Unabishana na UefaSawa lakini tukubaliane mapema kabisa kua Sinia sio kombo na wala FA wenyewe hilo sinia waliowapea hua hawalihesabii kama ni kombe.
TAHADHARI:
Shabiki yoyote wa Arsenyo ukiulizwa msimu huu mmebeba kombe gani?
Usithubutu kusema tumebeba kombe la community shield.
Kombe litabaki kua kombe na Ngao itaendelea kua Ngao.
Msimu mtachapika SanaMkuu kuna ule msemo wa kiswahili unaosema "Chizi anaefurahisha hua hatokei kwenu"
Ndio maana tuko humu tukiendelea kufurahia vituko vya chizi
Sasa tusipofurahia vituko vya comedians wa humu unataka twende tukafurahie wapi?
Unabishana na UefaView attachment 2711989
Nenda page ya UEFA ,kaangalieWazee wa editing kama kawaida yenu.
Kwanza haya masinia Uefa hua hawahusiki nayo kabisa ni domestic trophy, nionyeshe ushahidi hata wa uongo kutoka FA unaotambua Ngao ni Kombe halafu mimi nitakuonyesha Nyau mwenye vichwa vitatu.
Hasa nyumbuz kukuwekea sumu dakika 0 tuMkuu usiwe unasema hivi mkuu, hawapendi kusikia hivi. Na huko ulipo, usithubutu kuacha chakula au kinywaji, then ukatoka kidogo. Na ukijisahau bahati mbaya, basi usile hicho chakula.
hatujawabrandWhy players wetu wana thamani ndogo katika soko la usajili?
That afternoon at Wembley...Halaand was no where to be found....did he even play???I want problem always
Man City - that night in Istanbul.
Man Utd - that night in Moscow.
Liverpool - that night in istanbul.
Chelsea - that night in Munich.
Arsenal - That afternoon at Wembley
Poor arsenal
Small club for a reason
View attachment 2712025
Nyumbu pekee nnayeweza kukaa naye kwenye kigrocery na kupata bia ni Flano tu. Wengine wooote hawafai. Wachawi wengine ni wale mashabiki wawili wa Mansista Duu ambao somehow wote wanejikuta wako JF na ndiyo wachangiaji pekee jukwaa laoHasa nyumbuz kukuwekea sumu dakika 0 tu
I want problem always
Man City - that night in Istanbul.
Man Utd - that night in Moscow.
Liverpool - that night in istanbul.
Chelsea - that night in Munich.
Arsenal - That afternoon at Wembley
Poor arsenal
Small club for a reason
View attachment 2712025
Nimetoka kwa Ras Simba ngoja nitest mitambo
Aseno fans dont be fooled by Community shield trophy,Remember even loverpool won the tittle but there season turned into a nightmare.
Still wondering how can you celebrate a win while the goal was scored 101 minutes.Trust me u're goin' to have a fxckin worst season ever
Kwako Mwalimu
Whats wrong with my comment dude?? Is there any grammatically,vocabulary or spelling error?? Or something else abeg..Correct me if am wrongJitahidi usikate tamaa, Jitahidi kuongea, kutazama movie, kusoma novels itakusaidia ; tunajifunza kutokana na mokasa. Kubali kukosolewa
Mashabiki wa mama cita wapo wawili ,mnapotezaga muda kuwajibuThat afternoon at Wembley...Halaand was no where to be found....did he even play???
Unaongea nao kwa jinsi wanavyokuja mkuu...wakija kimpira unaongea kimpira....wakija kishabiki unaongea nao kishabiki...Ubaya Ubaya tuMashabiki wa mama cita wapo wawili ,mnapotezaga muda kuwajibu
Kuna mshabiki mwingine eti wa Newcastle
Hawajawahi kuja kimpira , ndio Maana Bora tusumbuane na kina Ally pipiUnaongea nao kwa jinsi wanavyokuja mkuu...wakija kimpira unaongea kimpira....wakija kishabiki unaongea nao kishabiki...Ubaya Ubaya tu
Finally katuaBREAKING: Arsenal have reached an agreement to sign David Raya, here we go! Deal agreed with Brentford after personal terms last week️
Documents being prepared between the clubs, medical to be booked this week.
Raya only wanted #AFC move.
Fabrizio