtu atakayetoa same energy and impact to the team, and that's where KUDUS is coming from and tick all the boxes.
 
Bora tomiyasu kuliko huyo Tierney
Kwa sasa na performance aliyoonyesha Mbao kwenye hii pre season, hatuna wasiwasi wote hata kama Tierney akiondoka saivi.
Ukuta upo vizuri na options za kutosha labda kama kutakua na uhitaji tena wa CB na CF nadhani januari itakua wakati sahihi kabisa.
 
True
 
Mi navyoona tunahitaji RW tu then tuko tyri kucheza michuano yte inayokuja...Backline tuna option ya kutosha...viungo wapo...RW wa uhakika ni Saka..so tunahitaji back up yake
 
Kudus it's like kaikataa Brighton ,japo Brighton na Ajax wamekubalina Bei ,

Lolote linaweza kutokea maana Edu na Arteta wanataka mchezaji awe committed kuichezea Arsenal kabla hawajaingia mazima kumsajili aoneshe nia kweli anapenda kuja Arsenal

Tumeona kwa Timber ,Rice ,Kai ,na Sasa Raya

Spurs walikataliwa £35-40m

Lakin sababu Raya ameonesha Nia kweli ya kuja , dau limeshuka Hadi £28-30m

So Kama kweli walifanya juhudi za dhati kwa kudus ,tutegemee BOMB kwa David Ornstein muda wowote

Maana Chelsea it's like kahamishia nguvu kwa Olise
 
Yah maana anacheza RB na LB , lakin nafas yake kabisa ni RCB

Tomiyasu the same anacheza nafas zote

Ila nahisi KT akiondoka huenda tukaongeza beki Tena , Arteta bado naona anahitaji a natural RCB quality ,
 
Aaron Ramsdale kuhusu ushindani wa nafasi ya GK:

“Uje ! Unajua, hakuna kitu kinachokuja kirahisi kwenye soka.

Nimefanya kwa watu wengine wakati nimehamia vilabu vingine, kwa hivyo sitafikiria kuwa haitatokea kwangu pia

[@itvfootball]
 
daaah
 
|| Kieran Tierney is a potential loan target for Real Sociedad. Currently, if Arsenal were to let him go, they would prefer a permanent transfer or a loan with obligation

[Via - @TheAthleticFC].
 
Lakini hakuna ofa yoyote kwenda kwa Ajax ya kumuhusu Kudus, hapo Brighton wapo miles kuliko sisi, tushishangae kwa taarifa ya deal done kwenda Brighton.
 
Lakini hakuna ofa yoyote kwenda kwa Ajax ya kumuhusu Kudus, hapo Brighton wapo miles kuliko sisi, tushishangae kwa taarifa ya deal done kwenda Brighton.
Kama unafatilia vzr hili sakata , ni siku ya 2 au 3 mchezaji anasita kumalizana personal term na Brighton, na kwenye sajili ,hakunaga kitu rahis Kama personal term

Niliona sehemu Ajax wamempa masaa 48 amalizane na Brighton
 
A
Aaron Ramsdale kuhusu ushindani wa nafasi ya GK:

“Uje ! Unajua, hakuna kitu kinachokuja kirahisi kwenye soka.

Nimefanya kwa watu wengine wakati nimehamia vilabu vingine, kwa hivyo sitafikiria kuwa haitatokea kwangu pia

[@itvfootball]
Attitude nzuri
 
Mi navyoona tunahitaji RW tu then tuko tyri kucheza michuano yte inayokuja...Backline tuna option ya kutosha...viungo wapo...RW wa uhakika ni Saka..so tunahitaji back up yake
Hapa ndipo tunamuhitaji sana KUDUS kama yeye anavyotuhitaji.

Nadhani mpk siku ya mwisho wa dirisha la usajili tutegemee suprise yoyote aisee..
 
Fact. Kama KUDUS atakaza na kuonyesha he only wants Arsenal nadhani kuna jambo litatokea.

Nitaumia sana tukimkosa KUDUS, kwasababu hata bei yake ni reasonable kabisa yaani euro 40M inacheza kama kwenye paundi 34M hivi, sidhani kama itatushinda.

Plus kuna surplus to requirements nyingi sana za kuuza jumla na zingine kwa mkopo.
 
Yah maana anacheza RB na LB , lakin nafas yake kabisa ni RCB

Tomiyasu the same anacheza nafas zote

Ila nahisi KT akiondoka huenda tukaongeza beki Tena , Arteta bado naona anahitaji a natural RCB quality ,
Kabla ya kuhangaika na RCB mi nataka tumlete KUDUS Kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…