Nakubaliana na wewe mkuu, yaani tuwaombee wawe vzr ili iweje?Kipindi wanatufunga sisi tukiwa dhaifu mbona wao walikuwa hawaombei tuwe strong.....Ubaya Ubaya tu...Kama waarabu wanamtaka Salah wamchukue haraka sana ..ikiwezekana Salah agome alazimishe kuondoka...Manyumbu yabaki hvihvi yasipate wachezaji wengine wa maana .....Chelsea wabaki na kikundi Chao cha ma Rasta hivihivi...Man City De Bruyne aumie mwaka mzima...ikiwezekana na Rodri naye aumie mda mrefu...
Wanatuandama ,then tuwaombee mema ,Hakuna kitu kama hichoStress zitoke wapi mkuu....hakuna watu wanaopigwa vita kama Arsenal mpk unajiuliza haya mashambulizi yte ni ya nn....sio Liverkuku sio Manyumbu sio Chelkenge sio Man shittyy yaani wte tena kama Shitty walivyobeba UEFA tu ndo imezidi na wao wanajiona bonge la timu lenye history kubwa kumbe ni vitoto ambavyo 2009 tu hapo vilikuwa havieleweki...vimetumia mihela vikaanza kupata mafanikio vinashupaza shingo....Sasa tumekaribia kujenga timu imara...bado Saini chache sana tuanze kuoneshana makali....jana ilikuwa ni bonanza tu...tukutane EPL....Bernado Silva alazimishe kuondoka...De Bruyne aumie mwaka mzima....Rodri avunjike kabisa....Ubaya Ubaya tu
Tujiulize hapa 2008 kushuka chini Man Shitty walikuwa na nn...kilikuwa ni kikundi tu cha wafanya jogging pale Uingereza...hawakuwa na history yyte ile...Chelkenge ndo walikuwa wamepata tajiri anamwaga mihela wakaanza kuonja ladha ya makombe...Manyumbu ndo Yana haki ya kubweka kidogo sababu ya Sir Alex Ferguson....kuna kipindi Evra alikuwa anatuchana kwmba kugombea ubingwa tena bdo sana kwakuwa timu ytu Ina watoto wengi na ulikuwa ni ukweli mchungu...na tulikuwa tukikutana na Man U wanatu bully kwlikwli....sasahv watoto wachache....wanaume wengi....tuchezeni mpira....ashinde anayetandaza soka safi....ize tuNakubaliana na wewe mkuu, yaani tuwaombee wawe vzr ili iweje?
Kutwa wanatupiga mawe humu ,ubaya ubaya tu,
Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga
Utaumia Sana kama unaishi Kwa kuaangalia nyuma ...utateseka SanaTujiulize hapa 2008 kushuka chini Man Shitty walikuwa na nn...kilikuwa ni kikundi tu cha wafanya jogging pale Uingereza...hawakuwa na history yyte ile...Chelkenge ndo walikuwa wamepata tajiri anamwaga mihela wakaanza kuonja ladha ya makombe...Manyumbu ndo Yana haki ya kubweka kidogo sababu ya Sir Alex Ferguson....kuna kipindi Evra alikuwa anatuchana kwmba kugombea ubingwa tena bdo sana kwakuwa timu ytu Ina watoto wengi na ulikuwa ni ukweli mchungu...na tulikuwa tukikutana na Man U wanatu bully kwlikwli....sasahv watoto wachache....wanaume wengi....tuchezeni mpira....ashinde anayetandaza soka safi....ize tu
SasaUtaumia Sana kama unaishi Kwa kuaangalia nyuma ...utateseka Sanafocus bro focus mbele ....hio ni zaidi ya maika 15 imepita ...
️ |Balogun Wants Inter Move.
Arsenal striker Folarin Balogun is pushing for a move to Inter Milan this summer. He has already informed the Arsenal management regarding his preferred destination.
Inter are lining up a £35m offer for the US international. The Gunners still want £50m.
Arsenal in no rush to sell. West Ham and Crystal Palace also interested.
Manjesta ndio maana napenda battle lao , Hawa ni wakongwe wa EPLTujiulize hapa 2008 kushuka chini Man Shitty walikuwa na nn...kilikuwa ni kikundi tu cha wafanya jogging pale Uingereza...hawakuwa na history yyte ile...Chelkenge ndo walikuwa wamepata tajiri anamwaga mihela wakaanza kuonja ladha ya makombe...Manyumbu ndo Yana haki ya kubweka kidogo sababu ya Sir Alex Ferguson....kuna kipindi Evra alikuwa anatuchana kwmba kugombea ubingwa tena bdo sana kwakuwa timu ytu Ina watoto wengi na ulikuwa ni ukweli mchungu...na tulikuwa tukikutana na Man U wanatu bully kwlikwli....sasahv watoto wachache....wanaume wengi....tuchezeni mpira....ashinde anayetandaza soka safi....ize tu
Wasaudia wapo macho kutufanyia hizi kaziStress zitoke wapi mkuu....hakuna watu wanaopigwa vita kama Arsenal mpk unajiuliza haya mashambulizi yte ni ya nn....sio Liverkuku sio Manyumbu sio Chelkenge sio Man shittyy yaani wte tena kama Shitty walivyobeba UEFA tu ndo imezidi na wao wanajiona bonge la timu lenye history kubwa kumbe ni vitoto ambavyo 2009 tu hapo vilikuwa havieleweki...vimetumia mihela vikaanza kupata mafanikio vinashupaza shingo....Sasa tumekaribia kujenga timu imara...bado Saini chache sana tuanze kuoneshana makali....jana ilikuwa ni bonanza tu...tukutane EPL....Bernado Silva alazimishe kuondoka...De Bruyne aumie mwaka mzima....Rodri avunjike kabisa....Ubaya Ubaya tu
Ndo maana Guardiola anang'aka...wao Wana target wachezaji wenye Miaka kuanzia 29 kwenda mbele...atafute damu mpya..kina De Bruyne itafika Rodri na kina Akanji wte watataka kwenda kuchota mihela ya mwshomwsho kwa waarabu huko...kwhyo kipara aingie sokoni atafute wachezaji mapemaWasaudia wapo macho kutufanyia hizi kazi
The Saudi Pro League is plotting a major raid on the Premier League next summer!
Top of their list of targets is Kevin de Bruyne!
(Source: @MirrorFootball)
Mimi nasema hivi wasaudia wamwage hela , klopp nae anapiga keleleNdo maana Guardiola anang'aka...wao Wana target wachezaji wenye Miaka kuanzia 29 kwenda mbele...atafute damu mpya..kina De Bruyne itafika Rodri na kina Akanji wte watataka kwenda kuchota mihela ya mwshomwsho kwa waarabu huko...kwhyo kipara aingie sokoni atafute wachezaji mapema
Waje na hela...waache manenomaneno...sisi tunauza ila wafikie au kukaribia dau...ize tu
FabrizioRomano:
“Hali ya Folarin Balogun ni ngumu. Ni ngumu kumuona akisalia Arsenal msimu huu wa joto.
"Mchezaji anataka kuondoka, na anataka changamoto, pamoja na mkataba wa kudumu kwa sababu anahisi Gabriel Jesus atakuwa chaguo la kwanza kila wakati chini ya Mikel Arteta, na Eddie Nketiah bila shaka ndiye msaidizi.
"Kwa hivyo ni hisia za pande zote, kila mtu anayehusika anataka kupata suluhisho. Kwa hakika Inter Milan itarejea na kujaribu kumsajili Balogun tena.
"Vyanzo vilivyo karibu na mazungumzo vinatarajia haitakuwa rahisi lakini wanataka kujaribu tena wiki hii."
[@caughtoffside]
Habari njema sana kwetu, ila Liverpool sidhani kama wataikubali hiyo ofa.Hii habari kutoka kwa wasaudia nimeipenda naomba wapush zaidi , wahakikishe wanamuondoa pale maana ndio tumain lao limebaki hapo
BREAKING
Reliable sources in Saudi Arabia have said that Al-Ittihad are preparing a bid for Mohamed Salah.
The Egyptian talisman will earn £180m over two seasons. They are rumoured to be offering Liverpool £60m.