Haiwezi kua kweli.Huyu injury prone Kama ni kweli Bora imekataliwa
| Arsenal make a very big offer to FC Barcelona for Ansu Fati, but he rejected it immediately. He will stay at the club.
@sanantheone
Alitabiriwa makubwa SanaHaiwezi kua kweli.
Huyu Fati wakati anaanza mpira Barca ikaweka release clause 1B
Dogo mwenyewe ni mweupe kimpira sijapata kuona. Kwa alioanza nao sasa hivi wanatia mchango lwenye timu zao
Flano acha hizo, Ila kile kikarabao energy drink ndio cup, why hamjaalikwa Wembley kama kile ni kikombeView attachment 2710885
Injury prone wakutisha ,mim sijawahi mkubali ,Kuna huyu na Ferran Torres ,Haiwezi kua kweli.
Huyu Fati wakati anaanza mpira Barca ikaweka release clause 1B
Dogo mwenyewe ni mweupe kimpira sijapata kuona. Kwa alioanza nao sasa hivi wanatia mchango lwenye timu zao
Haya nakupa mkeka weka pesa upate pesa ya bia wiki ijayondugu yangu masingeli mbona unakua mgumu sana kuelewa?
Haya soma mwenyewe hapo uone nani amepewa kombe na nani amekabidhiwa ngao. View attachment 2710890View attachment 2710891
Tena huyo Pep alishangilia sanaWalipoanza kufunga goli wao alishangilia kama kashinda kombe la Dunia...Maneno ya mkosaji hayo....Guardiola ni attention seeker....mwaka huu unganeni naye tena kutuombea njaa....na asijidanganye tukafungua gepu la point nane kama mwaka jana....shughuli yake itakuwa imeishia hapo
Liverpool anamjulia sana tu City na anamfunga mara kibao. Kwake halikuwa jambo jipya. Sisi tunamuona City kama kikwazo pekee kwetu kubeba ligi na ametusumbua miaka nenda rudi. Tunachukulia kila tunapomfunga, haswa Kwa style yetu ya uchezaji kama ishara kuwa tunaanza kumkaribia na kummudu. Huu ushindi kwetu ni 'symbolic' zaidi naonaMsimu ulioisha Liverpool alishinda hilo sinia na kwa kutambua kua hilo ni kama bonanza tu la kufunguliwa kwa pazia la ligi wala hata hawakushangilia, sanasana waliishia kusikitika tu kwa kujua baada ya kupewa hilo sinia litawapata jambo na kweli limewapata.
Hivi kwani sisi na nyinyi lini, naona kama kelele zimekua nyingi humu.
Uganda mashabiki wa Arsenyo wameandamana tena kusherehekea timu yao kubeba ngao ya hisani
Hata bila injury dogo siyo mtamuInjury prone wakutisha ,mim sijawahi mkubali ,Kuna huyu na Ferran Torres ,
Pale Madrid nasubiri Jude nihakikishe wanachosema watu, namuona very overrated
Bora Pepe aiseeHuyu injury prone Kama ni kweli Bora imekataliwa
| Arsenal make a very big offer to FC Barcelona for Ansu Fati, but he rejected it immediately. He will stay at the club.
@sanantheone
Kwa hio kumbe hamshangilii kubeba Ngao, mnachoshangilia ni kudraw na mliMan City?Liverpool anamjulia sana tu City na anamfunga mara kibao. Kwake halikuwa jambo jipya. Sisi tunamuona City kama kikwazo pekee kwetu kubeba ligi na ametusumbua miaka nenda rudi. Tunachukulia kila tunapomfunga, haswa Kwa style yetu ya uchezaji kama ishara kuwa tunaanza kumkaribia na kummudu. Huu ushindi kwetu ni 'symbolic' zaidi naona
Mimi na bia mbalimbali tena kamari za mikeka ndio kabisaaaa, naonaga tu hio minamba namba lakini sijui hata hua inafanyaje kazi na wala sitaki hata kujuaHaya nakupa mkeka weka pesa upate pesa ya bia wiki ijayo
Jamvi la kumkaribisha muhindi.
Man city
Arsenal
Brighton
Westham over 1.5
Everton over 1.5
Newcastle over 1.5
Spurs over 1.5
Manjesta DRAW
Ukichanika huu niulizwe mimi
Na huyu alikuwa anashangilia Nini hapaKwa hio kumbe hamshangilii kubeba Ngao, mnachoshangilia ni kudraw na mliMan City? View attachment 2710963
Hapo Pep hakua anashangilia ushindi wa kuchukua Ngao, bali hapo Le professeur Peperoni Guardiola alikua anafurahia goli maridadi kabisa lililofungwa kiustadi na kijana wake Cole Jermaine Palmer.Na huyu alikuwa anashangilia Nini hapaView attachment 2710966View attachment 2710967
Wewe jamaa muhuni Sana ,Hapo Pep hakua anashangilia ushindi wa kuchukua Ngao, bali hapo Le professeur Peperoni Guardiola alikua anafurahia goli maridadi kabisa lililofungwa kiustadi na kijana wake Cole Jermaine Palmer.
Unajua kwa Ulaya Man Utd inajulikana ndio timu tajiri kuliko zote, sasa suala la tajiri kununua bidhaa aliyoipenda kwa bei ya juu sio jambo la kushangaza kwa matajiri wenzake, Ila maskini wa Tandale akisikia Bakhresa kanunua Supermarket fungu mbili za mchicha kwa 50,000/- lazima povu liwe jingi, hio 50,000/- itamuuma na kumsokota roho utafikiri imetoka mfukoni mwake.Wewe jamaa muhuni Sana ,
Haya nakupa hii list ya Sajili za kitapeli kuwa kutokea
Sky sport wanaripoti, Manjesta na Chelsea ndio mnaongoza kwa Sajili za kitapeli episodeView attachment 2710976