Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sasa huo Wembley yanachezwa hasa makombe gani Kama sio domestic cups

FA,FA COMMUNITY SHIELD,CARABAO
Ndio matumizi yenyewe mabaya ninayo kuambia, hapo Wembley kwa timu zinazojilewa wameshakabidhiwa makombe ya Uefa na Europa.
Na msimu huu 2023/2024 Uefa final inapigwa hapohapo Wembley ambapo nyinyi mnapanajisi kwa vikombe vyenu vya mbuzi na hizo ngao.
 
Oya unafananisha Arsenal hii ya Asali na maziwa na ile ya miaka mitatu minne iliyopita ?

Unafananisha Arsenal hii iliyomchezea shoga enu mama cita , 1-3-6 ,huku wimbo wa UTATOA HUTOI ukiimbwaView attachment 2711032
Yani wanafananisha The gunners ya Tactician wa mpira Mikel Arteta the Masterclass, na Ile ya Mzee Wenger mwishonimwishoni
 
Hizi timu zinalia umaskini,zinamtaka balogun kwa less than £45-50m

Wao ukitaka mchezaji wao wakawaida zinataka €100m

Angalia Atalanta , Hojlund mchezaji wakawaida tu , goals 9 mechi 32 , yameuza kwa €85m

Goncalo Ramos , Ligi ureno rank ya 6 , ameuzwa €80m
 
Monaco nao walitoa ngapi....nao Wana ukata kama wa Inter😅😅
 

Sawa mkuu mwezi ndo huu umefika tusubiri tuone kumbuka tu pale arsenal hakuna mchezaji aliyemzidi wilson kwa magoli, timu iliyofungwa goli chache ni Newcastle na hata game zake alizocheza na bingwa man city alionyesha kabisa anaweza kupambana nae sio kama wewe unakula vyuma 3 mara vyuma 4 .

Wewe unafikiri ulicho achieve kuwa tittle bottlers utakipata tena ? Kwa hawa kina kai na Nketiah? Msijeanza kutukana tu hapa, kama unajiona wewe ni bora kuliko Newcastle basi sawa.
 
Elewa kwamba tukifika tu hii fainali....Kwa kuwa ni uwanja wetu wa nyumbani, jua tunabeba kombe
 
Ww ongea yte....ila mi nimeshakueleza...suala la kupambana na sisi halipo...bado watoto wadogo sana nyny...bdo sana....nafasi zenu ni za 8 huko kushuka chini
 
Mkuu umesahau na beki ya Maghalasa a.k.a kichwa cha bata
 
Ashaanza kua deal, kugombewa na vilabu zaid ya viwili sio mbaya
 
Mkuu umesahau na beki ya Maghalasa a.k.a kichwa cha bata

beki akishika mpira tu anatetemeka anakutana na madogo janja kina gordon, garnacho na pellestiri si ndo kabisa itakuwa vituko.

Kuna mwamba hapo juu anakuambia tukifika fainali
yani kushinda hio shilingi 5 anafikiri uefa ni sehemu ya vituko sijuiii yani europa tu kashindwa kufika ndo afike fainali ya uefa.
 
hawa wazee wa false hope tuwachukulie tu hivyohivyo, hizi bashasha na hopes zao za mwanzo wa ligi hua zinawafanyaga wanateseka sana inapofika mwisho wa msimu.
 
Ubaya wenu mna mapungufu ya akili,mentality zetu zimegana hata mabadiliko yanayotokea kiuchezaji hamuwezi kuyaona,kimfumo hamuwezi kuyaona, mnazani arsenal ndo ile ile ya kumaliza nafasi ya 8 kwenye msimamo, badilisheni izo mentality na mkubali ukweli uliopo,

Ivyo viporo mlivyokua mmeviandaa jana kama tungepoteza pasingetosha humu.
 
eti fainali wakati mnatolewa mapema tu kwenye makundi.
Hivi nyie maArsenyau mnafikiria Uefa ni kama Ngao au Fa?
Sisi tukisikia tu fainali ni Wembley inatutosha kufika. Na tukifika tu Kila aliye na pumzi anajua kitachotokea
 

Wazee wakupishana sio
kwa sporting mlishindwa kupishana ndo mnaweza kumfunga bayern nyinyi au Liverpool au psg kuna first and second leg huko uefa mnaweza game ya kwanza mkapishana vizuriii then game ya pili mkala 4,5 au 6.

Uchezaji gani huu wa kina havertz au Nketiah sio? Timu imebakisha game 10 halafu ipo 8 points ahead inacheza jumapili to j2 lakini ikashindwa kuchukua kombe ndo ije kuchukua kombe saivi kweli?
 
sema hawa wanangu wenyewe wazee wa teta ball burudani kwa wote, chini ya Tactician Mikel Arteta the Masterclass hua nawakubali kinyama jinsi wanavyokuwaga na maconfidence wakati ligi inavyoanza.
 
sema hawa wanangu wenyewe wazee wa teta ball burudani kwa wote, chini ya Tactician Mikel Arteta the Masterclass hua nawakubali kinyama jinsi wanavyokuwaga na maconfidence wakati ligi inavyoanza.
Huyo shoga yenu mnayeachaga timu zenu mnaanza kumshangilia

Ilifika muda akawekewa 1-3-6 ,ukaanza kupigwa wimbo wa UTATOA HUTOI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…