arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,328
- 4,315
Si wamemleta unfit Hojlund aje kutuchachafya kwny ligi Sasa wameshapigwa...dogo ni pancha tyri...na wasijichanganye wakamuanzisha kwny gemu yetu na wao maana watamtoa na machela uwanjani akiwa kwny mashine ya kupumulia....wanasajili vilema halafu wanakuja kutupigia kelele hmuUnamtisha Flano na Genge lake sasa
OyaKwa taarifa za ndan kabisa nilizozipata kutoka vyanzo vya kuamibina ni hivi, Arteta amepanga kuwachezesha Raya na Ramsdale kwa pamoja.
Formation itakuwa 2-3-3-3. Golini Raya kushoto, Rambo kulia. Raya atakuwa anasaidiana na mabeki na kina Party Party KUOVALODI midfield area.
Hapo ball possession sisi 97% wao 3%.
Mimi huwa nasema wanadai na chuki , Yule dogo alifukuza had wakala ,akajiunga na wakala wa 7hag , taarifa zimetoka Leo kafeli vipimo ila ataendelea kucheza kwa tahadhari ,Si wamemleta unfit Hojlund aje kutuchachafya kwny ligi Sasa wameshapigwa...dogo ni pancha tyri...na wasijichanganye wakamuanzisha kwny gemu yetu na wao maana watamtoa na machela uwanjani akiwa kwny mashine ya kupumulia....wanasajili vilema halafu wanakuja kutupigia kelele hmu
Kwa taarifa za ndan kabisa nilizozipata kutoka vyanzo vya kuamibina ni hivi, Arteta amepanga kuwachezesha Raya na Ramsdale kwa pamoja.
Formation itakuwa 2-3-3-3. Golini Raya kushoto, Rambo kulia. Raya atakuwa anasaidiana na mabeki na kina Party Party KUOVALODI midfield area.
Hapo ball possession sisi 97% wao 3%.
10hag yupo on mission to destroy nyumbu gangMimi huwa nasema wanadai na chuki , Yule dogo alifukuza had wakala ,akajiunga na wakala wa 7hag , taarifa zimetoka Leo kafeli vipimo ila ataendelea kucheza kwa tahadhari ,
Huwa namwambia Flano kocha wake anafanya sajili za kitapeli
Flano ni nyumbu aliekomaa, haelewi, hasikii wala haoniNgoja Flano aje
Yule Kama kenge aseeFlano ni nyumbu aliekomaa, haelewi, hasikii wala haoni
Ukitrace back utagundua kabla ya kumsajili Rambo, tulimtaka sana Raya by then ila tukakaziwa ikashindikana. That means, arteta anamkubali zaidi Raya over Rambo na last season performance inaamua pia.Yaan Arteta anatafuta uchonganishi aisee
Ila naamini Raya kaja kaahidiwa nafasi
Lazima atakuwa kaambiwa atadaka UCL na FA ,
EPL amuachie Ramsdale
Kikubwa KUDUS atue Emirates baada ya Ishu ya Raya kumalizika ndani ya siku 2 hizi.Wakimalizia na ule upande wa Saka kule basi watukabidhi tu kombe...tusisumbuane kukimbizana mechi 38 wakati tunajua kitakachotokea
Waweke clause ya obligation to buy akimaliza mkopo wake....kiukweli kabisa kwa Sasa yy ni chaguo la nne kwny nafasi yake...Zinny...Kiwior...sometimes Timber...Tomiyasu|| Real Sociedad and Arsenal are already in talks to acquire Kieran Tierney through a loan with a purchase option, a method preferred by the two clubs
[Via - @MatteMoretto / @Relevo-Tier 1
Nakumbuka ,Arteta alimtaka Sana Raya ,Ukitrace back utagundua kabla ya kumsajili Rambo, tulimtaka sana Raya by then ila tukakaziwa ikashindikana. That means, arteta anamkubali zaidi Raya over Rambo na last season performance inaamua pia.
Absolutely trueWaweke clause ya obligation to buy akimaliza mkopo wake....kiukweli kabisa kwa Sasa yy ni chaguo la nne kwny nafasi yake...Zinny...Kiwior...sometimes Timber...Tomiyasu
Kikubwa KUDUS atue Emirates baada ya Ishu ya Raya kumalizika ndani ya siku 2 hizi.
Uzuri wa Edu na Mikel always wana plan B ya kila usajili, though msimu huu tumefanikiwa kusajili plan A zetu zote tulizozitaka na kuonyesha zipo tayari kuja kwetu.Nakumbuka ,Arteta alimtaka Sana Raya ,
Sajili zake za mwanzo karibu zote ni Chaguo la 2 ,
Tuliwakosa kina Locateli , Vlahovic, n.k
Absolutely true
Kiukwel Tierney sio mnyumbulikaji, ku-integrate pale tunavyo overload bado hayupo vizuri
Work rate zao zinafanana na hazijapishana sana, hivyo anakuja mtu sahihi wa kumpa a real taste ya kugombania namba even though Starboy Saka ataanza.Ivi kudus anamzidi star boy?
Kwa sasa na performance aliyoonyesha Mbao kwenye hii pre season, hatuna wasiwasi wote hata kama Tierney akiondoka saivi.Bora tomiyasu kuliko huyo Tierney