Mabula Msirikale
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 1,060
- 2,303
Exactly na mimi niliwafikiria Newcastle United. Tabia yao yakupoteza muda wakicheza na Arsenal msimu huu gemu itakua inaendabhadi dakika 100+Ndiyo...wa kawaida sana....asipochezeshwa na viungo ni mzururaji uwanjani....hirizi yake ni De Bruyne...leo umeona kafichwa tuli akawa anakimbiakimbia tu....Sasa ww Baki na kigenge chako cha Newcastle msimu huu na mkakati wenu wa kupoteza mda safari hii utawatokea puani....nilisema na ntasema tena....top 4 ya mwaka jana ndo mwanzo na mwsho...yaani msahau kuipata tena..mrudi nafasi zenu za 6 kushuka chini huko
Halland bila huduma hafurukutagi hiyo inajulikana mbona ,Kuna mtu anabisha ,ameshafichwa Sana had na middle table team ,akikosa huduma ,Ndiyo...wa kawaida sana....asipochezeshwa na viungo ni mzururaji uwanjani....hirizi yake ni De Bruyne...leo umeona kafichwa tuli akawa anakimbiakimbia tu....Sasa ww Baki na kigenge chako cha Newcastle msimu huu na mkakati wenu wa kupoteza mda safari hii utawatokea puani....nilisema na ntasema tena....top 4 ya mwaka jana ndo mwanzo na mwsho...yaani msahau kuipata tena..mrudi nafasi zenu za 6 kushuka chini huko
Kwa SHERIA hii mpya Kuna mechi zitakuwa zinaongezwa dk 15Exactly na mimi niliwafikiria Newcastle United. Tabia yao yakupoteza muda wakicheza na Arsenal msimu huu gemu itakua inaendabhadi dakika 100+
🤣🤣🤣🤣....watakuambia Wana Gakpo....Bora Salah ajiondokee....yann kufia uwanjani....akacheze karibu na Al Kaaba...atakuwa anafanya Umrah sanaNipo naombea wasaudia wakomae zaidi wamchukue Salah ,yule jamaa wa Liverpool katupigia Sana kelele humu
Al-Ittihad kazeni ,Kama mlivyofanya kwa Fabinho View attachment 2710616
Arteta alimtoa Timber na goli likapatikana upande ule unaliongeleaje hilo?najua utasema hukuliona ulikuwa kipofu kwa mudaKaka wewe unajua mpira kumzidi Arteta? Leseni yako iko wapi mkuu?
Narudia Pesa ya Kai imepotea kwa style ile ile ya uchezaji wake hatakuwa na jipya after 10 games wote tutaona hili why kila mtu kaona Timber ni kidume?even Rice amejitahidi mno ,Kai finish bado ana weakness ile ile ,sometimes hata makocha wanakosea sio Mungu watu Arteta usajili wa Kai ameyumba,Trossard ambaye hampi nafasi unaweza sema lile goli utaona IQ yake kulitafuta BIG UP sana kwake!katika sajili kubwa za Arteta tangia last season ya Kai naona haikuwa na umuhimu that's why wengi hatukutegemea ila Jesus Trossard Zin Timber Rice even Raya anayekuja zote hizi ni position muhimu na zina msaada mkubwaMkuu yaan reference yako kwa Kai ni mashabiki wa Chelsea kulalamika?
Seriously??
Mfumo wa Chelsea umewakataa wachezaji wangapi last season?
Cha kushangaza Kai ndiye alikuwa best player wao
OkNarudia Pesa ya Kai imepotea kwa style ile ile ya uchezaji wake hatakuwa na jipya after 10 games wote tutaona hili why kila mtu kaona Timber ni kidume?even Rice amejitahidi mno ,Kai finish bado ana weakness ile ile ,sometimes hata makocha wanakosea sio Mungu watu Arteta usajili wa Kai ameyumba,Trossard ambaye hampi nafasi unaweza sema lile goli utaona IQ yake kulitafuta BIG UP sana kwake!katika sajili kubwa za Arteta tangia last season ya Kai naona haikuwa na umuhimu that's why wengi hatukutegemea ila Jesus Trossard Zin Timber Rice even Raya anayekuja zote hizi ni position muhimu na zina msaada mkubwa
....watakuambia Wana Gakpo....Bora Salah ajiondokee....yann kufia uwanjani....akacheze karibu na Al Kaaba...atakuwa anafanya Umrah sana
Umeharibu ilibidi uombe wabaki.Niliomba waondokewe na fabinho na Henderson, Sasa naingia mliman kufunga ,aondoke Salah ,uzuri wasaudia hawatishii nyau ,wao wanaweka pesa mezan wamemaliza ,
Wale walishachoka ila wangebakiza mmoja Kama fabinho acheze na Hawa wawili wapya ,kitendo Cha kucheza na new midfield lazima uwe hatarini, hata Arsenal tungeuza Partey ingetuwia vigumu SanaUmeharibu ilibidi uombe wabaki.
Ile mid ilishajifia.
Hata huyo Salah acha abaki. Atasaidia kuyafunga mdomo manyumbu akifika hapa anakutana na Timber anakaa kushoto
Mimi sijapenda. Nataka wawe na best players wao tushindane na the best na tuwashinde. Napenda tushinde Kwa kuwa sisi ni Bora kuliko kushinda Kwa sababu mshindani wetu kadhoofikaHii habari kutoka kwa wasaudia nimeipenda naomba wapush zaidi , wahakikishe wanamuondoa pale maana ndio tumain lao limebaki hapo
BREAKING
Reliable sources in Saudi Arabia have said that Al-Ittihad are preparing a bid for Mohamed Salah.
The Egyptian talisman will earn £180m over two seasons. They are rumoured to be offering Liverpool £60m.
Partey sio wa kuuzwa, bado ana msimu mmoja au miwili ya kuperform katika highest levelPartey , octopusView attachment 2710613
Mimi nipo tofauti ,na hapa naona Barca wanapush kwa Bernado ,japo Pep anawakazia Sana , ila Barca wanazidi kupush had kielewekeM
Mimi sijapenda. Nataka wawe na best players wao tushindane na the best na tuwashinde. Napenda tushinde Kwa kuwa sisi ni Bora kuliko kushinda Kwa sababu mshindani wetu kadhoofika
Lengo la kocha nadhani ilikua ni kuwapa dakika wengine ambao msimu uliopita hawakupata sana nafasi na ndicho kilichotucost baadhi ya wachezaji hawakua na match fitness, btw it was just another preseason gameArteta alimtoa Timber na goli likapatikana upande ule unaliongeleaje hilo?najua utasema hukuliona ulikuwa kipofu kwa muda
M
Mimi sijapenda. Nataka wawe na best players wao tushindane na the best na tuwashinde. Napenda tushinde Kwa kuwa sisi ni Bora kuliko kushinda Kwa sababu mshindani wetu kadhoofiKipjn