Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wewe mwenyewe linganisha hizi picha mbili halafu jibu baki nalo mwenyewe. View attachment 2710319View attachment 2710321
Mkuu kwani ukitupa hongera zetu bila kutusigina unakosa nn kwni....hii ilikuwa ni bonanza tu sio mechi ya kihiiivyo kuonesha watu watakachokutana nacho kwny ligi.....walau utupe tu hongera....BARDIZAH hyo tunajua kachabganyikiwa na beki ya Gomez na Matip kwhyo hatusumbui
 
Exactly

Sina Cha kuongeza ,labda kwa CF hapa Tumchukue mehdi Teremi kwa short term
 
Mkuu fatilia vizuri comments za nyuma, mbona nimeshawapa maua yenu kiroho safi kabisa na kuwaombea liwafike jambo huko mbeleni
 
Watu tulikuwa tunawaambia humu Saliba ni pengo ,

Leo halland kaomba had sub


Halafu Saliba hanaga papara yule Beki

Halali kabisa kupewa £200k per week
 
MPUMBAVU ANAPIGA PASS HUWA HADI NAOGOPA

ZINNY aliulizwa kuhusu wachezaji wa Arsenal anaowakubali anasema ni William Saliba


William Saliba's game by numbers vs. Man City:

96% pass accuracy
86 touches
74 passes
6 passes into final ⅓
6 x possession won
4 clearances
4 duels won
2 tackles made
0 fouls

Rolls Royce.
 
Kukumbusha sio dhambi, hili sinia mnalokabidhiwa leo hua halihesabiki kua ni kombe ingawa ni dalili njema kwa timu na inaongeza hamasa zaidi kwenye mechi zitazofata za ligi.
Nyingeza nikwamba unalichukuwa kutoka kwa nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…