Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Pep kamtoa Haaland kamtoa Grealish, Kovacic ili kupata goli.

Sisi ili kupata goli tunatoa Martinelli tunamuacha Kai na tunamtoa Timber tunamuacha Kai

Washkaji observation ya mpira siyo hisia.

Huwezi kukaa nyuma ya keyboard ukaangalia majina na ukaamini ndiyo yanadeal na kuleta matokeo hakuna kitu kama hicho.

Against Monaco juzi hata kumiliki mpira tulishindwa huku mid ikiwa ya Partey na Rice there is no way same mid ingetufavour against quality city.

Hii timu siyo mbaya ila kwa usajili tuliofanya mpaka sasa ambaye ana instant impact ni Timber. Niliwahi sema Rice anatakiwa kuadopt watu wakabisha weee, nikasema huyu Kai finishing ni poor watu wakabisha as usual.

Mapengo huonekana ukicheza na quality opponent
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…