Kai Leo kakosa magoli but sio Big chances ,tuwe wakweli tuondoe negativityWapo but another option ni Trossard not Kai atatuchelewesha
Mkuu yaan reference yako kwa Kai ni mashabiki wa Chelsea kulalamika?Acha masihara Kai wa Chelsea na wa leo ni the same person imagine fans wa Chelsea hawakulalamika tena kwa rival wao Arsenal hatujiulizi tu?
Ni vizuri FIFA wangepiga marufuku akili kisoda kama hizi kuchangia mada za mpira, huu ndio uhuru wa maoni kutema pumba unavyojisikia.
Kaka wewe unajua mpira kumzidi Arteta? Leseni yako iko wapi mkuu?Acha masihara Kai wa Chelsea na wa leo ni the same person imagine fans wa Chelsea hawakulalamika tena kwa rival wao Arsenal hatujiulizi tu?
Mimi nilijua zilikuwa porojo tu Kama zile za Mwaka Jana za Xhaka had Mourinho akatuma ofaKadri siku zinavyoenda zinazidi thibitisha kutomuachia Partey ulikua uamuzi sahihi zaidi
Hyu akipata watu wa kazi ni mchezaji wa kawaida sana...ukiniwekea hyu na Yule dogo Alvarez mi namchukua Alvarez...Halaand asipochezeshwa na kiungo chake huwa anakuwa kama hayupo uwanjani....Saliba na Gabi wazee wa kazi chafuView attachment 2710443
Huyo code yake ni KDB ,Hyu akipata watu wa kazi ni mchezaji wa kawaida sana...ukiniwekea hyu na Yule dogo Alvarez mi namchukua Alvarez...Halaand asipochezeshwa na kiungo chake huwa anakuwa kama hayupo uwanjani....
Double pivotal. Playing with two defensive midfielders.Mimi nilijua zilikuwa porojo tu Kama zile za Mwaka Jana za Xhaka had Mourinho akatuma ofa
Arteta sio mjinga amuachie Partey kirahisi
Tena na wasiwasi huenda Rice hajasajiliwa Kama DM , amesajiliwa wacheze na Partey kuimarisha kiungo kiwe imara
David Raya alikuwepo Wembley leo kutazama chama lake likitandaza soka safi....hyu muhuni na Rambo watatupa burudani ya kupokonyana namba pale goliniHuyo code yake ni KDB ,
Niwapongeze arsenali kwa kutwaa FA community shield ni mwanzo mzuri kwenu.
Kwa leo wachezaji waliyonikosha ni.
1. Timba hapa mmelapa beki mahiri kweli kweli
2. Trossard huyu ni winger kamili. Dogo yupo vizuri kuliko Matinely
3. Partey huyu jini mkata umeme yupo vizuri muombe asipate majeraha msimu huu. Partey ndiyo atasababisha muwe title contenders.
Huyo ni Arsenal fan Kama kina Zinny, Timber, Partey , Ramsdale,David Raya alikuwepo Wembley leo kutazama chama lake likitandaza soka safi....hyu muhuni na Rambo watatupa burudani ya kupokonyana namba pale golini
Yan saiv hata ufanye sub mchezaj atoke anatembea au anajivuta chini Refa hata haangaiki na ww.. Mtakutana na furushi la dkk baada ya zile 90 za kawaida.Naomba kufahamishwa kw nini dk ziliongezwa 8 na mchezo haukusimama hata mara moja, na halafu mbona game limeenda dk. 100+
Kanuni mpya....wame adopt kwny world cup....mda unopotea kwny kurusha mpira...kupiga faulo....kuanzisha mpira kwa makipa...unajumlishwa wte...then wanatupia midakika hyo....Naomba kufahamishwa kw nini dk ziliongezwa 8 na mchezo haukusimama hata mara moja, na halafu mbona game limeenda dk. 100+