Arsenal (The Gunners) | Special Thread

GENIUS!
 
Viwanja vya nyumbani vya Arsenal FC:
1. Emirates stadium
2. Wembley Stadium
3. Stamford bridge

Loading....4. Old Trafford
Tufunge kwanza hata goal 4 ndo uje hapa toka umezaliwa ujawai kuiona timu yako ikitufunga hata goal 4 unapika kelele hebu kasikie vibaya huko.

 
Nor true mention only one nani?tuna Saka Martinelli (Genius Trossard)Havertz Jesus Nketiah but goal scorer anayejua kunusa hatari hatuna kwa sasa
Kama Nan mkuu ,jamaa yupo sahihi,

Taarifa za chini chini zinasema January Arsenal ndio ataanza kuweka nguvu kusafa CF ,wa gharama kubwa Kama walivyowekeza pesa kwa Rice

Kumbuka Sasa labda Victor , lakin Kuna FFP

Leo tu tunaweza maliza dili la Raya kwa £30m, tutakuwa tumetumia £240m had Sasa ,na bado nasikia tutaongeza RW na RCB,
 
Arsenal's last five Community Shield games:

vs. Man City (2014)
vs. Chelsea (2015)
vs. Chelsea (2017)
vs. Liverpool (2020)
vs. Man City (2023)

Always winning at Wembley.
 
Kwa huu ushindi wa papatu papatu,sasa hakuna wa kumfunga hamis77 mdomo,atatawala jukwaa kila sekunde.
papatu Tena duh

Hujaona Moto aliowashiwa shoga enu mama city alipopata goli?

Yaan Arsenal hii hapo Zinny hakuwepo ,nje Kuna mafundi kina Trossard ,Jesus nje wiki 6

Huogopi?
 
Seriously mkuu?hope its a joke
Mm naona mnashindwa kuelewana ,tunataka CF ,ila tukumbuke kwasasa Kama tunamtaka CF class kabisa ,Basi tuwe na subira labda January klabu itumie pesa ya kutosha Kama kwa Rice

Kwasasa tumeshatumia £240m tukikamilisha usajili wa Raya leo,

Bado Kuna RW na RCB cover ya Saliba nasikia ni Diomonde


Mpaka hapo tutakuwa tumegonga £300m kasoro

Hivo Kama tunataka CF bas lazima awe wa. £100m

Hawa wa £50m ndio kina balogun au nketiah ambao tunao
 
mkorea

Hili wazo lakuchezesha CBs tu kwenye backline naona kama inalipa.

White Saliba Gabriel Timber.

Too solid. Halafu mbele yao Partey na Rice.

Alipoingia natural LB Tierny ,ndipo city wakapata goli


Mchana nilisema kwasasa tuna luxury ya kuchagua mechi twendeje

Kuna mechi za kiume tunaenda na Natural 4CBs,

white Saliba Magalhaes Timber

Kuna mechi Kama na Chelsea , manjesta unaenda na

White Saliba Magalhaes Zinny
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…