Muda ulipotea ,na kwenye dakika 8 za nyongeza ,Partey na Mchezaji wa city waliumia ,zikaongezwa TenaNaomba kufahamishwa kw nini dk ziliongezwa 8 na mchezo haukusimama hata mara moja, na halafu mbona game limeenda dk. 100+
Mbona kama umenyong'onyea sana mkuu, siyo kawaida Yako hii, nini tatizo??Naomba kufahamishwa kw nini dk ziliongezwa 8 na mchezo haukusimama hata mara moja, na halafu mbona game limeenda dk. 100+
Kuna sheria mpya 8 zimeamza kutumika leo Ulaya. Jaribu kuzifatilia naona uvivu kuziandika hapa.Naomba kufahamishwa kw nini dk ziliongezwa 8 na mchezo haukusimama hata mara moja, na halafu mbona game limeenda dk. 100+
Caicedo dili lake linawasumbuaMbona kama umenyong'onyea sana mkuu, siyo kawaida Yako hii, nini tatizo??
Kama Chelsea wakitaka kuwakomoa Brighton basi waachane na Caecedo. Matokeo yake mchezaji atakuwa disappointed kwa sababu waliahidi kumuuza, unarudi Tena January unamchukua kwa Bei ya chiniCaicedo dili lake linawasumbua
Kwa hiyo kwnye dk8 za nyongeza zikaongezwa dk tena aisee, huyu refa aitwe apimwe mkojo.Kanuni mpya....wame adopt kwny world cup....mda unopotea kwny kurusha mpira...kupiga faulo....kuanzisha mpira kwa makipa...unajumlishwa wte...then wanatupia midakika hyo....
Muda ulipotea ,na kwenye dakika 8 za nyongeza ,Partey na Mchezaji wa city waliumia ,zikaongezwa Tena
Nimeipenda hii Sheria kwa zile timu zinazopoteza muda Kama Newcastle ,Everton, manjesta Wana tabia hiyo ukiwapiga mbinyo ,wakaona Kuna upenyo wa sare
Kinyonge wapi? Nyie bado ni wale wale. Kilichonifurahisha mchezaji wangu havertz hajaniprove wrong😁Mbona kama umenyong'onyea sana mkuu, siyo kawaida Yako hii, nini tatizo??
Yule hata wapandishe ikifike 200 mwisho wa siku atabewaCaicedo dili lake linawasumbua
Kwa hiyo kwnye dk8 za nyongeza zikaongezwa dk tena aisee, huyu refa aitwe apimwe mkojo.
Njoo uchukue maua yakoUmeangalia mpira au naongea na mtu anayeokoteza maneno vijiweni....hukuona Kyle Walker na Partey wakitibiwa pale chini kwa dk 3 nzima kipindi tyri mpira uko kwny dakika za nyongeza ...au huwa mnajitoa fyuzi muonekane mnajua kubishana tu....ww na kikundi chako mjiandae kuachia points 12 za awali kwa arsenal na man City kwa huu mpira ulochezwa leo....jengeni kikosi ndo mje kubwabwaja hmu ndani
Endeleeni kusajili, angalau muukaribie (siyo kuwa sawa) quality wa hii arsenal ya makombe, mana yake sioni timu ya kwenda toe to toe na hili chamaKinyonge wapi? Nyie bado ni wale wale. Kilichonifurahisha mchezaji wangu havertz hajaniprove wrong😁
Hyu akipata watu wa kazi ni mchezaji wa kawaida sana...ukiniwekea hyu na Yule dogo Alvarez mi namchukua Alvarez...Halaand asipochezeshwa na kiungo chake huwa anakuwa kama hayupo uwanjani....
Ndiyo...wa kawaida sana....asipochezeshwa na viungo ni mzururaji uwanjani....hirizi yake ni De Bruyne...leo umeona kafichwa tuli akawa anakimbiakimbia tu....Sasa ww Baki na kigenge chako cha Newcastle msimu huu na mkakati wenu wa kupoteza mda safari hii utawatokea puani....nilisema na ntasema tena....top 4 ya mwaka jana ndo mwanzo na mwsho...yaani msahau kuipata tena..mrudi nafasi zenu za 6 kushuka chini hukoKwamba halland ni mchezaji wa kawaida, hizi dharau nyingine mtazilipia tu
We na akili zako jaba unashabikia ASENYO ficha ujinga wako.Ni vizuri FIFA wangepiga marufuku akili kisoda kama hizi kuchangia mada za mpira, huu ndio uhuru wa maoni kutema pumba unavyojisikia.
Exactly na mimi niliwafikiria Newcastle United. Tabia yao yakupoteza muda wakicheza na Arsenal msimu huu gemu itakua inaendabhadi dakika 100+Ndiyo...wa kawaida sana....asipochezeshwa na viungo ni mzururaji uwanjani....hirizi yake ni De Bruyne...leo umeona kafichwa tuli akawa anakimbiakimbia tu....Sasa ww Baki na kigenge chako cha Newcastle msimu huu na mkakati wenu wa kupoteza mda safari hii utawatokea puani....nilisema na ntasema tena....top 4 ya mwaka jana ndo mwanzo na mwsho...yaani msahau kuipata tena..mrudi nafasi zenu za 6 kushuka chini huko
Halland bila huduma hafurukutagi hiyo inajulikana mbona ,Kuna mtu anabisha ,ameshafichwa Sana had na middle table team ,akikosa huduma ,Ndiyo...wa kawaida sana....asipochezeshwa na viungo ni mzururaji uwanjani....hirizi yake ni De Bruyne...leo umeona kafichwa tuli akawa anakimbiakimbia tu....Sasa ww Baki na kigenge chako cha Newcastle msimu huu na mkakati wenu wa kupoteza mda safari hii utawatokea puani....nilisema na ntasema tena....top 4 ya mwaka jana ndo mwanzo na mwsho...yaani msahau kuipata tena..mrudi nafasi zenu za 6 kushuka chini huko